Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Bonge la pini, simba wanyooshe mpk wakimbie jiji
 
Mkuu huyo kiba inaelekea anawaumiza vichwa badala mpromote hiyo nyimbo mpya mashabiki waione nyinyi mmekazana na huyo kiba!
 
Hatimaye King Kiba anyoosha mikono juu na kuisifia ngoma mpya ya Diamond Platnumz na Rayvan iitwayo Salome

Mastaa wengine pia walioielewa hii ngoma na kuipa promo ni kama vile aslay na shilole

Hama kweli minyoosho inaendelea

View attachment 402808

View attachment 402809

View attachment 402810

View attachment 402811

View attachment 402812
DOGO KIBA LAZIMA ANYOOKEE TUU HAINA JINSI NA LAZIMA ATOE SALUTI KWA MFALME SIMBA.. UKIJARIBU KUMPINGA AU KUSHINDANA NA DIAMOND NI SAWA NA KUJINYIMA HEWA..
 
Yaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu
hapo kwenye mavazi pana point pia,ilibidi wajivalie japo makaniki au viseruni/vikoi.lakini naona wote wamekuwa wanigeria.
 
Mwanadarisalama ni wimbo wa Asili? Kama ilivo hiyo Salome .. Mm nawajua timu domo mna mahaba mpaka hamuoni wala hamsikii.. Ila ukweli ndo huo bora huo wimbo muuite Salome tu lakn msiseme ni wa utamadun wetu mnatia aibu, Yale majuba na Tz wapi na wapi mm nahis diamond anataman angezaliwa ningeria Hana uzalendo kabisa anatamani mzee Abdul abadilike awe mnigeria ndo nahis atampa matibabu.. Poor diamond
hapa sasa unaanza kuharibu,.maana unaongea kishabiki zaidi na si kwa lengo la kuekana sawa.
 
Mkuu huyo kiba inaelekea anawaumiza vichwa badala mpromote hiyo nyimbo mpya mashabiki waione nyinyi mmekazana na huyo kiba!
DOGO KIBA HANA UWEZO WA KUWAUMIZA VICHWA VIJANA MAKINI WA WASAFI HARMONIZE/RAYMOND SEMBUSE HUYU SIMBA MLA WATU.. KWA SASA MZIKI UMEMSHINDA DOGO KIBA NAMSHAURI ARUDI HUKO KWAO UVINZA KIGOMA AKACHIMBE CHUMVI
 
Mkuu sawa sasa nyimbo mpya imetoka badala watuletee mashabiki tuione wao wanakazana kuleta habari za kiba sijui huyo kijana kawafanya nini?
 
Sisi watanzania cjui ndo tuseme hatujui au ni kaushamba.huu wimbo diamond kautendea haki sana yani mpaka naogopa.kukopy melody au baadhi ya mistari kwenye wimbo ni kawaida ata wenzetu wa ulaya na marekani wana fanya ivyo ..nyimbo nyingi tuu watu wana copy kwa mfano wimbo wa do for love wa 2pac kuna melody na maneno kachukua kwa bob caldwell na kama ngoma ile ya 50 cent wait until tonight nayo kafanya the same kutoka kwa bob womack nawengine wengi wamefanya ivyo ....sembuse kwa diamond.piga kazi kaka, salome wimbo mmoja mtamu na umekaaa kitamaduni zaidi haujawai tokea. Cha msingi yule mama apewe taarifa maana siunajua naye nyumba yake ilibomoka!?
duuh,Mkuu mi hii username yako tu ndo imeniacha hoi,let alone your comment!hahahahaaaa,inaonekana unakikubali sn kitu cha wali ndondo.
 
DOGO KIBA LAZIMA ANYOOKEE TUU HAINA JINSI NA LAZIMA ATOE SALUTI KWA MFALME SIMBA.. UKIJARIBU KUMPINGA AU KUSHINDANA NA DIAMOND NI SAWA NA KUJINYIMA HEWA..

DOGO KIBA HANA UWEZO WA KUWAUMIZA VICHWA VIJANA MAKINI WA WASAFI HARMONIZE/RAYMOND SEMBUSE HUYU SIMBA MLA WATU.. KWA SASA MZIKI UMEMSHINDA DOGO KIBA NAMSHAURI ARUDI HUKO KWAO UVINZA KIGOMA AKACHIMBE CHUMVI
 
Nifanye nn nisamehe nifanye nn acha kabisa
Mnazima moto wa petrol kwa maji mmebug men
 
Back
Top Bottom