Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,787
- 145,605
Unajua kusoma?Kwa kupenda kuzusha msiyoyajua basi. We kwa akili zako unafikiri Diamond angetumia hiyo Melody bila ya kuelewana na Mzee Mutta na Saida? Ptuuuuu.
Unajua kusoma?Kwa kupenda kuzusha msiyoyajua basi. We kwa akili zako unafikiri Diamond angetumia hiyo Melody bila ya kuelewana na Mzee Mutta na Saida? Ptuuuuu.
Una akili vizuri?Unajua kusoma?
Umejuaje kama hajapewa idhini?Wimbo mbovu idea ya wiz hajapewa idhin kashafulia subir king atoe madude matano ya maangamiz@supported by king kiba
Hakuna ushabiki hapo kama ushabiki mimi ni shabiki namba moja wa Ali toka enzi za Sabrina,Wajua wa Queen Darleen,Sikuoni,nalia wa Ab Skills na uniambii kitu kuhusu Ali.Hahahahaaaaaaa
Ukafananishe hizi saida karoli na nisamehe?
Acha basi kulazimisha moja kuwa Saba
Ila ushabiki ni mbaya Sana jamani
Binafsi hata ya Baraka naipenda. Ingawa na hii ya Diamond ni moto wa kuotea mbali.Hii ngoma ni kali mno...Tulitegemea ule nisamehe wa Baraka na Ali ungekuwa mkali ila walituangusha wale jamaa...Diamond anajua kutumia nafasi kwa hili dude majamaa wamekuja kuivunja vunja Nisamehe.
Ila inaniuma kusema hivi maana mapenzi yangu kwa King Kiba ni makubwa mno ila Hapa no naacha unafiki.
Raymond ni nyokoo huyu mtoto...kwa mtazamo wangu kamfunika Boss wake kwenye hii ngoma.
[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
Amna ushabiki hapo na ukitaka ushabiki mimi ni shabiki wa Ali mara 10 ya ulivyo wewe...ila weka mahaba pembeni alafu nipe jibu ukiambiwa uzipange Siachane nawe,Siwezi na Nisamehe ipi utaiweka nafasi ya kwanza?!Hahahahaaaaaaa
Ukafananishe hizi saida karoli na nisamehe?
Acha basi kulazimisha moja kuwa Saba
Ila ushabiki ni mbaya Sana jamani
Mutanyooka tu nyoteSijawahi kuupenda wimbo wa domo papo hapo..ila huu![]()
![]()
Yaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetuWimbo ni poa aliamua kutoa wimbo ya kitamaduni na kafanya fresh.
Dimond hatoi wimbo unaoutaka anatoa wimbo anao utaka na katembea furesh

Yaani akili zako zinakutuma kuamini kama Diamond na Team yake wangekubali kuutoa huu wimbo bila kukubaliana na Saida Karoli na Mzee Mutta?Ila wimbo wame cover wa Saida Karoli, kama hawakuelewana kuna kesi hapa.
Hii hata si sampling, hii ni cover version.
Huu wimbo wa Saida Karoli kila mtu anayefuatilia muziki anajua, mpaka kuna movie moja ya Kimarekani ya Tyler Perry inaitwa "Peeples" umepigwa kama soundtrack.
Taratiibu mutanyooka, binladen ni nyoko, mmemkosea muda mrefu kwa kumlinganisha na kibakuliHii ngoma ni kali mno...Tulitegemea ule nisamehe wa Baraka na Ali ungekuwa mkali ila walituangusha wale jamaa...Diamond anajua kutumia nafasi kwa hili dude majamaa wamekuja kuivunja vunja Nisamehe.
Ila inaniuma kusema hivi maana mapenzi yangu kwa King Kiba ni makubwa mno ila Hapa no naacha unafiki.
Raymond ni nyokoo huyu mtoto...kwa mtazamo wangu kamfunika Boss wake kwenye hii ngoma.
[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
Utafikiri we umevaa magome ya miti hapoYaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe kitu Made in China au Thailand.Mbona kuna msanii aliimba wimbo wa mwana Dar es salaam , lakini akenda kutolea video South Africa!!?Yaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu![]()
![]()
![]()
![]()
Mnashadadia wimbo wa asili , Asili yenu iko wapi kwenye hiyo video uzalendo hakuna pamoja na huyo domo wenu, aisee wabongo kwenye mahaba hamjambo hadi mnasahau utamaduni wenu msanii wenu anaiga tamaduni za nchi nyingine et kaimba wimbo wa asiliUtafikiri we umevaa magome ya miti hapokumbe kitu Made in China au Thailand.
aiseeeHivi dayamond na ukimataifa wake ame sample nyimbo kama hii bila kibali???Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
hakuna sheria duniani inaykataza mwnamuziki kufanya demo/remix ya wimbo wa flani acha porojoDiamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
Wewe unakwenda nje ya maada kabisaaaaaAmna ushabiki hapo na ukitaka ushabiki mimi ni shabiki wa Ali mara 10 ya ulivyo wewe...ila weka mahaba pembeni alafu nipe jibu ukiambiwa uzipange Siachane nawe,Siwezi na Nisamehe ipi utaiweka nafasi ya kwanza?!
uKishapata jibu utajua point ya msingi ipo wapi



