Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana!
Hahahahahaha we nawe wawaza kula tuuu
Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana!
Mkuu TUKUTUKU Samaki huyu anafaa kwa kufugwa sio wa kitoweo kwa sababu ni samaki wa ajabu sio wa kumla ni kufuga tu.Mkuu MziziMkavu vipi huyu samaki anafaa kwa kitoweo?kwa macho tu nimemtamani sana kumla supu!