Halafu saida yeye pia siye aliyetunga huu wimbo. Huu wimbo ulikuwepo unaimbwa na wahaya miaka mingi tu hata aliyeutunga hajulikani.Saida lazima apate chake hapa.
Kumbe Ile nyimbo ya papa wemba ni diamond ndiyo aliiachia?AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
mama tee anajimadaSidhani kama mama Tee kafurahia sana video ya huu wimbo



Sasa huo wimbo una uzuri gani??![]()
![]()
![]()
![]()
Ebu acha kumlinganisha msanii wa kimataifa Domo na huyo local artist
Hajakopi wimbo mzima, ka chukua idea
Siyo wa kwanza na hata kuwa wa mwisho
Domo ashaimba nyimbo mpya mpaka ana tuzo za kimataifa. Uyo Kiba hizo mpya zime mfikisha wapi!!?
*muziki haumdai kwa sasa domo, yeye ndo anaudai
Wimbo mzuri sana
Mi naona mzuriSasa huo wimbo una uzuri gani??
Mkuu mimi siongelei habari za kucopy... Napenda muziki mzuri pia, mbona Diamond ana nyimbo nyingi tu nzuri ila kwa huu kwangu hapana!!Mi naona mzuri
We kama unaona mbaya si mbaya pia
*sote tuna penda muziki hatuwezi fanana
Ila ukisema alikopi sjui nini hapo ndio tunabishana, anaye ona wimbo mbaya siwezi mlazimisha
Huwezi ukawa sirias.. Yani nisamehe ivunjwe na huu upuuzi??Hii ngoma ni kali mno...Tulitegemea ule nisamehe wa Baraka na Ali ungekuwa mkali ila walituangusha wale jamaa...Diamond anajua kutumia nafasi kwa hili dude majamaa wamekuja kuivunja vunja Nisamehe.
Ila inaniuma kusema hivi maana mapenzi yangu kwa King Kiba ni makubwa mno ila Hapa no naacha unafiki.
Raymond ni nyokoo huyu mtoto...kwa mtazamo wangu kamfunika Boss wake kwenye hii ngoma.
[HASHTAG]#TeamKariakoo[/HASHTAG]
Sawa mi nimeupenda sanaMkuu mimi siongelei habari za kucopy... Napenda muziki mzuri pia, mbona Diamond ana nyimbo nyingi tu nzuri ila kwa huu kwangu hapana!!