Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

Mkuu kwa huyu samaki tumboni hukuonekani ni transparent....sasa udhahiri wa tumbo la vigogo utatoka wapi?
Samaki huwa anakula viumbe wadogo wadogo sana na hata particles za mimea hivyo ni ngumu kwa sisi kuona vyakula alivyokula huyo samaki...pia ukiangalia ukubwa wa huyo samaki nadhani ni kama dagaa.Kwa wanadamu ni rahisi maana tunakula mapande makubwa ya chakula na pia ni rahisi kung'amua haya ni maharage, nyama n.k n.k..
 
148644_456539687740416_1237053329_n.jpg

Leptocephalus - The Transparent Fish
Huyo ni mtoto (larva) wa "samaki" aina "mkunga" ("eel"). Akikua anabadilikia (metamorphose) na kuwa wa kawaida tu.
 
Samaki huwa anakula viumbe wadogo wadogo sana na hata particles za mimea hivyo ni ngumu kwa sisi kuona vyakula alivyokula huyo samaki...pia ukiangalia ukubwa wa huyo samaki nadhani ni kama dagaa.Kwa wanadamu ni rahisi maana tunakula mapande makubwa ya chakula na pia ni rahisi kung'amua haya ni maharage, nyama n.k n.k..

Dagaa akitumbuliwa Tumbo lake utaona utumbu licha Ya kuona kilichopo ndani ya huo Utumbo lakini kwa Samaki huyu Wa ajabu hata Utumbo hauonekani.....Mkuu au wewe unauona utumbo wa Huyo Samaki?
 
mungu mkubwa! huyu supu yake inaongeza nguvu sana, pweza sijui nini tupa kule! kitu transparent fish...
 
Dagaa akitumbuliwa Tumbo lake utaona utumbu licha Ya kuona kilichopo ndani ya huo Utumbo lakini kwa Samaki huyu Wa ajabu hata Utumbo hauonekani.....Mkuu au wewe unauona utumbo wa Huyo Samaki?
Distribution:Leptocephalus can be found worldwide, specially in European areas.Description:Leptocephalus (meaning=slim heads) are ribbonlike, translucent, pelagic larva of marine eels and some freshwater eels and other members of Elopomorpha. Eels with this transparent larva stage includes some of the popular and mostly known eels such as Moray eel and garden eel.The body is laterally compressed and contains jelly-like substances on the inside, with a thin layer of muscle with visible myomeres on the outside. hey have a simple tube as a gut. They have dorsal and anal fins, but lack pelvic fins. They also don’t have any red blood cells, which they only begin produce when the change into the juvenile glass eel stage. They also possess fang-like teeth that are present until metamorphosis, when they are lost.Habit:They feed on tiny floating marine substances called “marine snow”. They can be found in about 100 meters deeps at night and a little deeper in daytime.
transparentfish1.jpg
 
Dagaa akitumbuliwa Tumbo lake utaona utumbu licha Ya kuona kilichopo ndani ya huo Utumbo lakini kwa Samaki huyu Wa ajabu hata Utumbo hauonekani.....Mkuu au wewe unauona utumbo wa Huyo Samaki?
Mkuu hoja yako inamashiko,hata mimi sielewi imekaaje!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom