SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,339
- 2,249
Naelewa. Pole.Uvumilivu una kipimo chake... Sometimes hakuna jinsi
Jr![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa. Pole.Uvumilivu una kipimo chake... Sometimes hakuna jinsi
Jr![]()
NA mm Pia usinishau kuni TAGnakuomba mkuu ufungue uzi kuhusu hio zana ya motoni itapendeza zaidi.USISAHAU KUNITAG KWENYE NYUZI ZAKO
Ya pili ndio sahihi zaidi... Ndio maana wafu huitwa.... Wale waliolala kuzimu... Pamoja na kwamba kutakuwa na tendo la ufufuo lakini ni ufufuo wa kiroho na si kimwiliMshana Jr KIFO NI SAWA NA KULALA USINGIZI AU? KIFO -USINGIZ USIO NA MWISHO? View attachment 1022288

Ahaaaa ukifa roho inaenda kuzimu au inaenda wapi? NI roho zipi zinaenda Pepon? Ufufuo wa roho za waliokufa utakuwa lini?Ya pili ndio sahihi zaidi... Ndio maana wafu huitwa.... Wale waliolala kuzimu... Pamoja na kwamba kutakuwa na tendo la ufufuo lakini ni ufufuo wa kiroho na si kimwili
Jr![]()
Dhana ya pepo na kuzimu (akhera) iko pale pale kaburiniAhaaaa ukifa roho inaenda kuzimu au inaenda wapi? NI roho zipi zinaenda Pepon? Ufufuo wa roho za waliokufa utakuwa lini?

Ukiwa mwema wakati wa uhai wako hata roho yako italala kwa amani pale mwili ulipo! Ukiwa mtenda dhambini roho yako haitakaa itulie itatangatanganimeelewa mkuu Mshana Jr
Akhera ni peponi au kuzimu
Kaburini ni Pepon na kuzimu
Kuzimu ni Chini ya ardhi ni makao makuuu ya roho zinazotangatanga zisizokuwa na makaz maaluum zinazurula,
Pepon roho zisizotaabika zimerest in peace.
Mzimu ni riroho likitoka Kaburini/kuzimu linakuja duniani kuvinjari then linaruruka au?
Swali roho gani zinatangatanga nA zipi zimerest in Peace?

Thanks bro you made my day.Ukiwa mwema wakati wa uhai wako hata roho yako italala kwa amani pale mwili ulipo! Ukiwa mtenda dhambini roho yako haitakaa itulie itatangatanga
Jr![]()





