Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Last edited by a moderator:
Arushaone eti una kesi na wewe ya kuwawania wake za watu Erickb52 mimi sina kosa bana anazunguka mno kama pia sasa kama kila siku yuko kiguu na njia mara kwa KARIA, Asprin, Mentor, Kaizer, Bishanga, Arushaone sasa hiyo haki kwangu anataka ya nini tena
ndo maana nilimuomba mwanasheria ruttashobolwa anisimamie kesi yangu aise ya kudai talaka Mentor sina mpango huo mkuu ila naona nyendo zako hazijakaa sawa kabisa
Naomba uendelee kuchunguza mienendo ya Mentor coz hata mimi nahisi haiko sawa kabisa....!
Nimemweka kwenye matazamio kwa muda
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naomba uendelee kuchunguza mienendo ya Mentor coz hata mimi nahisi haiko sawa kabisa....!
Nimemweka kwenye matazamio kwa muda
Mentor ana tatizo moja huwa anakula halafu anaacha makombo mezani sasa watu wakiyaangalia tuu wanajua Mentor huyo kapita hapa
Mpaka kwa Judgment ashafika na ana mpango wa kwenda kula luinch kwake na Kaizer hajui tuu kinachoendelea
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mie nilishamuambia siku nyingi kuwa simtaki hata akinipa na hela juu lol

Nani anataka mwanaume ambae hajatulia kama Erickb52???.....cha kujifia na presha ni nini???
Heheheeeeee aruuuuuuuuu!
Hivi we ndio mwenyekiti wa majungu na fitina ukisaidiwa na Mr Rocky eeeeeh
Mwanzo nilikuwa najua Mr Rocky ndio majungu top maker sasa naona na wewe umemjoin na umempiku heheheeeee
Haya hebu nambie hao wamama wangu ni akina nani zaidi ya Amyner ?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mhhh swali gumu ngoja nifanye mahesabu yangu hapa Erickb52 maana kalikuleta yangu imeingia maji sioni namba vizuri King'asti hebu eti niambie hapa nijibuje sasa maana swali nimekokotoa sipati majibu
Hahahaaaaaaa kama ukikosa jibu kabisa jibu kama alivyojibu Mentor kwa beibe nasty kuwa ni dada yangu
 
Last edited by a moderator:
Heheheee najua lazma ujiteteee lool
Haya sawa mnunulie sasa au nikutumie mimi? au unataka kutoka beibe nasty tu?
Kwi kwi

Anachokitaka hata wewe huwezi nunua kwa vihela vyako vya TANROADS kaka Erickb52.

Kama vipi ntumiege namba ya Judgement (na kama ulinotice ndiyo maana nikamwambia mwenyewe ili anitumie!)

am an :flypig:
 
Last edited by a moderator:
Mwambie naunganisha salamu zangu zimfikie Roulette popote alipo!
Nimemkumbuka sana!
Nipo mbona, umenitafuria wapi?Asante kwa salam, nakukumbuka pia.

  • Binafsi namtumia salam dada afrodenzi popote alipo. Ujumbe wa leo: Raha ya salam kurudishiana. Salam zangu zisindikizwe na wimbo: shadow dancer wa Lokua Kanza.
  • Salam zangu za pili zimfikie Alter Ego, bi AshaDii. Ujumbe wangu ataupata kwa njia tunazo zijua wenyewe. Hint: "en decolleté plongeant-vertigineux aujourd'hui, je me sens irresistible"
  • Salam zangu za mwisho kabisa ni kwa ndugu zangu Makedha,@3d, mose na Gajungi. mmepotelea wapi? Miss you vi-major!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom