Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Erickb52 atakuwa mtoto wa geti, dereva unamsubiri nje popote shule, kazini, kanisani, kwa hiyo hajui mitaa!

Kweli......itabidi awe anamtoroka dereva siku moja moja akufuate umtembeze......umpeleke mpaka lamlawa.....si unapajua pia eeh?
 
jamani ni macho yangu au la!! leo uncle Mtambuzi amekuja na upako wa Asprin!!! halafu brazza erick hujaniambia haya majina yote umesevu kwenye dayari?
 
Last edited by a moderator:
52 mambo vipi mdogo wangu?
Btw mi mbona nipo sana kwa busati !
Unajua utulivu muda huu sinao ! Si wajua leo mavijana yangu ya Old Traford yako pitch na washampa Galatasary kib*lo so ngoja tuone final whistle.
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Platozoom naomba nisalimu na mimi niwe humbled pia... Huku na mimi nikituma salamu kwa Platozoom pia with love.

Mama mkwe waonaje hali yako..........Nakupa salamu toka kwenye zuria la sakafu ya moyo wangu pale ambapo inda, maumivu, presha, msongo na kila aina ya wahka haiwezi kufikia...........

Pamoja saana (source mama mkwe)
 
Khaaa we @plaozoom!!!! mkwe gani anasalimiwa kimjini hivi?..........utakosa mke walah

Wewe uko zama za mawe naona..........Hii sasa ndiyo inapendwa na wakwe, hata ukweni ukienda na suti wanakuona mshamba tu. Posa yenyewe inapelekwa kwa EMS..............Mahari inatumwa kwa M-PESA na harusi mnafunga wewe na mchumba wako wakati wakwe na jamaa zako wanatizama kupitia skype!!
 
Mume wa mke wetu hujambo wewe
Mke wetu hajambo
Mwambie leo ni zamu ya kulala kwangu na kufua maana nguo zimelundikana mwezi mzima aliokuwa kwako
Heheheheee Mr Rocky hapa unamzungumzia nani? maana na wewe umekuwa na wake wengi ka Mswati
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha usiogope Filipo......mie sio mtoto wa geti kali kama Erickb52 lol


Kuna siku ntakualika Jamuhuri garden uje upate moja moto na moja baridi tehe!
Hahahaaaa sweetlady unaniletea majungu eeeh?
Haya mtoto wa geti kali nani kati yangu na wewe?
Mi Filipo ananijua sio wa geti kali lol
 
Last edited by a moderator:
Wewe uko zama za mawe naona..........Hii sasa ndiyo inapendwa na wakwe, hata ukweni ukienda na suti wanakuona mshamba tu. Posa yenyewe inapelekwa kwa EMS..............Mahari inatumwa kwa M-PESA na harusi mnafunga wewe na mchumba wako wakati wakwe na jamaa zako wanatizama kupitia skype!!


Hahahahah hii nimeipenda lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom