Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Kasome kw page ya salaam ndio utakujakusema hapa kua hajapewa idhin hahahaha
Supported by diamond platnumz baby
1474232423885.png
 
Ucheshi na sautieee
Amenifanya nammiss tuu
Mwambie asiogope
Aliii ni kipenzi cha watuu
Nitafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zakee
King kibaaaa AJE hizi ndio nyimbo za kudikiliza sio kukopy kopy tu nyimbo za watu hapa
 
Hatimaye King Kiba anyoosha mikono juu na kuisifia ngoma mpya ya Diamond Platnumz na Rayvan iitwayo Salome


Mastaa wengine pia walioielewa hii ngoma na kuipa promo ni kama vile aslay na shilole



Hama kweli minyoosho inaendelea


1474232653876.jpg



1474232665083.jpg




1474232674614.jpg




1474232685362.jpg




1474232693481.jpg
 
Kuna watu walisema Diamond ameiba hii nyimbo. Sasa Salaam meneja wa Diamond kajibu kwa kupost hiii kitu hapa chini.

tmp_7404-Screenshot_20160919-000247377655075.png
 
Sasa kwenye hiyo video tamaduni yenu tz iko wapi? Hahaaa nyie hamko serious kabisa wimbo huo kaimba Saida ni wa asili ya Kitanzania mm sijasema aonyeshe asili ya wahay angeonyesha asili yetu watz kwasababu mziki Una tamaduni yetu au uquality wa video ni mavaz ya kinigeria ndo inakuw video quality au angetengeneza video yenye Asili ya kitanzania ndo isingetazamwa kwani huwez kuvaa kitz na ukatengenezea video SA lkn ikaonekana Ina mahadhi ya Tz, hoja zenu hazina mashiko kubali mkatae boss wenu huyo Ana unigeria mwingi mpaka anaboa .. Watz hamjikubali
Hahah mtu akiangalia ule wimbo wa mwana dsm anajua kabsa hakuna connection.

Unataka kusema wimbo woteee umejaa tamaduni za kinaijeria!!?
Hebu kaangalie video tena, amechanganya na nyinge kapiga ki pwani, na kuna wadada wano cheza na nyuongo wale, ndio maan nikasema kachanganya tamaduni.
Na angeimba halafu akatoa kama saida utofauti unakujaje!!?
Angetoa kama Saida alijua kabisa mngesema kakopi kila kitu
Naye mjanja.
*heko domo, endelea kukimbiza baba
 
kwahyo bongo hatuvai vitenge?
tunda hajavaa kitenge?
na wale wadada wenye nyungo?
moseiyobo kajifunga nini?
au hizo kwachu kwachu ndo zimeharibu...
na hio makeup ya maznat????
Hahaha.
Haja angalia video
Au kaangalia kwa ajili ya kutafuta critics tuu
 
Lyrics zake zinanikosha.tukimbizane nini salome wangu, hiyo michezo ya kijogoo. Inama kidogo,shika magoti.mimi nimesimama kama ngongoti. Hapo ni kimafumbomafumbo.
natamani dogo angeendelea kuimba. mbona watizama chini....... bonge la lyrics
 
Hivi Diamond atakuwa mjinga kiasi gani kuachia wimbo kama ule bila kuwa na makubaliano na saida mwenyewe?
Tena wasipojiuliza, na jina kaita la original song lakini bado mtu anaamini kafanya hivyo bila kuhusisha wamiliki!!!
 
Ucheshi na sautieee
Amenifanya nammiss tuu
Mwambie asiogope
Aliii ni kipenzi cha watuu
Nitafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
Asiogope aje na rafiki zakee
King kibaaaa AJE hizi ndio nyimbo za kudikiliza sio kukopy kopy tu nyimbo za watu hapa
Kweli hizo ndio nyimbo za kidikiliza
 
Back
Top Bottom