tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,064
He is representing africa dia na sio Tz btw poleni kw kuumizwaaaNi hilo juba alilovaa diamond, maana nyie mkiambiwa ukweli mnapanic
He is representing africa dia na sio Tz btw poleni kw kuumizwaaaNi hilo juba alilovaa diamond, maana nyie mkiambiwa ukweli mnapanic
Unajua kuhusu huu wimbo?
ivi hii picha team kiba hatuioni??
Baadaeee..!!Noma noma nomaaaaa ntakupigia ntakupigia......
Ukipatiwa jibu la maana toka kwa yeyote naomba uni-tag nije kupata ilmu! Namkumbuka ndugu yetu mmoja alivaa vazi la Kimasai akidhani anaitangaza Tanzania kumbe mbele ukivaa vazi la Kimasai wanafahamu wewe ni Mkenya!!!Mavazi ya Kitanzania ndio yapi hayo?!Maana nasikia mpaka leo kuna mchakato wa vazi la taifa
Hizi AKA sasa Vampire kesho tutasikia anajiita msukuleDiamond Platnumz au ukipenda muite Simba vampire
Ukweli upi?!Kwa hiyo Juba ndio vazi la kitanzania?!Ni hilo juba alilovaa diamond, maana nyie mkiambiwa ukweli mnapanic
😀😀😀😀😀 Watu mnavijembe vya hatari!Habari wanajf!!
Yule msanii wakitambo saida kaloli kaachia wimbo wa salome kwa mara ya pili,japo sijaupenda sana kama ule originale wa Miaka hiyo...
Note: kwa mwendo huu saida kaloli hato rudi kwenye gemu tena.
Wamepagawa hawaoniivi hii picha team kiba hatuioni??
Wana vijembe au wame-panic!!!😀😀😀😀😀 Watu mnavijembe vya hatari!
WamenyookaWamepagawa hawaoni
We ndo wala haielekei ikiwa haya mambo unayafahamu!!!!Sijaona jipya hapo alilofanya sanasana nimemkumbuka saida Karoli tu, maana kungekuwa na sheria kali za hati miliki sasa Domo angekuwa mahakamani na saida angekuwa anatajirika kwa fidia ambazo angelipwa.
Duh, wa bongo nyinyi, hamchoki, kusema, wivu kibao, majungu kibao, nani kawambia domo kaiba?...... , tuletee data base yenye ukweli, katika wimbo wa darasa, wa "too much" wa bongo wanamaindisha mambo madogo wanaweza kukufelisha hata michongo, wengine wanakupenda ukisepa, yaani nani rafiki?...... nani adui.....? Leo katka kipindi cha busati, nimesikiliza, watangazaji wakizungumzi this diamond new song, wamesema kwamba kuna makubaliano kati ya diamond na manager wa saida karori. Sasa ww hayo ni majungu alafu usiwe na majungu, kaimbe na ww, si kunafree chance hata ww kufanya hivyo.AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
Mwanamuziki wa kimataifa anayeshika namba mbili africa nzima kuwa na followers 2.7million nyuma ya David Adeleke Adedeji AKA Davido, Diamond Platnumz au ukipenda muite Simba vampire leo ametoa ahadi ya kutoa ngoma yake mpya endapo ngoma yake aliyofanya na p square iitwayo kidogo itafikisha viewers million 5 katika you tube
Mpaka sasa video hiyo imetazamwa mara 4,763,745
====== Updates ======Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya 'Salome' aliomshirikisha Raymond
View attachment 402917
mbona manager wa saida ameonekana na Diamond wakipeana mikono ya baraka?Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
wamekubaliana mbona?Sijaona jipya hapo alilofanya sanasana nimemkumbuka saida Karoli tu, maana kungekuwa na sheria kali za hati miliki sasa Domo angekuwa mahakamani na saida angekuwa anatajirika kwa fidia ambazo angelipwa.
mboga 7 na jike shupa mbona wameshndwa kuzizimambona jide aliimba muhogo wa jang'ombe??bella aliimba ukimuona??hii ni kwa ajili ya kuzima baraka da prince ft kiba.
Mwanamuziki wa kimataifa anayeshika namba mbili africa nzima kuwa na followers 2.7million nyuma ya David Adeleke Adedeji AKA Davido, Diamond Platnumz au ukipenda muite Simba vampire leo ametoa ahadi ya kutoa ngoma yake mpya endapo ngoma yake aliyofanya na p square iitwayo kidogo itafikisha viewers million 5 katika you tube
Mpaka sasa video hiyo imetazamwa mara 4,763,745
====== Updates ======Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya 'Salome' aliomshirikisha Raymond
View attachment 402917