Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

Hivi kwanini watu wanaogopa kifo wakati mimi binafsi natamani hata iwe leo nisepe tu na kikichelewa kuja nakifata mweyewe hapa nawaza namna ya kujitanguliza soon tu najikataa
 
Hivi kwanini watu wanaogopa kifo wakati mimi binafsi natamani hata iwe leo nisepe tu na kikichelewa kuja nakifata mweyewe hapa nawaza namna ya kujitanguliza soon tu najikataa
Ni kwa vile hatufanani na mitazamo yetu inatofautiana...hata wale wenye huo uthubutu ikifika wakati wa vitendo hubadili nia zao
 
Kwamba hata sisi tusioogopa ukifika mda wa kufa huwa tunabadili msimamo? Au nImekuelewa tofauti!!
Yeah zile dakika za mwisho ni noma sana....zinaitwa HARI ZA KIFO ....sijawahi kushuhudia mtu akiwa jasiri kwenye hili
 
Ninakubaliana na wewe kwa jinsi ulivyofafanua,japo picha zako nmeshndwa kuzioainisha na maelezo yako mazur.
Mimi uwa nawambia watu kwenye misiba,hatupaswi kuumiza nafsi zetu kwa maskitiko.
Binadamu tunapaswa kupita katika Ulimwengu wa aina 3;
1.Ulimwengu wa Tumbo la mama
2.Ulimwengu wa Dunia.
3.Ulimwengu wa Roho,ambapo kuna sehemu mbili jehnamu na Mbinguni kwa mjibu wa maadiko.
Tungekuwa tunaishi kwa pamoja katika Ulimwengu wa Tumbo la Mama,alafu akaondoka mwenzetu kuja Duniani kwa kuzaliwa tungekuwa tunalia mwenzetu katutoka,kumbe yupo anadunda dunian na kupewa upendo wa baba na mama.
Kila Ulimwengu tunaotakiwa kwenda unaconditions zake hata wanasayansi wanakubaliana na hilo.Mfano ili uishi Ulimwengu wa Tumbo la mama ambapo kipindi chake ni miez 9,na vazi la mwili utengenezwa hapo kwa ajili ya ulimwengu wa Dunia,huitaji kusumbukia mahitaj ya mwili.
Tunapokutana katika Ulimwengu wa Dunia hatujisumbui kufikiria ulimwengu tuliotoka na tulikuwa tunaishi vip kwa sababu ufahamu huo unafungwa na tunafurahia ulimwengu wa Dunia kiasi kwamba tunakoswa raha kabisa tukisikia kufa.Hakuna aliyetayari kufa au kwa maneno mengine kuzaliwa tena katika ulimwengu mwingine.
Ulimwengu wa Roho ahuitaji twende na Mwili bali nafsi,na kama mwili unavyoumbwa ndani ya ulimwengu wa Tumbo la mama,ndivyo tunavyoumba sisi wenyewe kwa utashi nafsi zetu vazi la UZURI au UBAYA ampapo vazi utakolovaa litakuelekeza katika Ulimwengu wa Roho nzuri au Mbaya.
Kila Ulimwengu tunaopitia tunakuwa na uwezo tofauti kabisa,kwa maana ya nguvu ya kufikir na kutenda.
Katika Ulimwengu wa Roho,tunakuwa katika ulimwengu ambao tuna nguvu zaidi na za hali ya juu na tunaweza kutawala na kurudi katika ulimwengu wa Dunia kwa namna tunavyopenda ikitegemea ni kwa Uzuri au Ubaya.Ndio chanzo cha wengine kuanza kuamini Roho za mababu au mabibi wengine wanaita mizimu kutokana na znapotoka.Kumbuka Shetan ndie anajiita mtawala wa ulimwengu wa Roho Mbaya,na Mwenyez Mungu kajpambanua katika Roho nzuri na ndie muumbaj wa Limwengu zote .
Roho iliyo nje ya mwili uweza hata kusafir kwenda Marekani kwa sekunde,uweza kuingia kwa kiumbe yeyeyote na uweza kujigawanya kama kirusi cha ukimwi .Roho ya wizi ni Roho moja lakini yaweza kuingia kwa watu 1000 na wote wakaitwa wezi.Roho zetu ambazo zinaitwa nafsi hapa duniani zimepewa uwezo mdogo sana kutokana na kuwa ndani ya mwili.
aise nimekupenda umeeleza vizur sana
 
Ifike mahali usilete ujuaji wa kipuuzi Kama hujui tulia kinachokufa ni kile chenye roho...eti kiungo kinakufa hivi unajua nini maana ya kufanana lakini.. Kasome lahaja za lugha upate tofauti ya kufa na mauti

Kwa mara ya kwanza namuona Mshana Jr amekasirika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom