algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
Mkuu mbona nyimbo za Mfalme Simba zikitoka kila binadamu anazipata automatically haina haja ya kuletewa hapa.. kama upo ndani kwa nje utasikia ikipigwa kwenye ma-speaker makubwa.. JUZI TULIMLETA DOGO KIBA PALE WASAFI KU-RECORD ALIKUA ANASHANGAA NA KUOGOPA, IKABIDI DIAMOND AMWAMBIE USIOGOPE KUWA HURU KIJANA...Mkuu sawa sasa nyimbo mpya imetoka badala watuletee mashabiki tuione wao wanakazana kuleta habari za kiba sijui huyo kijana kawafanya nini?