Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Nimeipenda hiyo MATHA Vs MATAGAHuyo Mh. Samia ndiyo Rais wetu aliyetukuka. Aliyetufanya tutabasamu ndani ya siku chache mno. MATAGA poleni mnoo. Sisi tuko MATHA =Make Tanzania Happy Again. Na katiba mpya atatuletea tu tumpe muda. Na katiba ya CCM nakuhakikishia itapitiwa upya.
Mkuu Mwambie huyo MATAGA Sukuma Gang. Hajui tuko na uhuru na furaha. Tumezaliwa upya.Mama ndiye Rais wenu
Nalog off
You nailed it Mkuu. Yaani hawa watu bado wanaota. 40 yaani ni kusahaulika jumla.Nimeipenda hiyo MATHA Vs MATAGA
MATAGA = Make Tanzania Great Again (unfortunately it has never been great before) so its nonesense
MATHA = Make Tanzania Happy Again (Yes because it was happy before) and so that make sense for sure
R.I.P = REST IN PROBLEMSMwendazake
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..
Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?
Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Na wewe kufa umfuate huko aliko, si unamuabudu binadamu!! Mtu mwenyewe alikuwa mwizi, mwongo na Fisadi wankutupwaNi nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..
Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?
Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Magufuli amgeweza kuleta Katiba mpya nakubaliana na wewe. Aliwaandaa kina Ndugai, Ally Keissy, Kibajaji na Deo Sanga kuandaa muswada wa katiba mpya ya kuwa Rais wa kudumu.Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..
Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?
Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Ulipata wapi taarifa za Magufuli kulazwa?Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse..
Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?
Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"
Unakuwaje malaya walivyoongezeka kama mwenye siyo malaya au mteja wa malaya.You do not keep your ear to the ground. Kwanza unajiita Alexander hujui Alexander alikuwa shoga.
Umeona umalaya wa wanawake ulivyoongezeka mtaani siku mbili tu huyu mama alivyokuwa Rais?
Siyo swala la kuwa na akili timami. Ni swala la kuwa na akili ya kutosha.
Hata chura ana akili timamu.
Only the best should lead. Wengine watamshauri.
We are competing with other countries. We are not competing with ourselves,kama jogger asubuhi ambaye anaweza kukimbia spidi yoyote anayopenda.
Leadership must come from ONE mind. The more it can come from one mind,the greater unity there will be.
Lakini hapa unamwambia mtu,"Ongoza tu,ikiwa vipi,mimi nitakusaidia"
Katiba mpya inapatikana ndani ya mwezi mmoja?
Watoto mbona mnakariri Tu katiba mpya
Mnaijua hata hii iliyopo?
Mbona Magufuli alikuwa anaikanyaga kanyaga hata hii ya sasa na hakuna mlichomfanya?