Samahani wanajukwaaa

Samahani wanajukwaaa

Status
Not open for further replies.
Erickb52 pm mpaka lini mkuu. Tunatakiwa tutafute suluhisho la hili jukwaa aise liwe na amani yake ya kudumu
noahism umeona eehh jukwaa ni la kila mtu bana halina mwenyewe kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei jukwaa limepoteza hamu aise na ukiangalia wachangiaje wengi wa chit chat wameacha kuchangia kwa kuogopa ban aise

[color=#0084]hali si hali humu. Siku hizi humu pamekuwa panatsha[/color]
 
Last edited by a moderator:
Hebu nieleze umemfanya nini binti yangu???

Ok, kwa hilo la lugha mnisamehe wakuu! I hope hakuna jingine! Kwa hao wavurugaji tusaidiane kuliko lawama kila wakati!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom