Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Excelent video, excelent audio.
Ndio maana halisi ya ubunifu.
Ndio maana halisi ya ubunifu.
Hehehe yaan leo diamond kanifurahisha kuna mtu anasema eti dai amekopi aje n kitu kipya kama aje hahaha kakopi lakin kafunika na kitamlipa mara elfu atoe kitu kipya kik buma je??nipo tu nachungulia sometmz busy busy
Hahaha jirani embu ninong'oneze haah wa wapiKama nawaona ndugu zetu wa kule juu ya nchi
Mm nimeupenda sana sana sana saaaaaanaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ujue watu wana nishangaza, sasa mondi mwenzao ana zidi tusua,
wanajenga majungu yeye anajenga vibanda
Mi nimeupenda, ni bora mtu aseme haupendi tyu kuliko kutafta vijineno vya hapa na pale
SimbaBinladen kachinjwa na kutupwa baharini bila hata mazishi ya ndugu zake ndiye unaona wa kumpigia mfano?
Jiran hujalala tuu mmmh unawajua jiranHahaha jirani embu ninong'oneze haah wa wapi
AaahMm nimeupenda sana sana sana saaaaaanaaa

Haaa asokujua kua ww n the biggest hater w wcb nani hapa jukwaani? Hahaha kwahyo hata x bella aluvyoimba wimbo wake na yy mzik umemshinda?jay dee je? Mr paul? Shakira ?wale walioimba wimbo wa we r the one wakina justin beiber ? Na wenyewe wameishiwa haaha halafu mtu kama wewe kweye harusi unaucheza mpaka unakanyaga watu haaha hater leo mtalala mnawaza sanaKweli mziki mgumu jaman hadi jini roho mbaya kaanza kutoa cover ya saida kaloli basi ngoja tuonee baada ya muda atatoa cover gan ya Kingkikee au rangi ya chungwa.
Sasa kwenye hiyo video tamaduni yenu tz iko wapi? Hahaaa nyie hamko serious kabisa wimbo huo kaimba Saida ni wa asili ya Kitanzania mm sijasema aonyeshe asili ya wahay angeonyesha asili yetu watz kwasababu mziki Una tamaduni yetu au uquality wa video ni mavaz ya kinigeria ndo inakuw video quality au angetengeneza video yenye Asili ya kitanzania ndo isingetazamwa kwani huwez kuvaa kitz na ukatengenezea video SA lkn ikaonekana Ina mahadhi ya Tz, hoja zenu hazina mashiko kubali mkatae boss wenu huyo Ana unigeria mwingi mpaka anaboa .. Watz hamjikubali![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hoja yangu ni kuwa huwezi imba kuhusu mbeya video ikaonesha kigoma(ndio maajabu aliyo yafanya mwana dsm).
Dimondi hajasema ni nyimbo ya kitamaduni za kihaya, kasema anataka kuonesha tamaduni za ki afrika ambazo zimo kwenye video, ujue pia mondi ni msanii wa ki mataifa hawazi audience ya bongo tu. Mi nampongeza na aliona mbali
*naamini na wew unapenda muziki mzuri, na wanaijeria nao wana penda pia
Hahaa n mm pia namalizia kuwajambisha haters halafu ni replay aa much as i canAaah
We mi nakuaminia mbona, pigo zako zote amazing.
Hapa naendelea ku u replay tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
He doesn't care he is the businessmanShame to WCB
N wazembe kufikiria
Saida karol remix or new song?
hayo mambo ya kukopi umeleta wewe...mimi sijazungumzia kukopi maana hakuna jipya chini ya jua nilichosema mimi ni kuwa Nisamehe ndio wimbo mbovu toka nimjue Baraka kama unabisha nipangie kwenye hizo ngoma zake ipi itakuwa ya mwisho alafu utaelewa ilipo Point ya msingiWewe unakwenda nje ya maada kabisaaaaa
Swali lipo kwenye kukopi na kupest mpaka melody na maneno yenyewe.
Basi na beat utakataa?
Sasa mambo ya siachani na we na hayo mengine yanatoka wapi?
Basi nikukubalie kwamba kakopi baraka sasa je kamkopi nani Kama unalazimisha nikukubalie nayeye alikopi?![]()
Asante sanaMnaosema kaiba update kutoka kwa manager hii hapa..... aliruhusiwa kuurudia wimbo
Point. Nadhani wanamuziki wengi wanajua copyright laws kw kiwango flani so sitegemei kesi ya copyright infringement hapaMbona hamkuwahi sema jide kaiba mhogo wa jang'ombe, siwema?
Je ule wimbo wa mr paul?
And sidhani kama diamond anaweza urudia pasipo idhini ya mwenye hati miliki.
Na ule wimbo saida siyo mwenye hatimiliki, mwenye hati miliki ni aliyekuwa meneja wake saida alisainishwa mkataba wa kinyonyaji.