Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Buchanan wewe ni mods uliyekuja huku. Unawaona watu ambao wanavuruga jukwaa na unalijua jukwaa lilivyokuwa. Lugha kama uliyompa charminglady sio ya busara ni ya kutisha na ambayo ulipaswa kumpa kwenye pm yake
manoah ndio hivyo bana inabidi tuwe makini sana
Marry Hunbig sijui ni lugha gani tuongee ili mods aelewe aise
Ok, kwa hilo la lugha mnisamehe wakuu! I hope hakuna jingine! Kwa hao wavurugaji tusaidiane kuliko lawama kila wakati!
Last edited by a moderator: