- Jamani wana-JF wote mlishiriki kuniunga mkono kuhusu thread yangu ya Jana kuhusu Uozo wa NBC bank, hatimaye leo wamenitafuta na kuomba sana radhi na kwamba wanaomba kiwepo kikao baina ya Management yao na Mimi, nasema siwezi kukaa nao chini peke yangu nawaomba wale wote wanaojiamini waliotoa maoni yao ambao wapo hapa mjini Dar tutafutane at +255 717 618 997 kusudi tuweze kujipanga namna ya kuwasaidia,
- Na wale wote ambao hamuwezi kujitokeza wenyewe please nitumiea ujumbe aidha hapa au kwenye sms +255 717 618 997 au watsap namba hiyo hiyo nipe ujumbe wako unaotaka ufike kesho kwa NBC bank, mimi siwaogopi na habari njema ni kwamba wanataka kuyja ofisini kwangu so nawaomba wale wote wana-JF wanaojiamini tukutane tuwape darasa live hawa masikini wa akili ya biashara, kwa kweli I am proud of you all mlioshiriki ile thread maana ujumbe umefika kama ulivyo, that is what JF should be kurekebisha sio kuzusha na majungu majungu, tukiweka FACTS hawatakuwa na ujanja ila kukubali kurekebishwa ndivyo zamani JF ilivyokuwa tukazane turudi tulikotoka jamani!!
SALUTE KWA WOTE!!
Le Mutuz System
Ongera mkuu mimi acc. yangu ya nbc nilishafunga
- Unazungumzima Sheria ya maisha kaka, yaani ili kero isikilizwe sometimes it takes jina kubwa cha muhimu ni kama walengwa wamesikia na hapa wameonyesha wamesikia sasa twende turekebishe au baki kulia lia!!
Le Mutuz System
Unajua maana ya Cheque list? Unajua inavyotayarishwa? Rudi ofisini kwako muulize mhasibu wako ni mazingira gani jina la mtu aliyeandikiwa Cheque halitokei kwenye chekilisti ndipo uje kujamba jamba humunilipeleka cheki pale wakasema haipo kwenye list wakati mfanyakazi mwenzangu jina lake lipo na bosi kaizinisha tayari
KIUKWELI MFUPO WA CHEKI SI MZURI HAPO KABISA WABORESHE KWANI
SI MARA MOJA HATA OFFICE YETU ILISHATAKA KUHAMA KWAO
Sasa kama umesusa kugusa NBC unakusanya maoni ya nini? Ungewaacha wenyewe watumie tools zao kuona perception za wateja wao. Hili zoezi lako naliona kama limeshindwa kabla hujalianza. Ungekuwa neutral atleast hapa jukwaani wakati kwenye akili yako ushajipa viapo vya kutosha. Ningekuwa sehemu ya Management ya NBC na ninasoma huu ujinga wako kwenye RED ningeahirisha hicho kikao.
NBC wamekuheshimu lakini unashindwa wewe kuwaheshimu ni sign ya immaturity ya hali ya juu uliyonayo. Hatukatai wamekukwaza lakini they also deserve kuheshimiwa na kuretain wateja wachache waliopo ambao kwao hizo kero ulizoziona wao hawazioni. Sasa ku demoralize hata wachache waliobaki ni uhuni...kama umetumwa waliokutuma wanafanya makosa makubwa sana
- kaka jiunge na mimi tukarekebishe au bakia kulia lia humu!1
Le Mutuz System
Baada ya hicho kikao na William utaifungua?
Unamanisha kwamba huelewi kwamba tembo wetu wanamalizwa na maharamia walioko ndan ya chama ccm. Kama utaweza kuwaambia ukweli kama nbc naamini nao watakuita.
Unajua maana ya Cheque list? Unajua inavyotayarishwa? Rudi ofisini kwako muulize mhasibu wako ni mazingira gani jina la mtu aliyeandikiwa Cheque halitokei kwenye chekilisti ndipo uje kujamba jamba humu
Sasa kama umesusa kugusa NBC unakusanya maoni ya nini? Ungewaacha wenyewe watumie tools zao kuona perception za wateja wao. Hili zoezi lako naliona kama limeshindwa kabla hujalianza. Ungekuwa neutral atleast hapa jukwaani wakati kwenye akili yako ushajipa viapo vya kutosha. Ningekuwa sehemu ya Management ya NBC na ninasoma huu ujinga wako kwenye RED ningeahirisha hicho kikao.
NBC wamekuheshimu lakini unashindwa wewe kuwaheshimu ni sign ya immaturity ya hali ya juu uliyonayo. Hatukatai wamekukwaza lakini they also deserve kuheshimiwa na kuretain wateja wachache waliopo ambao kwao hizo kero ulizoziona wao hawazioni. Sasa ku demoralize hata wachache waliobaki ni uhuni...kama umetumwa waliokutuma wanafanya makosa makubwa sana
Kaka nitaungana nawewe pale utakapokua tayari kukemea ufisadi rushwa ubadhirifu na utendaji mbovu wa serikali yetu ya ccm.
mkuu. umeongea maneno ya busara sana.,, kwa hapa le mutuz amejichanganya..
- Kaka mbona unaweweseka sana vipi? Tuliza boli hapa wananchi wanatoa maoni yao kesho yafikishwe kwa Pilato wewe kaa na mashauri yako foolish!1
Le Mutuz System
mkuu with all due respect naomba usituchanganyie mada hapa, kama muda wote unawaza siasa tu tafuta thread za chadema wenzako na ccm mchambane huko.