Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

JamiiForums-1502068837.jpg
 
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Amaa Mshana, vipi katika vitabu vya Dini tunakatazwa kujiombea KIFO, ina maana ni mtihani mgumu....!!?
 
Binafs naunga mkono hoja na ndio msimamo wangu siku zote kwamba kifo ni hatua nzuri zaidi japo ndugu zangu na watu wa dini hawapendag kusikia nikisema hivyo.

Kipindi flan nilimwambia rafik yangu sentensi hii lakin alinichukia Sana. Nilimwambia hv

"hakuna mtu asiyependa raha au maisha mazuri. Hapa duniani asilimia nyingi zimejaa shida sana kuliko raha"

Kipindi hicho tulikuwa chuo, tukawa tumeishiwa hela ya matumiz, siku ile tukala ugali bila mboga. Nikamwambia rafik yangu kwamba, kufa kuzuri wanao kufa hawajawah kurud tena.

Hii ina maana kama mtu alikuwa anakula ugali bamia dunian, vyovyote vile akifa akakuta hakuna chakula kizuri huko alikoenda lazma angekuwa amerudi, lakin kwa kuwa hajarud, Ina maana uko aliko kwenda kakuta chips kuku, na mapocho pocho mengi. Hawez kurud kwenye ugali bamia tn. Ndio maana hawarud.

So wanao kufa hawarudi kula ugali mlenda duniani.. yawezekana kwao wanakula pilau pilau tu. Na raha kama zootee.

Mm ata kwenye msiba sipendag neno wasemalo watu, " eti tunampumzisha marehem kwenye nyumba yake ya milele" hili neno Lina nipa shida. Unampumzishaje wakati yeye ndiye kajipumzisha na tayari kalala chaliiii.....? Wee jaman

Neno lingine ambalo linanisumbua kwenye misiba, eti " tunaenda kumzika au kumstili kwenye nyumba yake ya milele!

Hivi kweli jaman, nan anauhakika kwamba marehem hiyo ndiyo nyumba ya milele hatoweza kutoka tena? Eti tunamsitili ! Kivip??

Nyie mnalilia marehemu, maana yake mnampenda Sana, msingetaman ata kumzika, sasa unamsitili kivip. Naona Kama tunatumia ka lugha ka unafiki tu. Maoni yangu.
Hapa tungekuwa tunasema hivi. Jaman marehem tunampenda Sana, lakin badae atatunukia hivyo ngoja tumfukie kuepuka hewa chafu.

Naunga hoja mkono Mshana
 
Mm ata kwenye msiba sipendag neno wasemalo watu, " eti tunampumzisha marehem kwenye nyumba yake ya milele" hili neno Lina nipa shida. Unampumzishaje wakati yeye ndiye kajipumzisha na tayari kalala chaliiii.....? Wee jaman uko vizuri Felix
 
Katika kauli alizowahi kuziongea BOB MARLEY na sitakuja kuzisahau ni Pamoja na ile aliyosema "Kifo ndio daraja la haki kwa watu wote".
Yaani Alipoenda Mfalme ndipo atakapoenda Mtumwa, alipoenda mchukiaji ndipo atakapoenda mchukiwaji, alipoenda Tajiri ndipo atakapoenda Maskini ...

Hakika, hakika, hakika ... Hii ndio safari wote tutakayoitimiza. Hakika hii ndio ndoto wote tutaifanikisha.. Yaani hapa hakuna atakayeruka .
Ukisoma kitabu cha Kifo kiitwacho (All that remains, the life in death) alichokiandika Professor: 𝗦𝘂𝗲 𝗕𝗹𝗮𝗰𝗸 jambo moja utakalojifunza ni kuwa.. Kifo ndo ishara ya mwisho kutoka kwa Mungu juu ya wanadamu kuwa, yeye ni yeye na hakuna kama yeye milele na milele AMINA..

"Mwanadamu mkumbuke sana Muumba wako, dunia isikusahaulishe kuwa una kitendawili Cha kukijibu nacho si kingine bali ni Kifo"

FB_IMG_1634628204039.jpg
 
Nina shemeji yangu mmoja amefariki
Ile siku ambayo anakufa aliamka vizuri tu na unafuu akapata,akawa anasema Leo Mimi siioni kesho nakufa
Huku anakula,anakunywa maji,yaani anaongea haswaa
Ila kila anaekuja kumuona anamshika mkono anamuaga buriani tutaonana Kama kunakuonana,watu wakajua jamaa karukwa akili,umefika usiku anawausia watu kuhusu watoto wake, yaani kutwa yeye stori ilikuwa hiyo,imefika usiku anauliza saa wakawa wanamdamganya kuwa inakaribia alfajiri akasema sio kweli Mimi siwezi fika huko mbali Sana, wakawa wanaongea wanacheka ilivyofika muda akasema haya jamani kwaherini wanangu chondechonde, akajifunika shuka akakaa kidogo akajinyoosha ndo kafa tena
 
imefika usiku anauliza saa wakawa wanamdamganya kuwa inakaribia alfajiri akasema sio kweli Mimi siwezi fika huko mbali SanaDuh huyu aliuona mwisho wake live
 
Nina shemeji yangu mmoja amefariki
Ile siku ambayo anakufa aliamka vizuri tu na unafuu akapata,akawa anasema Leo Mimi siioni kesho nakufa
Huku anakula,anakunywa maji,yaani anaongea haswaa
Ila kila anaekuja kumuona anamshika mkono anamuaga buriani tutaonana Kama kunakuonana,watu wakajua jamaa karukwa akili,umefika usiku anawausia watu kuhusu watoto wake, yaani kutwa yeye stori ilikuwa hiyo,imefika usiku anauliza saa wakawa wanamdamganya kuwa inakaribia alfajiri akasema sio kweli Mimi siwezi fika huko mbali Sana, wakawa wanaongea wanacheka ilivyofika muda akasema haya jamani kwaherini wanangu chondechonde, akajifunika shuka akakaa kidogo akajinyoosha ndo kafa tena
Chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom