We nae umekazana na kibakuli wako..huna support lkn umo tuu..kibakuli hatoi nyimbo cz hana hela[emoji23][emoji23][emoji23]..mnakodoas kodo[emoji102]AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
Wakodoaji kodi[emoji102]ila domo kacopy, kichwani zimemuisha anarukaruka tu kama chura, amlipe saida.
Wakina kodo[emoji102] mna mambo!Saida lazima apate chake hapa.
Hii simtetei kakopiDaahh kwl dai ana bahat ya kupendwa bure maana kiba angefanya kama hv angeambiwa hakuna jipya tnzania bana
Wakodoaji kodo[emoji102]Kwa mtindo huu wa copy and paste AJE itaendelea kutamba tu naona kidogo imemkost sana then kakurupuka na nyimbo za kukopy
Saida karoli si upo hai bado ni muda wako wa kwenda mahakamani sasa upige hela
Jinyongen km wimbo ulivyowaambia kina kibakuli kodozWimbo wa ovyooo kabisa nilishasema huyu hajui kuimba kaishiwa amebaki kukopy tu
Kodoz mna mambo[emoji23][emoji23]Achana na hiyo alafu video ina Asili ya Nigeria afu wanajidai et dai katangaz mziki wetu wa asili hahahaaa aisee
Hawa si ndio macho kodo[emoji23][emoji23] wapotezee tuHaaa asokujua kua ww n the biggest hater w wcb nani hapa jukwaani? Hahaha kwahyo hata x bella aluvyoimba wimbo wake na yy mzik umemshinda?jay dee je? Mr paul? Shakira ?wale walioimba wimbo wa we r the one wakina justin beiber ? Na wenyewe wameishiwa haaha halafu mtu kama wewe kweye harusi unaucheza mpaka unakanyaga watu haaha hater leo mtalala mnawaza sana
Haya kina kibakuli mje mjinyongeMnaosema kaiba update kutoka kwa manager hii hapa..... aliruhusiwa kuurudia wimbo
Haijalishi inshort kashafunika[emoji23][emoji23]..team kibakuli macho kodo[emoji102]Hahhaaa kuwahi kutokea katk nchi ya Tanzania au Nigeria??? Maana maneno tu ya kitanzania lakn video ni unigeria mtupu.. Poor Tanzania
Blaza kibakuli hasikiki kubalini tu[emoji23][emoji23]Ucheshi na sautieee
Amenifanya nammiss tuu
Mwambie asiogope
Aliii ni kipenzi cha watuu
Nitafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zakee
King kibaaaa AJE hizi ndio nyimbo za kudikiliza sio kukopy kopy tu nyimbo za watu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kudikiliza kwa kweli..ila za kusikiliza ni salome tuuKweli hizo ndio nyimbo za kidikiliza