Salute kwa Wana-JF NBC Imeomba na Radhi na Inataka Kikao!!

Status
Not open for further replies.

W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,055
2,000
- Jamani wana-JF wote mlishiriki kuniunga mkono kuhusu thread yangu ya Jana kuhusu Uozo wa NBC bank, hatimaye leo wamenitafuta na kuomba sana radhi na kwamba wanaomba kiwepo kikao baina ya Management yao na Mimi, nasema siwezi kukaa nao chini peke yangu nawaomba wale wote wanaojiamini waliotoa maoni yao ambao wapo hapa mjini Dar tutafutane at +255 717 618 997 kusudi tuweze kujipanga namna ya kuwasaidia,

- Na wale wote ambao hamuwezi kujitokeza wenyewe please nitumiea ujumbe aidha hapa au kwenye sms +255 717 618 997 au watsap namba hiyo hiyo nipe ujumbe wako unaotaka ufike kesho kwa NBC bank, mimi siwaogopi na habari njema ni kwamba wanataka kuyja ofisini kwangu so nawaomba wale wote wana-JF wanaojiamini tukutane tuwape darasa live hawa masikini wa akili ya biashara, kwa kweli I am proud of you all mlioshiriki ile thread maana ujumbe umefika kama ulivyo, that is what JF should be kurekebisha sio kuzusha na majungu majungu, tukiweka FACTS hawatakuwa na ujanja ila kukubali kurekebishwa ndivyo zamani JF ilivyokuwa tukazane turudi tulikotoka jamani!!

SALUTE KWA WOTE!!

Le Mutuz System
 
W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,055
2,000
Lemutuz wawaambie na wale wasiojulikana wawe wanawafuata ofisini kwao kujadiliana nao wasilete unafiki.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

- Kaka tunataka kurekebisha uozo it does not matter ujumbe umetokea kwa nani kinachajlisha ni kurekebisha, please join me uwe part of solution wachana na kuwa prt of the problem all the times, chagua moja kurekebisha au kuendelea kulalama tu!!

Le Mutuz System
 
W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,055
2,000
Lemutuz wawaambie na wale wasiojulikana wawe wanawafuata ofisini kwao kujadiliana nao wasilete unafiki.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

- Unazungumzima Sheria ya maisha kaka, yaani ili kero isikilizwe sometimes it takes jina kubwa cha muhimu ni kama walengwa wamesikia na hapa wameonyesha wamesikia sasa twende turekebishe au baki kulia lia!!

Le Mutuz System
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,798
2,000
Hongera sana mkuu! Sasa lazima uhakikisha unawaeleza na wana jirekebisha lasivyo watapoteza wateja wengi.
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
3,285
2,000
Kudos mkuu Le Mutuz,naona watu wapenda ligi bado wanaleta ubishani hata kwenye mambo muhimu na mimi ntakutumia ujumbe sasa hivi. Sikuiona thread yako ila walishanidhulumu laki mbili mwaka juzi mpaka nikaamua kufunga ile akaunti.

Keep up the good work
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,969
2,000
Ile thread 'iliwachafua'. ningeshangaa sana kama wasingechukua hatua yeyote.
Hata hivyo naamini wanataka kuyamaliza kwa sababu ya jina la 'Malecela'.
 
Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,761
2,000
Le Mutus System ninakushauri uiweke hiyo thread kwenye bandiko lako hili ili hata wengine ambao hawakuisoma waweze kuisoma baada ya kusoma ujumbe wako huu hasa ikichukuliwa kuwa siyo wote watakaosoma thread yako hii watakuwa wamesoma pia kile kilichosababisha hii thread.

Waingereza wanasema, Let's recap!
 
MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,217
1,225
- Jamani wana-JF wote mlishiriki kuniunga mkono kuhusu thread yangu ya Jana kuhusu Uozo wa NBC bank, hatimaye leo wamenitafuta na kuomba sana radhi na kwamba wanaomba kiwepo kikao baina ya Management yao na Mimi, nasema siwezi kukaa nao chini peke yangu nawaomba wale wote wanaojiamini waliotoa maoni yao ambao wapo hapa mjini Dar tutafutane at +255 717 618 997 kusudi tuweze kujipanga namna ya kuwasaidia,

- Na wale wote ambao hamuwezi kujitokeza wenyewe please nitumiea ujumbe aidha hapa au kwenye sms +255 717 618 997 au watsap namba hiyo hiyo nipe ujumbe wako unaotaka ufike kesho kwa NBC bank, mimi siwaogopi na habari njema ni kwamba wanataka kuyja ofisini kwangu so nawaomba wale wote wana-JF wanaojiamini tukutane tuwape darasa live hawa masikini wa akili ya biashara, kwa kweli I am proud of you all mlioshiriki ile thread maana ujumbe umefika kama ulivyo, that is what JF should be kurekebisha sio kuzusha na majungu majungu, tukiweka FACTS hawatakuwa na ujanja ila kukubali kurekebishwa ndivyo zamani JF ilivyokuwa tukazane turudi tulikotoka jamani!!

SALUTE KWA WOTE!!

Le Mutuz System

Hebu shughulika na zile bil200 kule BOT sio kuhangaika na vi2 vidogo visivyokua na tija kwa taifa.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom