Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Hivi dayamond na ukimataifa wake ame sample nyimbo kama hii bila kibali???
1474260046839.png
 
Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.

Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.

This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
Siamini kama diamond anaweza kufanya upumbafu kama huo bila kuogea na saida carol isitoshe dai ni mwanamziki wa kimataifa!
 
Hii nyimbo ni noma, kila napopita inapigwa mno, tangu Jana..nasikiliza sijaichoka..aisee huyu jamaa acha kabisa.... Ila Raymond bana.... "Ueeehhh mwenzako nyang'anyang'aa.. Uh mieee binzari we ndo nyanyaa, ngwangwaa isimamie kama kangaroo, uibane kama gwaruu... Huku nyuma babu nipige ngwangwangwaa"... Shikamoo wasafi sitaki kujua sana mlimaaniisha nini apo.
 
Ndio nimetoka kuipakua nyimbo mpya ya Mond.
Dahhh.....
Kiukweli kijana ameifanya poa sana, hata nikirejea kwa waliokua wakisema amecopy Saida......
Mhhhh.....
Hapana, ebu ngoja nikatae aiseeee.... ninachoweza sema ni, kijana kakoleza kwa vionjo vya kiafrika.
Na hata wanaosema ambana kwa Salome, Naahhhh basi tuseme pia Mr Flavor pia ameibiwa.
Nimeaskia kijana kamtaja na Zari ndani
HAHA.. HUU WIMBO MKALI SANA NADHANI UTAITEKA DUNIA KWA VIONJO VYA ASILI.. TOKA JANA MPAKA LEO ASUBUHI NAUCHEZA , VIUNGO VYOTE VIMECHOKA, MWILI MZIMA UMEJAA JASHO NGOJA NIKAOGE KWANZA
 
Ila wimbo wame cover wa Saida Karoli, kama hawakuelewana kuna kesi hapa.

Hii hata si sampling, hii ni cover version.

Huu wimbo wa Saida Karoli kila mtu anayefuatilia muziki anajua, mpaka kuna movie moja ya Kimarekani ya Tyler Perry inaitwa "Peeples" umepigwa kama soundtrack.
Kesi inatoka wapi wakati washalipwa ela yao ambayo ni sawa na ela anayolipwa ali kiba kwaajili ya show
 

Attachments

  • 1474262193252.png
    1474262193252.png
    79.3 KB · Views: 32
Habari wanajf!!
Yule msanii wakitambo saida kaloli kaachia wimbo wa salome kwa mara ya pili,japo sijaupenda sana kama ule originale wa Miaka hiyo...
Note: kwa mwendo huu saida kaloli hato rudi kwenye gemu tena.
 
Kaishiwa sasa...saida karoli umeibiwa mamaa
 
Sasa kwenye hiyo video tamaduni yenu tz iko wapi? Hahaaa nyie hamko serious kabisa wimbo huo kaimba Saida ni wa asili ya Kitanzania mm sijasema aonyeshe asili ya wahay angeonyesha asili yetu watz kwasababu mziki Una tamaduni yetu au uquality wa video ni mavaz ya kinigeria ndo inakuw video quality au angetengeneza video yenye Asili ya kitanzania ndo isingetazamwa kwani huwez kuvaa kitz na ukatengenezea video SA lkn ikaonekana Ina mahadhi ya Tz, hoja zenu hazina mashiko kubali mkatae boss wenu huyo Ana unigeria mwingi mpaka anaboa .. Watz hamjikubali
Mavazi ya Kitanzania ndio yapi hayo?!Maana nasikia mpaka leo kuna mchakato wa vazi la taifa
 
Inauma sana kwa huyu kijana wetu saida kaloli vampire lakini hamna namna hizi zitakuwa ni laana za bibi yake "zari la mentali"
 
naona watu wanakimbilia saida karoli wakati walikubaliana ngoja tusubiri tuone mnavyojinyonga.
 
Back
Top Bottom