Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Hivi sasa wanasheria wa CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la Lwakatare na makosa ambayo alishitakiwa nayo.

Anaeleza kuwa kama ameshitakiwa kwa ugaidi lazima makosa hayo yawe ni ya kigaidi, ila makosa ya Kidnapping na abduction ni makosa ya kawaida ya jinai , na kama ili yawe ya kigaidi ni lazima hayo makosa yawe yamefanyika kwa malengo ya kigaidi , na hata hati ya mashitaka haina maelezo ya makosa ya ugaidi .
 
hii serekali imekaa kijoti joti,ukiangalia na ile kesi ya Lema ya ubunge utugundua dhuluma ni nyingi sana!

mbona unongea vitu vya ajabu inamaana wewe unashabikia ugaidi,je unajua vizuri madhala ya ugaid
 
images

nimeipenda mkuu ndo maana kila kinachoendelea huko kwa dr hata kaenda msalani mnapost halafu mnaanza kumsifia.
 
Swala la nani aliyeko kwenye video na mahali gani ulichukuliwa hilo limeishapata ufumbuzi.

KEY POINT.
Kwa sasa misuguano iliyopo ni kama video itakuwa EDITED au La. Na kama EDITED kwa kiasi gani (minutes).
 
Hii kitu watakoaibika zaidi kama ukweli utajulikana ni Pasco na jamaa yake Mzee wa Kwembe-Kati, ambao inaonekana kabisa walikuwa na conclusion nzima ya hii movie...

When the going get tough...
 
hapo vipi, unaweza kuona bila miwani!?
Wataumbuka wengi hapa

Katika pre emptying ya Mawakili wa Lwakatare,

Watu hawawezi kupanga mauaji katika sehemu ya wazi wanayopitapita watu?Mmmmh----Aiseee!Nani kasema!--Hebu jiulize na wewe,Hii ni strong argument kweli ya kumtetea mtu?

Ni Kweli Lwakatare alirekodiwa,Sura yake,ILA baadhi ya maneno sio yake....LAKINI HAKUREKODIWA KWA RIDHAA YAKE,NA HIYO NI MAKOSA?Mmmmmh---Jamani...Mtu anasikika kurekodiwa KUTEKA NA KUMDHURU MWINGINE<HALAFU UNATEGEMEA ATATOA RIDHAA AREKODIWE?--Mmmmh---What an argument jamani.....Dah!(Utadhani Video iliyopelekwa inawaonyesha Wanakunywa pombe na kupiga Soga za Kulima Viazi------Eti "Kuna sheria ya kuzuia mkosaji asirekodiwe"?)

Usalama wa Taifa hauna ruhusa ya kurekodi mawasiliano ya Vyama vya Siasa kwa ajili ya faida ya Chama Tawala---Mmmmh,Jamani jamani---OK OK,Ikithibitika Chama Tawala kimewafanyia Uhuni ili Usalama wa taifa wamrekodi Lwakatare,basi hii haitaondoa "dhana" ya kwamba Lwakatare alifanya Kosa,bali tu itabidi "Chama Tawala" wafunguliwe mashtaka na atakayeona wamefanya Kosa.

Saa 5.55 tarehe 28/12/2012 Mwigulu awasiliana na Ludovick----Eeeeeh?SWALI LETU WENGI LIMEKUWA NI NANI ALIMREKODI LWAKATARE?Kila Mtu anaendelea kuwa na jibu lake Kichwani....Siku ya kurekodiwa mkanda,Mwigulu anawasiliana na Ludovick(ambaye inasemekanika ni mtu mwaminifu ndani ya Wakuu wa Chadema),Kesho yake Mwigulu anasema tunao ushahidi wa CHADEMA kupanga mambo ya Uuaji....Mmmmmh,What a coincidence,...kweli Mwigulu ni Kijukuu cha mtume kama hakuwa ameshaupata huu Mkanda..

Kesi irudi mahakama ya Kwanza ilipofunguliwa?---Kwa sababu hapo ndio lazima Kesi kama hiyo LAZIMA isikilizwe?---Wameshasema kwamba "walikuwa wamekosea" Kuipeleka pale,kwani inaonyesha mahakama ile haina uwezo wa kuendesha Kesi hiyo------Suala litofautishwe hapa---Kati ya sehemu ambayo Kesi itafutwa kwa sbabu Mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza,na lile la kwamba Kesi itafutwa kutokana na kwamba itaonekana "watu hawajafanya makosa wanayotuhumiwa"..

Ok OK.....Tusubiri mambo yanaendaje
JF---Kila mtu mwandishi,mchambuzi,mropokaji,Mwana Intelijensia----raha ndani ya Karaha yani
Tunaendelea kusikiza wengine wanachambueje mambo.
 
Leo katika press conference ya mawakili wanaomtetea Lwakatare wamedai Michuzi alikuwa akipongezana na Usalama wa taifa kuwa ile video ni nzuri.Waungwana naomba CV yake nijue aliingiaje pale Ikulu mpaka kuwa mpiga picha wa rais, je, elimu ilizingatiwa?
 
Ni dhahiri kuwa CCM walikuwa wakimtumia Ludovick kijasusi. Mawasiliano kati ya Mwigulu Mchemba na Ludovick siku ambayo video ilichukuliwa yanaondoa shaka kuwa aliyeichukua video ni Ludovick, na aliyeifanyia editing ni Mwigulu na Ludovick.

Hii ni aibu nyingine ya Kikwete, viongozi wa chama chake kwa kushirikiana na polisi wanahusika na mbinu chafu na za kipu.mbavu. Big shame to Mwigulu, big shame to Ludovick, big shame to the police and big shame to CCM.

Na kibaya zaidi wanataka L abakie police kwa upelelezi zaidi ili badae wamchomoe kiaina,bora hakimu kawachomolea kwani angeaibisha Taaluma yake!

Mungu stil yupo upande wa CDM
 
Hawa ccm mbona tumeshawaweza kiherehere cha mwigulu nchemba kimetusaidia sana kupata ukweli wa jambo hili kwa sababu alishatuambia kuwa anamkanda video viongozi wa cdm wakipanga mauaji polisi hawajamwita kumuhoji hii kesi lazima tuigalagaze serikali ya ccm dpp anaakili ndio maana akaifutilia mbali polisi wameamua kufanya collabo na ccm twende kazi hilo jembe likitoka hapo ni mwendo wa m4c!!!!!!!!!!!!!!
 
una hakika? Hebu niambie lini na saa ngapi nilifanya hayo?

pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.
 
Hii kitu watakoaibika zaidi kama ukweli utajulikana ni Pasco na jamaa yake Mzee wa Kwembe-Kati, ambao inaonekana kabisa walikuwa na conclusion nzima ya hii movie...

When the going get tough...

Ha ha ha.Hujaona wanatoa mapovu kwenye ile thread yangu ya wanaotakiwa kuhojiwa?
 
Back
Top Bottom