Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

imefika usiku anauliza saa wakawa wanamdamganya kuwa inakaribia alfajiri akasema sio kweli Mimi siwezi fika huko mbali SanaDuh huyu aliuona mwisho wake live
Ndio, mida anauliza ilikuwa saa sita kasoro wao wakawa wanamwambia ni saa kumi na moja kasoro ndo akawa anasema sio kweli,Mimi siwezi fika huko mbali Sana na around saa Tisa kasoro akafariki
 
Ndio, mida anauliza ilikuwa saa sita kasoro wao wakawa wanamwambia ni saa kumi na moja kasoro ndo akawa anasema sio kweli,Mimi siwezi fika huko mbali Sana na around saa Tisa kasoro akafariki
Alikuwa keshauona mwisho wake
 
Hiki ndicho kinachotokea unapokuwa mahututi
Screenshot_20220213-151659.jpg
 
Binafs naunga mkono hoja na ndio msimamo wangu siku zote kwamba kifo ni hatua nzuri zaidi japo ndugu zangu na watu wa dini hawapendag kusikia nikisema hivyo.

Kipindi flan nilimwambia rafik yangu sentensi hii lakin alinichukia Sana. Nilimwambia hv

"hakuna mtu asiyependa raha au maisha mazuri. Hapa duniani asilimia nyingi zimejaa shida sana kuliko raha"

Kipindi hicho tulikuwa chuo, tukawa tumeishiwa hela ya matumiz, siku ile tukala ugali bila mboga. Nikamwambia rafik yangu kwamba, kufa kuzuri wanao kufa hawajawah kurud tena.

Hii ina maana kama mtu alikuwa anakula ugali bamia dunian, vyovyote vile akifa akakuta hakuna chakula kizuri huko alikoenda lazma angekuwa amerudi, lakin kwa kuwa hajarud, Ina maana uko aliko kwenda kakuta chips kuku, na mapocho pocho mengi. Hawez kurud kwenye ugali bamia tn. Ndio maana hawarud.

So wanao kufa hawarudi kula ugali mlenda duniani.. yawezekana kwao wanakula pilau pilau tu. Na raha kama zootee.

Mm ata kwenye msiba sipendag neno wasemalo watu, " eti tunampumzisha marehem kwenye nyumba yake ya milele" hili neno Lina nipa shida. Unampumzishaje wakati yeye ndiye kajipumzisha na tayari kalala chaliiii.....? Wee jaman

Neno lingine ambalo linanisumbua kwenye misiba, eti " tunaenda kumzika au kumstili kwenye nyumba yake ya milele!

Hivi kweli jaman, nan anauhakika kwamba marehem hiyo ndiyo nyumba ya milele hatoweza kutoka tena? Eti tunamsitili ! Kivip??

Nyie mnalilia marehemu, maana yake mnampenda Sana, msingetaman ata kumzika, sasa unamsitili kivip. Naona Kama tunatumia ka lugha ka unafiki tu. Maoni yangu.
Hapa tungekuwa tunasema hivi. Jaman marehem tunampenda Sana, lakin badae atatunukia hivyo ngoja tumfukie kuepuka hewa chafu.

Naunga hoja mkono Mshana
Hayo maneno ni mazuri kwa ajili ya kujifariji mkuu. Kwamba tunampunzisha kuliko kusema maneno mengine yatakayoongeza machungu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Bible ukisoma na kutafsiri mstari mmoja tuu utapotoka...ukisoma hii mada kwa utulivu utagundua kuwa kuna vifo vya aina nyingi...
pia ukisoma habari za samweli alipokufa , mfalme sauli alipokua na vita , alienda kwa mganga akaomba apandishiwe samweli nabii aliekufa , akamtabiria!
 
Neno kifo kifo linatokana na Kiarabu "qif" kwa urahisi "stop".

Neno mauti pia linatokana na Kiarabu, mawt.

Kifo hata mkono wako au kiungo chako chochote mwilini kinaweza kufa lakini haina maana kimekuwa maiti kwa sababu anaeingia kwenye umauti ni wewe na si kiungo chako. Biblia inasema unakuwa "angelized" au "spirit". Hauwi tena na physical body.

Kuwa maiti ni wewe kuingia kwenye umauti.

Kinachokufa ni kiwiliwili chako lakini si wewe. Wewe unaingia kwenye "state" nyingine inayoitwa mauti.

Huwezi kulikwepa darsa.
mbona hauna tofauti na alichoeleza mashana au ulitaka uanzishe huu uzi wewe?
 
mshana naomba kuuliza ? ile state mtu anapofanya meditation anakuwa ametoka njee ya mwili ( astral body projection) inaweza lingana na state ya umauti?
Kuna dhana mbili hapo
1. Uko kwenye nyumba halafu unahama chumba
2. Uko kwenye nyumba halafu unahama nyumba
Je umenipata?
 
memento mori'— 'kumbuka kwamba lazima ufe'—
20221031_230932.jpg
20221031_230920.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom