Blackmail"Makonda Style" ndio ikoje wakuu?
Kwa bahati Mbaya Rais wetu hawa ndio watu anaowapenda
Atapandishwa CheoKwa bahati Mbaya Rais wetu hawa ndio watu anaowapenda
Unasema ??Naendelea Kusisitiza tena kama kuna Mtanzania ambaye anadhani kuwa huyu DC Sabaya anasingiziwa au hajafanya kweli hicho Kitendo basi atakuwa ni Mpumbavu wa Kiwango cha Kimataifa. Na jana nilisema kwamba kama kuna Watu wa TAKUKURU wanataka Kuanza Kulichunguza hili Sakata wala wasipoteze muda kwani Sisi wengine tuliobarikiwa Saikolojia Kali ya Kiasili ( ya Kuzaliwa nayo ) huku tukiwa na Jicho Kali na Pevu la Ndege Mwerevu Tai ( Eagle ) tunasema kuwa kwa 100% huyo DC Sabaya amefanya hilo Kosa hivyo wapeleke Ripoti yao kwa Bosi wake ( Rais ) JPM ili amtumbuea haraka na ikiwezekana pia afunguliwe Kesi ili liwe Fundisho kwa Wapumbavu wengine wa mfano wake na hapa ndiyo tutaamini kuwa Rais JPM hana Ubaguzi na haangalii huyu ni CCM au Mpinzani bali ni Mtenda Haki.
Kenge wa Lumumba huwez kuwaoña hapaAsipomtoa au kumchukulia hatua ujue yeye ndio anamtuma ,tueleweje sasa .Lumumba njooni kumtetea mwizi wenu huku anaumbuka nyie kijani kibichi .
Kenge wa Lumumba huwez kuwaoña hapaAsipomtoa au kumchukulia hatua ujue yeye ndio anamtuma ,tueleweje sasa .Lumumba njooni kumtetea mwizi wenu huku anaumbuka nyie kijani kibichi .
Well said.Naendelea Kusisitiza tena kama kuna Mtanzania ambaye anadhani kuwa huyu DC Sabaya anasingiziwa au hajafanya kweli hicho Kitendo basi atakuwa ni Mpumbavu wa Kiwango cha Kimataifa. Na jana nilisema kwamba kama kuna Watu wa TAKUKURU wanataka Kuanza Kulichunguza hili Sakata wala wasipoteze muda kwani Sisi wengine tuliobarikiwa Saikolojia Kali ya Kiasili ( ya Kuzaliwa nayo ) huku tukiwa na Jicho Kali na Pevu la Ndege Mwerevu Tai ( Eagle ) tunasema kuwa kwa 100% huyo DC Sabaya amefanya hilo Kosa hivyo wapeleke Ripoti yao kwa Bosi wake ( Rais ) JPM ili amtumbuea haraka na ikiwezekana pia afunguliwe Kesi ili liwe Fundisho kwa Wapumbavu wengine wa mfano wake na hapa ndiyo tutaamini kuwa Rais JPM hana Ubaguzi na haangalii huyu ni CCM au Mpinzani bali ni Mtenda Haki.
Unatuletea utoto wako hapa peleka kwa makamanda fake huko Ufipa!
Zama za mwalimu mtu akiwa mkuu wa wilaya au mkoa ni nadra kusikia kafanya hili au lile ni kwa wachache sana mfano kule Iringa na kilichotokea baadhi wanajua!! sasa hawa vijana under forties mkulu akimaliza muda wake wao inakuwaje? Mungu tu awape ufahamu maana safari yao bado ni ndefu!!Vijana wanaopewa dhamana wanatuangusha Sana.
Tunajua mmeanza kumchafua kwa kuwa mnamwogopa atachukua Jimbo la Lema la Arusha. Tumeshawashitukia lazima jimbo lirudi kwa wana Arusha original siyo mapandikizi toka Machame na kwingine!
Utajuaje wakati ulikuwa hata mimba yako haijatungwq!?Zama za mwalimu mtu akiwa mkuu wa wilaya au mkoa ni nadra kusikia kafanya hili au lile ni kwa wachache sana mfano kule Iringa na kilichotokea baadhi wanajua!! sasa hawa vijana under forties mkulu akimaliza muda wake wao inakuwaje? Mungu tu awape ufahamu maana safari yao bado ni ndefu!!
Historia mkuu! na kujiongeza tuuUtajuaje wakati ulikuwa hata mimba yako haijatungwq!?