VunjaMfupa
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 122
- 78
- Thread starter
- #81
Vijiti vya kupima.
https://www.varec.com/docs/PRO027GVAE2713_InstrumentationOverview.pdf
https://www.varec.com/docs/PRO027GVAE2713_InstrumentationOverview.pdf
Umesahau hata TPA ilimweleza Vipimo kuwa password uko nayo wewe. Vipimo walitakiwa kuwa wanazikagua, hawawezi kuchoropoka katikahiliMtunzaji wa mita ni TPA, anaetumia data za mita kutoza kodi ni TRA. WAMA kazi yake ni kumlinda mlaji katika matumizi ya vipimo sahihi. Yeye kazi yake ni kuhakikisha hicho kipimo hakipunji, Haki bin Haki.
ndiyo maana niliwahi kusema tusubiri mpaka may 2016 ndiyo tutaona majipu halisi.Hakuna mtu wa kampuni ya simu ajilipue kututuletea hiyo msg ya Muhongo kwenda kwa Mama Chuwa. Hiki ndio kipimo cha utumbuaji majipu, je unahusu watu fulani? Ni nadharia tu? Ni vitendo? Tutajua this time
Hivyo sasa katika sakata hili, WAM wanakosa au hawana. Maana corresponence ulizoweka mkuu inaonyesha kweli kulikuwa na shida na folen ya meli kadri ya barua ulizozipakua hapa JF ilikua ni kubwa, hivyo kulikua na ulazima wa maamuzi ili kunusuru hali na hasa upungufu wa mafuta( kumbuka mafuta kama yatapungua nalo ni jipu baya ambalo hata uchumi unayumba)Mtunzaji wa mita ni TPA, anaetumia data za mita kutoza kodi ni TRA. WAMA kazi yake ni kumlinda mlaji katika matumizi ya vipimo sahihi. Yeye kazi yake ni kuhakikisha hicho kipimo hakipunji, Haki bin Haki.
Ha haaaaaaa,unadhan ni rahc bas!?.Kwa documents hizi, huyo mama wa Muhongo Magdalena haponi, yawezekana huyo mama alipewa maelekezo na mkwere, si ajilipue tu?
Tayari wameshakula kichwa! Siyo mchezo
Ni kwa sababu maisha magumu sana mtaani, lakini unapoona wakubwa zako wanakwenda kinyume na maadili unatakiwa kuachia ngazi.NOPE, MAMA ALIKUWA KATIKA UTII WA VIONGOZI WAKE WAANDAMIZI
#MAADAM IS INNOCENT BY 100%,
KAZI NI PAMOJA UTII KWA VIONGOZI WAKO!.
Waziri mkuu alimuuliza swali huyo meneja WAM kwamba ni kwanini mashine hizo zinafanya kazi leo baada ya kusimama kwa miaka mitano, yule mama akajibu kwamba alipata maagizo kutoka ngazi za juu; PM akamuuliza hizo ngazi za juu ni zipi, Menaja akamjibu akamwambia Ni Prof. Sospeter Muhongo, PM akauliza ni utaratibu upi uliotumika kutoa hayo maagizo sijui alimjibu SMS....
Mkuu hayo maagizo ya kufufua hizo mashine yametolewa kwenye awamu hii ,tena ni siku moja kabla ya Waziri mkuu kwenda hapo ,yeye Muhongo kama hilo swala aliko kwenye wizara yake hayo maagizo alitoa kama nani ??? Inasikitisha sana huyo Muhongo atoe maelezo ya kuelewekaProf. Muhongo usikute na yeye alipokea maagizo kutoka 'ngazi za juu zilizopita''. Nchi hii banaa. Yule mama ndo hivyo tena -- keshatolewa kitoweo cha kafara. Sintoshangaa kesho kutwa ukisika kapata ajari ya gari.
Mimi ni miongoni mwa wanaopenda kuona hili la ukamataji wa mtoto wa panya likifanyika...lakini kwa serikali ya ccm ilivyo, sidhani....Hapa lazima tuwe wajasiri wa kusema ukweli. Haya mambo yote ni ya mtoto wa jamaa wa Msoga, hao wengine wanaambulia tu kwa kuwa utawala uliopita ilikuwa sio rahisi kutumia weledi. Pia ni nafasi nzuri kwa watendaji wa serikali kujionea kuwa ukifanya mabaya katika zama fulani, kitabu kikifungwa unawajibika.
JPM mfunge paka kengere, nenda Msoga kakamate mwizi, na mwizi mwenyewe ni mbunge
Mkuu Nkuba25,akhsante sana kwa comments zako.Nyie waTanzania kwa nini mmejawa na unafiki na kukosa uzalendo?
Taratibu, miiko na Sheria za utumishi wa Umma zinasemaje juu ya mfanyakazi mwizi? Je huyo Mkwere and co. Uliyemtaja hapo juu hakuwa mtumishi wa Umma? Eti unataka awajibishiwe gizani na kimya kimya.
Mmejawa na mepepo hadi mnadiriki kusema kuwa eti inahitajika busara tena busara nyingi kumuwajibisha mwizi wa Mali za Umma.
Akili kama zako ndizo zilizopelekea hii nchi kufikia hapa ilipofika.
Mkuu chicco,naona siku zile zinaanza kurudi taraatibu.This is JF niliyoipenda ya enzi hizo, yenye mijadala makini kuhusu mustakabali wa nchi yetu. sio ya siku hizi watoto kibao na mada za kijinga!!! i really miss those days.
Kizuri zaid ni kuwa, wakati huo Meneja wa mafuta alikuwa Tiagi Masamaki.
Kama jina linavyosema State,hapa Riz1 hakwepiState oil mkuu
Huyu dogo naona wakati wowote ananukia harufu ya ukongaKama jina linavyosema State,hapa Riz1 hakwepi