wekeni huo wimbo na sisi tuuskie
Ichek YouTube..Salome-diamond ft rayvanny..ya kawaida sana.haiwezi kuja kuwa mwimbo wa taifa for sure.
wekeni huo wimbo na sisi tuuskie
Shame to WCBHapo ubunifu umempiga chenga sana. Naona safari ya muziki imefika bandarini.
Saida karoli ashukuru amerudishwa kwenye chart....
Umetoa mchango mkuu au unataka kuzamia?Mkuu lini hiyo harusi nije!?

Ahahaaaaaah...Kuishiwa kimziki kubaya sana
Mavazi ya kitanzania yakoje?Sauti ya nyimbo nzuri!! Ila wamekosea mavazi wangevaa kihaya au ya kitanzania sio ya kinigeria
Ila wimbo wame cover wa Saida Karoli, kama hawakuelewana kuna kesi hapa.Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
This Song was written by Diamond Platnumz & Rayvanny in Tanzania 2016. The beat was produced, mixed and got Mastered by Lizer from Wasafi Records Tanzania. The Video was shot in Tanzania by Director Nicorux from South Africa, on the 10th of April 2016.
Ina maana hujui mavazi ya makabila ya Kitanzania?? Ingawa hatuna vazi rasmi khanga, rubega, kaniki, vitenge vingeweza kutuwakilisha zaid kuliko hizo less na Kente za West AfricaMavazi ya kitanzania yakoje?