GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia soko la kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.

Kwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
 
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?😂😂
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Wacha Wajumbe wale vidola vilivyokuja na mgombea.
 
Unafikiri alipokuwa anaishi Uingereza alikuwa anakula nyama aina gani, huyu jamaa ni mwenzetu, ni Muislam jina tu.....anafakamia "mfalme we mezani" kama hana akili ila kwa siri sana kwani hataki watu wajuwe hilo ila sasa wanajuwa japo atakataa akiulizwa.
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
🤣🤣🤣🤣
 
Huyo Mzanzibar hawezi kutoboa mbele ya wenyeji wa Huko.
 
Kama no.1 hakulifuta kwa nn kikeke?
 
Hivi huyu jamaa ni mangi au ameoa huko?! Heheheya atanyooks

By the way utangazaji aliacha au alistaafu😡😡😡au bodi ya ithibati ilipita huko bbc

Back
Top Bottom