Samwel Sitta Live on Mlimani TV

Samwel Sitta Live on Mlimani TV

Anasema amepitia wakati mugumu sana katika hiki chama cha Magamba...kwamba anaweza kuondoka katika hili chama la Magamba ikifika mahala anaona wanamzingua sana...
 
Kwamba kwenye hilo chama Magamba kuna makundi mengi ya kimaslahi..
 
lile vazi amevaa lina picha za watu hapa sehemu ya kifua.

moja ya picha ni ya Rostam?
 
Anapinga malipo kwa Dowans anasema ni wizi wa mchana huo
 
Kwamba falsafa ya chama sasa sio tena kutumikia watu ni kujitajirisha na kwamba vikao vya chama Magamba huwa vinanunuliwa loh hii ni hatari ina maana kama NEC Ya Magamba unakuta tayari imepigwa bei!!!
 
jamaa mmoja anapiga simu kutoka mbweni anatoa povu.

huko tulishatoka kaka.
 
ngoja niulize swali japo muda wa maswali umepita...........

mzee sitta, kwa nini hukwenda igunga?
 
Anapinga malipo kwa Dowans anasema ni wizi wa mchana huo

Anayoyasema Sitta ni kweli tupu, lakini baadhi watamshambulia kwa kumuita kwamba ni mnafiki. Sijawaona wala kuwasikia hao wasio wanafiki ndani ya CCM au Serikali wasimame hadharani na kuyazungumza hayo yanayozungumzwa na Sitta ambayo ni kweli tupu. Hao wanaodhaniwa kwamba si wanafiki ndani ya CCM/Serikali wako kimyaaaa! huku wizi wa mchana kweupe wa kuwalipa Dowans shilingi bilioni 113 ukiandaliwa kimya kimya. Na hao wasiokuwa wanafiki wakisubiri mgao wao kwa kufanikisha malipo.

Bora mnafiki anayesema kweli hadharani kuhusu maudhi mbali mbali ndani ya nchi yetu ikiweko ufisadi uliokithiri au asiye mnafiki lakini kayafumbia macho maudhi yote na ufisadi kama vile kila kitu ndani ya nchi kiko shwari kabisa?
 
Huyu mzee 6, huku kujiamini siyo bure. Naona anatafuta ban kwa nguvu kutoka kwenye chama cha magamba. Bahati nzuri hakuna mwenye ubavu wa kumpa ban, labda kumpa sumu ndiyo wanaweza.
 
Huyu mzee 6, huku kujiamini siyo bure. Naona anatafuta ban kwa nguvu kutoka kwenye chama cha magamba. Bahati nzuri hakuna mwenye ubavu wa kumpa ban, labda kumpa sumu ndiyo wanaweza.

Aangalie asije akamfuata Mwakyembe huko Kwenye Hospital za Viongozi wa Mafisadi?
Magamba wanaamikika kwa Uchawi wa Kukolimba
 
Afadhali nimsikilze Baba wa Taifa huko ITV akihutubia kwenye Mei Mosi Mwaka 1995 Mjini Mbeya. Hata hivyo Sitta aulizwe kwanini aliandamana Mbeya kama wanavyofanya "wapinzani wanafiki"? Je amaunga mkono upinzani?
 
Huyu mzee 6, huku kujiamini siyo bure. Naona anatafuta ban kwa nguvu kutoka kwenye chama cha magamba. Bahati nzuri hakuna mwenye ubavu wa kumpa ban, labda kumpa sumu ndiyo wanaweza.

Nadhani akiendelea na huu utaratibu wake wa kuisemea hovyo CCM/Serikali basi si ajabu zikaandaliwa namna za kumkolimba huyu Mzee.
 
Back
Top Bottom