VunjaMfupa
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 122
- 78
- Thread starter
- #41
Tatizo TPA na TRA walikuwa wanapitisha meli hadi 13. Basi wangeijulisha serikali tatizo. Si umeona wanasema mita hazijawahi kusimama toka zianze? na TRA wanasema zinatoa strange readings" Uzima wa mita ni accuracy na si vinginevyo.Mkuu vunja mifupa kiini cha tatizo nionavyo mimi sio vibali vya ku-bypass metre hiyo nadhani ilikuwa plan B ya ku-control taratibu za upokeaji wa mafuta maana bila hivyo issue ingekuwa hivi.Metre zinapitisha mafuta kwa saa kadhaa halafu zina-jam masaa 24 hakuna kinachoendelea baharini huko kuna msululu wa meli 15 zinasubiri kushusha hali ingekuwaje?,ikaja plan kuwa kama zina-jam basi mtoa kibali ni kamishna wa TRA tu.Hizo metre za hovyo sana ni out-dated kabisa ni zile za mwaka 47,na hapa lazima kuna jipu la aliyeagiza zinunuliwe.Ni kweli zinazidisha volume na ndio maana TRA waliwahi kuzilipa kwa maana ya kuzirudishia pesa kampuni za mafuta,kwa maana kuwa ukipima kilichotoka melini ,kilichopita kwenye metre na kilichopokelewa kwenye tank la kampuni ya mafuta inayopokea mafuta kwa wakati huo utaona tofauti kubwa tu.
Umeniamsha akili, ina maana nasi twaweza kataa ile mipira myeusi ya vituo vya mafuta, tuwe tunapima kwa vijiti tu.Swali la Msingi La kujiuliza, ni kwa nini Hizo Flow meters za TPA zionekane hazifai na zinawahujumu hao wenye mafuta na wazisiamini? na kwa nini wateja wa mafuta waamini zile "meter" za shell ambazo ukifika tu unajaziwa mafuta lita kadhaa na tunaamini?
Je nchi zingine zinatumia "vijiti"?
Je ina maana TPA haikufanya research ya kutosha kabla ya kuzinunua hizo flow metres?
swali lingine, Kwa nini kampuni ya TIPER imejiunganishia bomba na vijibomba (mchepuko), hivi serikali ikiamua kumpigia hasara aliyoisababishia serikali huyu TIPER atasema kwamba anaonewa?
Mkuu serikali ni nani kama si waziri wa nishati??na yule mama alisema aliyemwandikia MSG kuwa ni Waziri Muhongo nina hakika serikali toka awamu ya kwanza ya JK ilikuwa inaijua vizuri tatizo la hizo metre.Tatizo TPA na TRA walikuwa wanapitisha meli hadi 13. Basi wangeijulisha serikali tatizo. Si umeona wanasema mita hazijawahi kusimama toka zianze? na TRA wanasema zinatoa strange readings" Uzima wa mita ni accuracy na si vinginevyo.
Kama ni mtii mbona ameshindwa kutoa maelezo ya kwanini aliamua kutotumia hizo flow meter kwa miaka mitano sasa. Sijui yupi yuko safi au mchafu. Lakini hata wewe hujui yupi yuko safi au mchafu.NOPE, MAMA ALIKUWA KATIKA UTII WA VIONGOZI WAKE WAANDAMIZI
#MAADAM IS INNOCENT BY 100%,
KAZI NI PAMOJA UTII KWA VIONGOZI WAKO!.
Kumbe umeligundua hilo?yaani hawa viwavi sijui wanatupeleka wapikwahiyo unataka tujadili maigizo na vigeregere vya wanaccm,wazee wa mizuka
Daaa,kumbe ni yakwake?yaani hii mijitu imeishika tanzania kila pembe na hakuna uhakika kama ipo siku mnyonge atapata ahueniOilcomunication
Mtamuunga mkono nyie mlioamua kumuunga mkono toka kipindi cha kampeiniMkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.
Kweli kabisa na pia muhongo inabidi ajibu kosa la kuvujisha siri za ziara ya mkuu wake wa kaziWaziri mkuu alimuuliza swali huyo meneja WAM kwamba ni kwanini mashine hizo zinafanya kazi leo baada ya kusimama kwa miaka mitano, yule mama akajibu kwamba alipata maagizo kutoka ngazi za juu; PM akamuuliza hizo ngazi za juu ni zipi, Menaja akamjibu akamwambia Ni Prof. Sospeter Muhongo, PM akauliza ni utaratibu upi uliotumika kutoa hayo maagizo sijui alimjibu SMS.
PROF MUHONGO anatakiwa atoe maelezo yasiyo na shaka kwanini alimtumia huyo mama SMS moja kwanza sio utaratibu wa utendaji serikalini pili kwanini atume SMS baada ya kujua Waziri Mkuu anatembelea WAM ??
VINGINEVYO MUHONGO NA HUYU MAMA WOTE NI WA KUWAJIBISHWA