Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Tanzania ya leo si ya mwaka 1947, movie yote sasa hadharani, kwani mwandishi wa gazeti aliyetuhumiwa kwamba ndiye aliyepangwa kuuawa na Chadema ndiye aliyenunuliwa kutengeneza movie hiyo pamoja na Ludovick. Ludovick aliandaliwa kuwa karibu zaidi na Rwekatare kwa vile wanatoka sehemu moja hivyo Rwekatare hawezi kuwa na shaka naye kuwa karibu naye. Kila kitu hadharani sasa.
sasa huyu Mwampamba anakuja na sera zake kuwa Mwampamba anasalitiwa. Kajipeleka choo cha kike huko aliko.
 
He once tried to study Law at UDSM but he failed and discontinued. And now a failed law student is teaching experienced Advocates what he failed.

Kumbe alifeli!tatizo alikuwa anafanya starehe sana,hasa masanga!
 
Njaa haina Adabu kaka , siyo kwamba haioni hali halisi , la hasha ! Ila atafanyaje ? Wapo kama watano humu jf , utawajua bila shida yoyote .

mkuu huyu jamaa kinyesi kabisa mara mbili nimetapika baada ya kusoma post zake
 
Hivi Pasco Ile kesi yako uliyo gonga mtu kwa pikipiki ukitokea Morogoro akafa, iliishaje?

Aligonga mtu?Kuna jambo moja huyu jamaa alionesha huruma na uungwana wa hali yajuu,siku moja mida ya usiku alikuta jamaa 1 amegongwa na gari pale mandela road,pasco alimwaga noti na kuagiza jamaa akimbizwe hospitali kisha akasepa na pikipiki lake!
 
Afadhali kwa kulitambua hilo. sasa tuiachie mahakama ifanue kazi yake. kulumbana humu JF hakutamsaidia huyo mtu wenu ambaye anapanga kuwapa watu sumu na kuwateka. shame on you!
nahisi pepopunda inakutafuna una kila dalili za ugonjwa huo
 
Haya wale mnaoshangilia kukamatwa lwakatare soma hapa.
A you tube/video by itself is not enough to win your case. “If you cannot prove the context in which the photo or video was shot, this online evidence is legally hearsay,” says Peter E. J. Wells, a partner at McMillan LLP in Toronto. “You need to show what happened before or after the evidence was created, to establish that it means what you say it means.”
Context is just one of the problems associated with online evidence, and it is not even the largest concern. Instead, the two issues that really challenge the use of online evidence are obtaining it, and then authenticating the evidence in court. “Being digital in nature, online evidence is vulnerable to tampering – be it altering a blog entry, changing an e-mail, or Photoshopping a picture or video,” Clark says. “This is why you must be able to document the evidence’s provenance to everyone’s satisfaction.”
 
sasa huyu Mwampamba anakuja na sera zake kuwa Mwampamba anasalitiwa. Kajipeleka choo cha kike huko aliko.

Naona hata Mwananchi katika kuripoti press conference ya Lissu hawajaandika kama mawasiliano ya Msacky na Ludo yamenaswa.....aibu
 
Haya wale mnaoshangilia kukamatwa lwakatare soma hapa.
A you tube/video by itself is not enough to win your case. “If you cannot prove the context in which the photo or video was shot, this online evidence is legally hearsay,” says Peter E. J. Wells, a partner at McMillan LLP in Toronto. “You need to show what happened before or after the evidence was created, to establish that it means what you say it means.”
Context is just one of the problems associated with online evidence, and it is not even the largest concern. Instead, the two issues that really challenge the use of online evidence are obtaining it, and then authenticating the evidence in court. “Being digital in nature, online evidence is vulnerable to tampering – be it altering a blog entry, changing an e-mail, or Photoshopping a picture or video,” Clark says. “This is why you must be able to document the evidence’s provenance to everyone’s satisfaction.”

Ni matarajio ya wengi kuwa mtengeneza video na aliyeupload apatikane na aelezee motibe behind hiyo video ni nini? Labda ni video toka kwa maadaui wa nchi si lazima CDM hivyo serikali inatakiwa kwenda extra mile.
 
Nafikiri hapa si mamlaka ya DPP tatizo ni kufuta kesi na kufungua hiyohiyo na muda huohuo. Kwa kesi ambayo amesema hana haja ya kuendelea nayo
Kuna sababu za kisheria kuifuta ile kesi ya kwanza na kuifungua tena kesi ile ile. Kesi ya kwanza waliita ugaidi jina tuu lakini hawakufile kama ugaidi hivyo kuipa mahakama mamlaka ya Kisutu mamlaka ya kusikiliza maombi ya dhamana, DPP akaichomoa na kuifungua tena kesi ile kwa kufanya filing in such a way, mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza maombi ya dhamana bali sasa ni mpaka Mahakama Kuu pekee.
Pasco.
 
Mwenzetu hizo habari unapata wapi au unalofaili mawakili wa Lwakatare wamesema kuwa kesi hiyo iko vile vile kama ilivyofiliwa mara ya kwanza hadi nukta hazijabadilishwa tofauti ni tarehe na namba ya file au mwenzetu unamawasiliano ya karibu na DPP unachuja siku hizi laiti ungekuwa Pasco wa Kiti Moto wa JF magumashi kabisa
 
Michuzi ni mnafiki
Yupo kazini, huwezi kuwa mpiga picha au convoy ya rais kama wewe siyo shushushu wao,yupo kwenye payroll ya TISS.Mbona wapo wengi hasa kwenye house media.Media ni hatari sana na ndio maana serikali imejitahidi sana kuweka nusanusa wao kila media kupata info mapema kabla ya hatari.Wahariri wengine wanatuma nyuzi mapema kabisa TISS kwa ajili ya uhariri.Sema tu siku hizi TISS wengi wamekosa weledi wamebaki tu kupiga mpunga wa meno ya tembo,madawa ya kulevya,kuhonga vyeo wakati wa vetting na kulewa tu .Enzi ya mwalimu TISS was respected highly.
 
JInsi Mwigulu alivyoiabisha IKULU ya KIkwete pamoja na kujifanya anamshipa wa kutokujali hili litmfanya akubaliane n wazee wa CCM kumfuta cheo Mwigulu na ubunge utaota mbao baada ya mahakama kumfunga kwa kuandaa mauaji ya mwanaccmkule ndago lenye mwanzo huwa na mwisho RIP mwigulu

mauaji gani ameandaa?? funguka sasa
 
nasi tunaamini kuwa CCM ni cha wachawi, mafisadi na waislam wa BAKWATA. Ndo maana marais wote 5 wa bara na visiwani ni ma alhaji. Wenye haki ya kuchinja ni waislam na mahakama ya kadhi itawekwa na hii CCM ya waislam. Mkuu wa polisi, mahakama, TISS.

Mkuu nafikili si wote ni ma ALHAJI - sijawahi, kwa mfano kusikia Mh.Jakaya alihitwa Alhaji! Yaani mambo mengine ukiyasoma humu mtu unaweza kuvunjika mbavu kwa kicheko - hivi muhumini kwenda kuhiji Mekka zaidi ya mara moja ndio kunamfanya hawe mchawi??? Sasa na wao waki-retaliate kwa kutubatiza sisi wakristo majina mabaya tunaweza kuwalahumu kweli?
 
Tanzania ya leo si ya mwaka 1947, movie yote sasa hadharani, kwani mwandishi wa gazeti aliyetuhumiwa kwamba ndiye aliyepangwa kuuawa na Chadema ndiye aliyenunuliwa kutengeneza movie hiyo pamoja na Ludovick. Ludovick aliandaliwa kuwa karibu zaidi na Rwekatare kwa vile wanatoka sehemu moja hivyo Rwekatare hawezi kuwa na shaka naye kuwa karibu naye. Kila kitu hadharani sasa.

Mambo mengine bwana! Kama kweli Ludo alikuwa na Lwakatara pekee kwa nini hawakuzungumza KIHAYA i.e kulikuwa na haja gani ya kuona kuna haja ya kuzumgumza kiswahili - kitu ambacho si hulka ya kabila la Kihaya wakiwa peke YAO.
 
Tayari comment yako??
 
Lissu kama kweli Lwakatare alipanga huo uhalifu mwacheni apate hukumu stahili, kumtetea leo kwa kosa alilofanya inamaanisha siku chadema ikitwaa utawala wa nchi basi uhalifu na ufisadi utakuwa zaidi ya huu wa CCM leo hii
 
Back
Top Bottom