Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Kwa kuendelea kwake kuwepo CCM ina maana moja tu ya kwamba anakubaliana na falsa hiyo vinginevyo angekwisha ondoka kwakuwa hakubaliani na Falsasa ya viongozi kutumikia utajiri badala ya wananchi. Na kama anazungumza kwamba hayo yanamchukiza na bado anaendelea kuwapo humo basi jamaa si Mnafiki tu bali ni BAZAZI pia.Kwamba falsafa ya chama sasa sio tena kutumikia watu ni kujitajirisha na kwamba vikao vya chama Magamba huwa vinanunuliwa loh hii ni hatari ina maana kama NEC Ya Magamba unakuta tayari imepigwa bei!!!