Salute kwa Wana-JF NBC Imeomba na Radhi na Inataka Kikao!!

Status
Not open for further replies.
- Kaka tunataka kurekebisha uozo it does not matter ujumbe umetokea kwa nani kinachajlisha ni kurekebisha, please join me uwe part of solution wachana na kuwa prt of the problem all the times, chagua moja kurekebisha au kuendelea kulalama tu!!

Le Mutuz System

Mbona hujuma zinazofaonywa na serikaki yako ya ccm dhidi ya watanzania huziongelei wala kuzikemea? Inakuaje rasilimali za taifa mnagawana hususan mauji ya wanyama kama tembo madin gesi huzungumzii au huo sio uozo.
 
Safi sana mkuu, tuko kwa ajili ya kujenga,, me sio mteja wao, ila waambie wajitahidi kutoa elimu ya ujasiriamali na mikopo nafuu kwa wazalendo masikini...,, vile vile wapite vyuo vikuu kutoa elimu ya ujasiliamali.
 
- Sawa sawa mkuu nipo ofisini hapa sitoki mpaka saa nane nachapa kazi U know!!

Le Mutuz System

Naweka itikadi pembeni niko pamoja na wewe licha ya kwamba mimi company account iko crdb ila account binafsi ninayo, tunakutana wapi kuwaeleza ukweli hawa?

ila nadeclare interest kuna bosi wao mkubwa wa kike kama na yeye atakuwepo siwezi kuhudhuria nitamuonea aibu.

kama wako tayari kutaja delegation yao itakuwa vyema sana.
 
- Unazungumzima Sheria ya maisha kaka, yaani ili kero isikilizwe sometimes it takes jina kubwa cha muhimu ni kama walengwa wamesikia na hapa wameonyesha wamesikia sasa twende turekebishe au baki kulia lia!!

Le Mutuz System

Kaka ondoa kwanza boriti jichon mwako ndio utaona kibanzi jichon kwa mwenzako.
 
Mbona hujuma zinazofaonywa na serikaki yako ya ccm dhidi ya watanzania huziongelei wala kuzikemea? Inakuaje rasilimali za taifa mnagawana hususan mauji ya wanyama kama tembo madin gesi huzungumzii au huo sio uozo.

- Siwezi klupigania mambo ambayo sina facts, nilichopigania hapa ni FACT na wananchi wengi wameunga mkono na sasa wahusika wamekubali kusikiliza, na wewe si upigie kelele hayo unayoyasema tunashikiriana sasa untaka nifanye yote peke yangu mkuu?

Le Mutuz System
 
- Uoga? WHo? me are you kidding me or what, huna hoja tuliza boli!1, ningekua nawaogopa ningeenda majengo yao ila nimeapa kwamba as long as I live sitakanyaga majengo ya NBC!1

Le Mutuz System

Hutakanyaga humo couse huna ulichowekeza humo zaidi yakuwekezea tumbon.
 
Naweka itikadi pembeni niko pamoja na wewe licha ya kwamba mimi company account iko crdb ila account binafsi ninayo, tunakutana wapi kuwaeleza ukweli hawa?

ila nadeclare interest kuna bosi wao mkubwa wa kike kama na yeye atakuwepo siwezi kuhudhuria nitamuonea aibu.

kama wako tayari kutaja delegation yao itakuwa vyema sana.

- Kaka nitafute kwenye sms au watsap otherwise ofisi yangu ipo Hifadhi House gorofa ya 9

Le Mutuz System
 
Mbona hujuma zinazofaonywa na serikaki yako ya ccm dhidi ya watanzania huziongelei wala kuzikemea? Inakuaje rasilimali za taifa mnagawana hususan mauji ya wanyama kama tembo madin gesi huzungumzii au huo sio uozo.

mkuu with all due respect naomba usituchanganyie mada hapa, kama muda wote unawaza siasa tu tafuta thread za chadema wenzako na ccm mchambane huko.
 
kama wana nia ya dhati wawe na mwakilishi humu jf kujibu kero mbalimbali...

Hii naiunga mkono, kwa Tanzania achilia Facebook JamiiForum ndo inafatia kama social media yenye watu wengi, sio NBC tu, hata kampuni nyingine zote Vodacom, Airtel, sio television wote ilitakiwa wawe na representatives humu
 
- Siwezi klupigania mambo ambayo sina facts, nilichopigania hapa ni FACT na wananchi wengi wameunga mkono na sasa wahusika wamekubali kusikiliza, na wewe si upigie kelele hayo unayoyasema tunashikiriana sasa untaka nifanye yote peke yangu mkuu?

Le Mutuz System

Unamanisha kwamba huelewi kwamba tembo wetu wanamalizwa na maharamia walioko ndan ya chama ccm. Kama utaweza kuwaambia ukweli kama nbc naamini nao watakuita.
 
- NMB wameshanifungulia account tayari so nitawatumia wao, ila sitaigusa tena NBC pole sana!1

Le Mutuz System
Sasa kama umesusa kugusa NBC unakusanya maoni ya nini? Ungewaacha wenyewe watumie tools zao kuona perception za wateja wao. Hili zoezi lako naliona kama limeshindwa kabla hujalianza. Ungekuwa neutral atleast hapa jukwaani wakati kwenye akili yako ushajipa viapo vya kutosha. Ningekuwa sehemu ya Management ya NBC na ninasoma huu ujinga wako kwenye RED ningeahirisha hicho kikao.

NBC wamekuheshimu lakini unashindwa wewe kuwaheshimu ni sign ya immaturity ya hali ya juu uliyonayo. Hatukatai wamekukwaza lakini they also deserve kuheshimiwa na kuretain wateja wachache waliopo ambao kwao hizo kero ulizoziona wao hawazioni. Sasa ku demoralize hata wachache waliobaki ni uhuni...kama umetumwa waliokutuma wanafanya makosa makubwa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom