Sala ya vunja jungu!!!

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Ewe "MOLA" natamka mimi ninaye soma hapa kwa kauli yangu mbele yako "MOLA" kwamba sito VUNJA JUNGU! Na endepo nitashawishiwa basi hapo hapo kama ni kitandani, uchochoroni, baa au pengine popote pale UHAI WANGU utoweke na niwe mtu wa motoni daima! Nasema sita VUNJA JUNGU ng'oo.
 
Kitu kama hii ya cacico wangu afu nisivunje jungu wakware wanivunjie.Weka sala pembeni, VUNJA jungu kudadadeki! MUNGU atatusamehe kwakweli.

flebv8.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ewe "MOLA" natamka mimi ninaye soma hapa kwa kauli yangu mbele yako "MOLA" kwamba sito VUNJA JUNGU! Na endepo nitashawishiwa basi hapo hapo kama ni kitandani, uchochoroni, baa au pengine popote pale UHAI WANGU utoweke na niwe mtu wa motoni daima! Nasema sita VUNJA JUNGU ng'oo.

aisee kaka mbona kama hii ni nadhiri ngumu sana? ila nakuombea sana ili uweze kuitimiza na ibilisi asikutege
 
Mzima darlie, nimekumisije? Mbona hukuja kwenye harusi ya Kaizer na gfsonwin? Niulizie kabisa na Yummy ilikuwaje mkaniacha na BADILI TABIA peke yake wakati mnajua sirizikagi na mke mmoja?

attachment.php

Unamwona MC Kongosho alivotoka bomba?

attachment.php

naona na wewe umekuja na staili yako ya kuvunja jungusiku ya leo lolest. haya bana lkn naomba tuonane yale maeneo natamani kweli ile makitu na makiti moto
 
Bei ya hii kitu itashuka mno mwezi huu na walaji watakuwa wachache sana kwa sababu wanawasindikiza maswahiba!
Na vyumba vya wageni hatutapanga foleni tena, maswahiba watakuwa wameenda likizo.... Hawa wanyama watatukomaje sasa?

28583_1297423555465_1226642396_30718741_4548500_n.jpg
 
Tena kwa raha zetu! yaani wee acha tu! MKAKA na MDADA wakinwaga radhi kwa raha zao!!! Chezea siye weye.

Astagfirullahi........wewe KARIA si ndo ulikua unatoa swala hapa sasa kulikoni???!!!!!????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom