The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Hizi mashine we acha tu, hakuna mpinzaniWakuu, habari za jumapili?
Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.
Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.
Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa.
I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.
Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.
Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.
Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
Mm nashauri mtu atulie atafute flagship ambayo inamridhisha kwa mahitaji yake then atulie nayo hata miaka miwili...Kama budget sio tatizo mm nasema kila mwaka badili flagship chukua chuma kingine
Umenunua kwa bei gani?Wakuu, habari za jumapili?
Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.
Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.
Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa😂😂.
I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.
Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.
Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.
Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
Kuna chuma kinaitwa Xiaomi mi 11 Ultra...Wakuu, habari za jumapili?
Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.
Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.
Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa.
I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.
Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.
Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.
Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
Zoom yake cha mtoto kwa S21 UltraKuna chuma kinaitwa Xiaomi mi 11 Ultra...
Weka mbali na watoto.
Only zoom lens. Ila camera yake baada ya updates ni next level.Zoom yake cha mtoto kwa S21 Ultra
Acha Tumngoje AjeHuu uzi bila ya Chief-Mkwawa hautakamilika aisee.
@Chief-Mkwawa njooAcha Tumngoje Aje
Bajeti ndugu,tunapenda kuishi humo lakini kama unavyojua mifuko na vipaumbele havilingani.Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengnekasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu
Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengnekasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu
Wakuu hii Samsung A72 mnaionaje? Kwa bajeti yangu nataka nichukue hii kwanza..
Umesomeka sana kiongozi!hiyo ndio beki wa kati kwa sasa.
kama mfupi hufiki juu kule na sio mnyonge sana kuja huku kwa akina a20s na a30 hapo ni penyewe kabisa,hutojuta.