Salma Kikwete: Take a note mama

Well let him win. He will just be a puppet president most likely. Even a bigger puppet than Bush is today. His role will mostly be ceremonial not real presidency. The man has no substance. All he talks about in his speeches is change, change, change, change,...more change, ad infinitum.

Who's puppet will he be when, if he becomes president of the United States, he will be the most powerful man on earth? Sounds like to me you hate the possibility and inevitability of him becoming president to the point that you have to start downplaying American presidential powers....Too bad it is not an Indian who's running.....
 
Mrs.Obama is great kwa kweli, more importantly she is honest anasemaga ukweli hata kama huo ukweli unaturnish image yake.

Huyu wetu frankly I doubt kwa kweli.At times huwa napata tabu ninapokumbuka maneno ya JK kwamba alijiandaa zaidi ya miaka kumi kuwa rais. I'm sure kama hayo anayosema ni kweli basi kuna eneo hakulindaa nalo ni la first lady, kama alimwandaa basi kimavazi na si vinginevyo. Huyu mama several times nimezisikia speech zake, mbali ya kwamba huwa zinakuwa zimeandaliwa bado zinamsumbua hata kuzisoma jamani, hizi ni zile za kiswahili za kiingereza nisiseme mengi kwa kweli.Huyu mama pia nina wasiwasi na upstairs, hapa hamna chumvi. Najuwa yy ni mwalimu wa primary lakini wapo walimu kama yeye akisimama mbele kuongea unamwelewa huyu wetu mhhh anyways. Nakumbuka merehemu mmoja mbunge alishawahi kuponda mwaliko wa salma kwa sababu kila akiwaita hajui anawaitia nini maana haeleweki. JK yuko responsible kwa hili kwani katika miaka kumi angeweza kupata japo ka diploma ka kuchovya.

Bobby:
Unaweza kuua watu kwa vicheko kwa 'post' kama hizi.

Where else, only in JF we dare write what is on our mind!

Lakini nashukuru hatuna Lucy wa Mwai.
 
Confo linajengwa tangu utotoni,yaani ni kama sarakasi vile, huwezi kujifunza sarakasi ukubwani! Siwezi kumlaumu au kumcheka Mama Salma,mazingira tuliyolelewa yametuaffect kwa sana. Mtoto hana choice, mtoto hana uhuru wa kusema anachotaka au kutoa maoni yake, mtoto hahusishwi kwenye maamuzi ya masuala yanayomuhusu. Ni viboko mtindo mmoja, uwe nyumbani uwe shuleni!
 
His biological father was Kenyan but that's about it. His biological father was a deadbeat who abandoned him early on to have any real Kenyan influence on him. So I don't consider him Kenyan-American at all. I don't think most Americans see him as Kenyan-American only Africans view him as Kenyan-American.

Trust me, wonder boy Obama has some skeletons in his closet. He just has not been in the public eye long enough. They will come out soon or later.

Now, here we have a sick, bigotted, prejudiced mind. You need have no a Ph.D. to identify his/her mindset.
 
Hey you guessed it....that is Raj Patel

-----------------------------------------------------------------

R U serious? Maana mie niliposoma hizo comments za kuhusu baba yake kwa kweli sikuelewa hiyo chuki inapotokea. Kama kweli ni ponjoro basi tumuonee huruma tu, maana Obama is "ALL FIRED UP AND READY TO GO..." Dua za kuku....... kwi kwi kwi;-)!
 
Hey you guessed it....that is Raj Patel

Makubwa!! Yaani Raj yu hai bado?? Nilifikiri tulishamzika toka tanzatl na huku yupo???

Tumwache mama Salma maana tukimlinganisha itakuwa maumivu tu. Yeye ni wetu tu maana ni representative ya maisha ya watanzania wengi hatujui misingi ya kuolewa kwake japokuwa tunaweza sema ndoa ya obama walikutana shuleni au labda ktk anga za uanasheria

mamajk.jpg

mama.gif

And she is cute too!!
 
Makubwa!! Yaani Raj yu hai bado?? Nilifikiri tulishamzika toka tanzatl na huku yupo???

Tumwache mama Salma maana tukimlinganisha itakuwa maumivu tu. Yeye ni wetu tu maana ni representative ya maisha ya watanzania wengi hatujui misingi ya kuolewa kwake japokuwa tunaweza sema ndoa ya obama walikutana shuleni au labda ktk anga za uanasheria

We Bimkubwa weee!! Umepotelea wapi?
Ndio..huyo ni rafiki yako Raj...yaani unataka kunambia ushamsahau? Sasa usicheze mbali na hii thread...maana najua ulimshikisha adabu kule tanzatl...lol!!
 
Ata huko primary school si alikuwa anafundisha somo la Uraia au zamani Siasa...kwa kifupi naye ni mwanasiasa tuu(inaonekana familia nzima ni ya wanasiasa)

Baadhi ya watu walisema Mama Anna ni smart upstairs naona na usmart wake akaamua kumshauri mumewe awe Fisadi kazi kweli kweli!!!
Mama yetu tumlinganishe na wale wa jirani zetu kwanza akifanya vizuri basi anapanda daraja.
 
What a performance from Mrs Obama!

Kwa upande wa Mr Obama na timu yake ya kampeni,mimi naweza kusema tu kwamba mambo ni "ALL CHANGE PLEASE!"
 
Ata huko primary school si alikuwa anafundisha somo la Uraia au zamani Siasa...kwa kifupi naye ni mwanasiasa tuu(inaonekana familia nzima ni ya wanasiasa)

Baadhi ya watu walisema Mama Anna ni smart upstairs naona na usmart wake akaamua kumshauri mumewe awe Fisadi kazi kweli kweli!!!
Mama yetu tumlinganishe na wale wa jirani zetu kwanza akifanya vizuri basi anapanda daraja.

Huo usmart wa Ana sijui uko wapi....
 
Brazameni,
women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....be friendly but don't be her friend...

Duh, mkuu hii umeipata wapi?.... kali kichizi!
 
Huyu mwanamama anaiturn one with her intelligence,sense of perspective, real genuine lady there. Can you imagine akigombana na mumwewe basi inaelekea zitakuwa the most intellectual "throw downs" mama Salam mtazame mwenzio huyu.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=pyBc33UjvDU&eurl=[/media]

Brazameni Naomba kukusahihisha kidogo!!:Huyo Mama Obama Siyo Mwenzake hata kidogo,naomba tusilinganishe vitu/watu Wasioliganishika hapa.Ni hali halisi kuwa Mama Obama ana KITU(naomba nisifafanue sana...) ambacho ni akina Mama wachache Mno Barani Afrika Wanacho,achilia mbali hao Wamama wa Kwanza, na ni KITU hicho basi huwafanya wengine wao kuwa 'Exceptional'

Next time Try This Title Instead:- Asha Rose:Take a note mama...

**Brazameni,ndiyo sababu Ndege wenye mbawa za kufanana sikuzote Huruka pamoja!! Sijawahi Ona KUNGURU kuruka na NJIWA mie!!
 
Hauxtable,
**Brazameni,ndiyo sababu Ndege wenye mbawa za kufanana sikuzote Huruka pamoja!! Sijawahi Ona KUNGURU kuruka na NJIWA mie!!

Duh! mkuu ama kweli JF kuna raha zake!........wee acha tu.
 
Brazameni,
women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....be friendly but don't be her friend...

Duh, mkuu hii umeipata wapi?.... kali kichizi!

Mzee hiiniliiota kwenye moja ya sessions zamzee MIKE IN BRAZIL

Mwanakijiji anamjua huyu huwa anatupa zile zinaitwa MIKE LESSONS

itabidi tuifungulie mjadala wake siku tutakapopewa FORUM YA WANAUME

in short been there done that got the T shirt na so far sijajifunza kitu kwani credit card yangu moja anayo na najifanya nimeisahau

Afrca sijatuma pesa huu mwezi wa Tano,msg sizijibu na simu za Bongo sipokei na nikipokea kwa bahati mbaya huwa ni attacking dog

haya tena turudi kwenye mjadala
 
Wanajambo pls help,
nimejaribu kusikiliza hayo mahojiano ya mama obama nimeshindwa kuyapata kwa hiyo sielewi kinachoendelea,nasoma tu mnavyomsifia ...,naomba sana mnijulishe kuwa ameimpress vipi wananchi wa jambo???
Thanks in advance kwa yeyote atakayrjitolea kunipa habari.
Wenu mtiifu
MAMBO.
 
Mrs.Obama is great kwa kweli, more importantly she is honest anasemaga ukweli hata kama huo ukweli unaturnish image yake.

Huyu wetu frankly I doubt kwa kweli.At times huwa napata tabu ninapokumbuka maneno ya JK kwamba alijiandaa zaidi ya miaka kumi kuwa rais. I'm sure kama hayo anayosema ni kweli basi kuna eneo hakulindaa nalo ni la first lady, kama alimwandaa basi kimavazi na si vinginevyo. Huyu mama several times nimezisikia speech zake, mbali ya kwamba huwa zinakuwa zimeandaliwa bado zinamsumbua hata kuzisoma jamani, hizi ni zile za kiswahili za kiingereza nisiseme mengi kwa kweli.Huyu mama pia nina wasiwasi na upstairs, hapa hamna chumvi. Najuwa yy ni mwalimu wa primary lakini wapo walimu kama yeye akisimama mbele kuongea unamwelewa huyu wetu mhhh anyways. Nakumbuka merehemu mmoja mbunge alishawahi kuponda mwaliko wa salma kwa sababu kila akiwaita hajui anawaitia nini maana haeleweki. JK yuko responsible kwa hili kwani katika miaka kumi angeweza kupata japo ka diploma ka kuchovya.

Unajua majority ya wanaume wa tz no matter how educated they are, they are very insecure being with an educated woman, mostly they prefer a DUMB woman, ni kweli unavyosema kama yeye JK alikuwa anajiandaa for 10 years kuwa raisi, basi mbona asimwandae na mamaa kuwa first lady? Mh kazi ipo kwa kweli.
Mrs Obama, I admire her she is an exceptional woman, hata ukiangalia on the republican side wake za hao wagombea urais hawawezi kuongea in public and make sense like Michelle did, I gotta give to the sister!!
 
Wanajambo pls help,
nimejaribu kusikiliza hayo mahojiano ya mama obama nimeshindwa kuyapata kwa hiyo sielewi kinachoendelea,nasoma tu mnavyomsifia ...,naomba sana mnijulishe kuwa ameimpress vipi wananchi wa jambo???
Thanks in advance kwa yeyote atakayrjitolea kunipa habari.
Wenu mtiifu
MAMBO.

Nenda kwenye youtube.com
Here is the link
[media]http://www.youtube.com/watch?v=pyBc33UjvDU[/media]

enjoy!
 
Mwanamama
Nimeona hiyo link lakini nimeshindwa kuelewa kinachoendelea ndio mana nimeomba msaada wa maelezo in summary.
Thanks
 
Mwanamama
Nimeona hiyo link lakini nimeshindwa kuelewa kinachoendelea ndio mana nimeomba msaada wa maelezo in summary.
Thanks

basi wee ibonyeze kisha video itapalay na wewe sikiliza

kama huwezi basi naona you are in the wrong FORUM
 
Back
Top Bottom