Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

A nataka kumuamsha mtu hpo

Ova
Huyo
tapatalk_1564118820857.jpeg
 
Waanatumia fursa ya vyeo na dhamana waliopewa kukandamiza na kuonea
Awamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.

Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.
 
Msiilaumu ccm, laumu mtu husika, huko kwenye vyama pinzani hawa watu pia wapo, mara ngapi tumesikia upuuzi wa madiwani/wabunge toka vyama pinzani ? Huwezi laumu chadema/cuf kwa ubadhirifu wa mtu mmoja
kwani aliyemteuwa ni mweyekiti wa Chama gani??? Kwanini mpaka sasa anamuacha ofisini??

Je yakifanyika mazuri huwa mnamsifia mtendaji au au mnaisifia CCM ???
 
Kumekucha

Haki tu itendeke katika hili.
Mbona kwa Bashite (Mzee wa mahips) haki haikutendeka pamoja na kunaswa na CCTV za pale mawingu??? Hata alipokataa kulipia ushuru furniture mbona haki haikutendeka??? As long as huyo jamaa ni mmoja wa mafisi ya Lumumba, hakuna atakachofanywa!
 
Awamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.

Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.

Sio kwenye ukali mkuu, bali kupitia matumizi mabaya ya madaraka ya rais ndio wapigaji wanatumia huo mwanya kupiga.
 
Msiilaumu ccm, laumu mtu husika, huko kwenye vyama pinzani hawa watu pia wapo, mara ngapi tumesikia upuuzi wa madiwani/wabunge toka vyama pinzani ? Huwezi laumu chadema/cuf kwa ubadhirifu wa mtu mmoja
Kama isingekuwa CCM tungeona hatua at once.
 
Back
Top Bottom