Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Wanasayansi Toka Uingereza wameleta Teknolojia ya kipekee kwa kuweza kuunda Roboti mwenye umbile la Samaki anayekula vitu vyote vya plastiki vilivyopo baharini.
Samaki huyo anakula micro plastic Kisha huweza kubadilisha plastiki kuwa mafuta ambayo yanamsaidia kujiendesha yeye mwenyewe akiwa majini bila kutumia betri la aina yoyote.
Roboti huyo anaiga sifa zote alizonazo samaki Halisi , lengo kubwa ni kuweza kutumika kwenye usafishaji wa bahari dhidi ya vitu vya plastiki vinavyorushwa baharini ili kuweka mazingira sawa.
#fish #robotfish #ecoinnovation #oceancleanup #microplastics #suistanabletech #cleanseas #ukscience #greenfuture #techforgood #habari #bongotech255