siwezi kula hiyo nitatapika
Ni sawa mkuu ila kama mtu anakuja kishari siunampisha tu apite...Hapa JF ni kama tunavyoishi huku mitaani kuna mtu atakuja na kuanza kukutukana bila hata sababu we utakachofanya nikuachana nae kuepusha matatizo...Jaribu kumpuuzia huyo FaizaFoxy ataona aibu na kama ana mawazo tofauti na wewe aanzishe thread yake...Ni ushauri tu..
utali sina grudges na mtu nisiyemjua jina wala sura... Nina mengine muhimu ya kufanya kuliko kuanzisha bifu za kijinga... Katika maisha huwezi kukubalika na kila mtuUnajua tatizo hapa kati yao Mshana na Faizafox ni kitu kimoja; “Popularity and Fame” kila mmoja anajaribu kujipatia umaarufu wake kwa style tofauti (-/+ve), na hii kitu itawasumbua hawa jamaa kwa muda mrefu sana. Kila mmoja anajiona/fikiri anajua zaidi ya mwenzake na bahati mbaya wote inawezekana hawajakubali akilini mwao kwamba kila mmoja anajua/elewa jambo fulani zaidi ya mwenzie.
Anyway siko hapa kuwahukumu bali nautizama msuguano wao kwa mrengo huo na nafikiri wana haja ya kujifunza kila mmoja wao kupitia ukosoaji wa mwenzake.
[emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Zaburi 90 : 12 Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu,Tujipatie moyo wa hekima.
Zaburi 39: 4 BWANA, unijulishe mwisho wangu,Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani;Nijue jinsi nilivyo dhaifu.