Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Leptocephalus - The Transparent Fish
Mkuu inawezekana ana supu nzuri sana!Kula hii kitu ni kutafuta matatizo tu
Teh teh teh!baharini!Anapatikana wapi huyo, nionje mchemsho wake...
Precisely mkuu!duuh! kweli aliyeumba anastahili sifa!
Teh teh teh!na wale wanakula supu ya kambi ya fisi wangejulikana!Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...
Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi?Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke.
Nahisi kama huyo samaki ni kharamu kuliwa. Maalim MziziMkavu naomba unielimishe nisipotoke.
du huyu ukimchoma na kiepe vipi....
Mkuu mbona unapenda kuharamisha vitu bila sababu za msingi?
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...