Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Aisee hawa watu walitakiwa kufungwa na kulipa hasara waliyoisababishia serikali. Kwa sababu kitendo cha ku-bypass kutoka kwenye purge au continuous system huwa inatokana na breakdown au emergence kwenye sequence flow of operations. Kwa hiyo wanataka kusema miaka yote 5 kulikuwa na breakdown kwenye operation.?? Na hatua gani walichukua hadi waliposikia waziri mkuu anakuja.?? TPA na WAMA ndio kuna shida, dunia ya leo huwezi kutumia stick ukaacha flow meter, huo ni wizi mtupu..
Point!
 
1. Cha ajabu ni kuwa bypass zilikuwa ni temporary kwa named vessels ambazo majina yake yalikuwa yanakuwa attached kwenye hizo barua, ikawaje zikasimama indefinately?

2. Ukianza kuona mtaalamu anaandika machine ambayo iko programmed kuwa ina "misbehave" inabidi mtaalamu huyo usimuamini kwa lolote maana inaonesha hajui kabisa utendaji kazi wa chombo husika.

3. Kuna response imetolewa na TPA hapo kuwa tatizo sio flow meter kusababisha foleni ya vessels..but documentations na urasimu unaotokea..so the issue clearly is not even accuracy ya hizi meters kuna figisufigisu nyingine..

4. Ukiona mtu wa serikalini anasema "stakeholders" wanalalamika na hajaattach hayo malalamiko aliyofikishiwa na hao "stakeholders" ujue tayari hapo anaandaliwa kuchinjwa!

5. Lishatumbuka sasa...hizi foleni za vessels zilikuwa zinatengenezwa tu..ili waandike hizi bypass memo....utaiba hautakamatwa ila kuna siku itafika tu.
Tusubili tuone kama foleni bado itaendelea kuwepo
 
Nikifikiri kwa kina sana utagundua ushushaji bei ya mafuta n kama kinyonga haohao ndo wanaharibu METER(maelekezo toka juu.,...pamulikwe hapo huyu mkubwa huyu ndo alitoa maelekezo ya mafuta ndo hao wana renegotiate bei ya mafuta angalia kwa undani utaelewa
 
Wanafanya kazi kwa maelekezo unadhani walikuwa hawajui? Tatizo hata wakipeleka taarifa wakuzifanyiakazi ndio wanaohusika na hayo madudu unategemea nn
wangewanywesha sumu ya panya mmoja mmoja
 
Hapa lazima tuwe wajasiri wa kusema ukweli. Haya mambo yote ni ya mtoto wa jamaa wa Msoga, hao wengine wanaambulia tu kwa kuwa utawala uliopita ilikuwa sio rahisi kutumia weledi. Pia ni nafasi nzuri kwa watendaji wa serikali kujionea kuwa ukifanya mabaya katika zama fulani, kitabu kikifungwa unawajibika.

JPM mfunge paka kengere, nenda Msoga kakamate mwizi, na mwizi mwenyewe ni mbunge
shika adabu mkuu....mzee wa msoga tumuache apunzike.
 
Vunja Mbavu na ma GT mpaka sasa mtiririko wa mawasiliano ulikuwa kama ifuatavyo (kulingana na nyaraka zilizopo):


1. 09 Nov 2009 TPA wanaiomba TRA iruhusu mchepuko kwa muda ili kupunguza msongamano wa meli.


2. 10 Nov 2009 TRA wanaijibu TPA wakihitaji orodha ya meli zitakazonufaika na mchepuko.


3. 12 May 2010 TRA wanaiarifu TPA kuhusu hali ilivyo na malalamiko ya wadau juu ya utendaji na ufanisi wa mita na changamoto za ukadiriaji tozo/kodi. Wanatumia fursa hiyo kuiomba TPA irekebishe kasoro za mita zake.


4. 31 Jan 2011 TPA wanaiandikia TRA wakiomba iruhusu mchepuko


5. 01 Feb 2011 TRA wanaijibu TPA wakiridhia mchepuko kutoka mitani


6. 02 Feb 2011 WMA wanaiarifu TPA kuwa wanapiga marufuku matumizi ya mita 16 kwa madai kuwa hazifai kwa upimaji wa mafuta mpaka zitakaporekebishwa.


7. 08 March 2011 TPA wanaiandikia WMA wakihoji uhalali wa Wakala huyo wa Vipimo kusitisha matumizi ya mita. TPA wanajenga hoja nzito za kitaalam na mantiki kuhusu uamuzi wa WMA. Barua yao kwa WMA wanainakili kwa wadau muhimu wa serikali ikiwa ni pamoja naTRA na Makatibu Wakuu wa Nishati na Madini, Viwanda na Biashara, OWM, na Chama cha Kampuni za Mafuta (OMC).


Nini kilifuata...?



SWALI: Hakuna uwezekano kuwa wakati mafuta yanatoka kwenye flow metre yakaibwa na wajanja kabla hayajafika kwenye matangi ya kampuni za mafuta, na ndiyo maana kampuni hizo zinapata kiasi cha mafuta tofauti na kilichosomwa na flow metre?
 
Kama huyu Mama Magdalena Chuwa asipotumbuliwa nitaomba Rais wangu JPM aachane na kazi ya kutumbua majipu. Jela nje nje kwa huyu Mama naiona
Usiseme hvyo kirahisi kwani hujui mengi.. Ni hv kama akiwajibishwa huyu na wanasiasa walioko nyuma ya hili wawajibishwe. Si sawa kuwaonea watendaji wakati watoa maagizo wanaachwa.
Nchi hii inatafunwa na wanasiasa na sio watendaji kama hujui
 
Vunja Mbavu na ma GT mpaka sasa mtiririko wa mawasiliano ulikuwa kama ifuatavyo (kulingana na nyaraka zilizopo):


1. 09 Nov 2009 TPA wanaiomba TRA iruhusu mchepuko kwa muda ili kupunguza msongamano wa meli.


2. 10 Nov 2009 TRA wanaijibu TPA wakihitaji orodha ya meli zitakazonufaika na mchepuko.


3. 12 May 2010 TRA wanaiarifu TPA kuhusu hali ilivyo na malalamiko ya wadau juu ya utendaji na ufanisi wa mita na changamoto za ukadiriaji tozo/kodi. Wanatumia fursa hiyo kuiomba TPA irekebishe kasoro za mita zake.


4. 31 Jan 2011 TPA wanaiandikia TRA wakiomba iruhusu mchepuko


5. 01 Feb 2011 TRA wanaijibu TPA wakiridhia mchepuko kutoka mitani


6. 02 Feb 2011 WMA wanaiarifu TPA kuwa wanapiga marufuku matumizi ya mita 16 kwa madai kuwa hazifai kwa upimaji wa mafuta mpaka zitakaporekebishwa.


7. 08 March 2011 TPA wanaiandikia WMA wakihoji uhalali wa Wakala huyo wa Vipimo kusitisha matumizi ya mita. TPA wanajenga hoja nzito za kitaalam na mantiki kuhusu uamuzi wa WMA. Barua yao kwa WMA wanainakili kwa wadau muhimu wa serikali ikiwa ni pamoja naTRA na Makatibu Wakuu wa Nishati na Madini, Viwanda na Biashara, OWM, na Chama cha Kampuni za Mafuta (OMC).


Nini kilifuata...?



SWALI: Hakuna uwezekano kuwa wakati mafuta yanatoka kwenye flow metre yakaibwa na wajanja kabla hayajafika kwenye matangi ya kampuni za mafuta, na ndiyo maana kampuni hizo zinapata kiasi cha mafuta tofauti na kilichosomwa na flow metre?

Hapa ngoma nzito , huu mpango una msururu mrefu watu wengi wameunganishwa humu.
Kama Waziri mkuu na Rais hawataangalia makunyazi , sura na umaarufu rungu litapiga wengi sana.
 
Mimi sitaki kuamini JK ALIRUHUSU UPUMBAVU NA KAMA NI KWELI HEKIMA YA JUU ITUMIKE KUMUWAJIBISHA AU MH MAGUFUL AWAITE WENYE NCHI WAMSHAURI.YASIJE TOKEA YA ZAMBIA
 
Mimi sitaki kuamini JK ALIRUHUSU UPUMBAVU NA KAMA NI KWELI HEKIMA YA JUU ITUMIKE KUMUWAJIBISHA AU MH MAGUFUL AWAITE WENYE NCHI WAMSHAURI.YASIJE TOKEA YA ZAMBIA
 
Back
Top Bottom