Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Ye anasema urmbo kawaachieni nyie, yeye yuko kikzai zaidi. Anakula mnyama kwa malengo maalum. Chezeya Kongosho weye? Hebu waite na wake wenzio BADILI TABIA na cacico waje wasome hii makitu wajue faida ya mnyama wanikarangazie kwa wiiiiiingi..
Last edited by a moderator: