Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Watu wazima tumeshaanza kujiuliza mashwari juu ya kuifuta na kuifungua upya, ili ni doa tayari ambalo kwa upeo wetu mdogo tayari imetengeneza a reasonable doubt na ni kiashilia cha mizengwe kwenye hili but ngoja tuone kutakuwa na mengi mbele ya safari, wapo waliokuwa hawajui kama ndugu MICHUZI yuko kwenye kitengo kile ndani ya ofisi ile so now wamejua.....
 
umeisoma lakini hiyo email ya michuzi?.

Mimi nilisoma na hamna sehemu anawapongeza TISS kwa kumrekodi rwakatale ni maneno ya lisu.uende uisome tena.
 
Mwenzetu hizo habari unapata wapi au unalofaili mawakili wa Lwakatare wamesema kuwa kesi hiyo iko vile vile kama ilivyofiliwa mara ya kwanza hadi nukta hazijabadilishwa tofauti ni tarehe na namba ya file au mwenzetu unamawasiliano ya karibu na DPP unachuja siku hizi laiti ungekuwa Pasco wa Kiti Moto wa JF magumashi kabisa
Mkuu Froida, yes kesi hiyo iko vile vile ila kunatofauti kwenye filing, jinsi walivyo file mwanzo, sivyo walivyo file mara ya pili!.

Ni kama mgeni ameleta barua nyumbani na kukukabidhi kwa kukuambie mpe baba, alipokupa mara ya kwanza, hakuifunga ile bahasha, mara baada ya kukukabidhi, akakumbuka hajafunga bahasha, hivyo baada tuu ya kuondoka, mara akarudi na kukuomba ile barua, hakuambii sababu, akaondoka nayo kidogo tuu mara akarudi nayo, ila this time ameifunga ile bahasha!. Barua ni ile ile, na bahasha ni ile ile ila mwanzo ilikuwa wazi, sasa imefungwa!.

Vivyo hivyo, serikali ilipopeleka ile kesi mwanzo, iliifile kikawaida, hivyo mahakama ya Kisutu ilikuwa na mamlaka ya kutoa dhamana. Walipo file tena, sasa Kisutu wamefungwa mikono, they've nothing to do with this kesi ya ku mention tuu, ngoma yote sasa itachezwa Mahakama Kuu!.

DPP akileta Nolle, the case is dead, huwezi kuifufua, wala hakuna yoyote mwenye mamlaka kumuuliza DPP chochote, wala lolote, uamuzi wake ni final, finale!.
Pasco.
 
mkuu froida, yes kesi hiyo iko vile vile ila kunatofauti kwenye filing, jinsi walivyo file mwanzo, sivyo walivyo file mara ya pili!.

Ni kama mgeni ameleta barua nyumbani na kukukabidhi kwa kukuambie mpe baba, alipokupa mara ya kwanza, hakuifunga ile bahasha, mara baada ya kukukabidhi, akakumbuka hajafunga bahasha, hivyo baada tuu ya kuondoka, mara akarudi na kukuomba ile barua, hakuambii sababu, akaondoka nayo kidogo tuu mara akarudi nayo, ila this time ameifunga ile bahasha!. Barua ni ile ile, na bahasha ni ile ile ila mwanzo ilikuwa wazi, sasa imefungwa!.

Vivyo hivyo, serikali ilipopeleka ile kesi mwanzo, iliifile kikawaida, hivyo mahakama ya kisutu ilikuwa na mamlaka ya kutoa dhamana. Walipo file tena, sasa kisutu wamefungwa mikono, they've nothing to do with this kesi ya ku mention tuu, ngoma yote sasa itachezwa mahakama kuu!.

Dpp akileta nolle, the case is dead, huwezi kuifufua, wala hakuna yoyote mwenye mamlaka kumuuliza dpp chochote, wala lolote, uamuzi wake ni final, finale!.
Pasco.

umeanza kupevuka
 
Mkuu Froida, yes kesi hiyo iko vile vile ila kunatofauti kwenye filing, jinsi walivyo file mwanzo, sivyo walivyo file mara ya pili!.

Ni kama mgeni ameleta barua nyumbani na kukukabidhi kwa kukuambie mpe baba, alipokupa mara ya kwanza, hakuifunga ile bahasha, mara baada ya kukukabidhi, akakumbuka hajafunga bahasha, hivyo baada tuu ya kuondoka, mara akarudi na kukuomba ile barua, hakuambii sababu, akaondoka nayo kidogo tuu mara akarudi nayo, ila this time ameifunga ile bahasha!. Barua ni ile ile, na bahasha ni ile ile ila mwanzo ilikuwa wazi, sasa imefungwa!.

Vivyo hivyo, serikali ilipopeleka ile kesi mwanzo, iliifile kikawaida, hivyo mahakama ya Kisutu ilikuwa na mamlaka ya kutoa dhamana. Walipo file tena, sasa Kisutu wamefungwa mikono, they've nothing to do with this kesi ya ku mention tuu, ngoma yote sasa itachezwa Mahakama Kuu!.

DPP akileta Nolle, the case is dead, huwezi kuifufua, wala hakuna yoyote mwenye mamlaka kumuuliza DPP chochote, wala lolote, uamuzi wake ni final, finale!.
Pasco.

--Kama mwigulu nae ni lead suspect akipewa summon na chunguzwa itakua ni balaa kwa sababu kwa mujibu wa Lisu kuna hard evidence inayomuimplicate directly na itabidi kesi ya mwigulu iishe kwanza ndiposa waanze na hii ya ugaidi
--Pia Lisu alieleza framing ya mashitaka ina matatizo akayataja makosa ya utekaji nyara na mashitaka yote hayana mashiko na hata shitaka la ugaidi halijabainisha ni kupanga kufanya ugaidi au kufanya ugaidi.

Kifupi serikali inabidi iache ubahili ikiwa wanataka kushinda kesi hizi inabidi wachukue mawakili kama Nkono na Mvungi au toka chemba kama IMMA yaani wale watu wanajua wanachofanya. Bila hivyo hawatawahi shinda kesi hata za ugoni wa mchana.
 
Mnachambua mambo kwa lugha nzito za kisheria..........sisi maleyman tunaomba mtujulishe kama hii video ni ya kweli au ya kuigiza......

Video hata ikiwa ni ya kweli, wataangalia kama upatatikanaji wake ni halali na haukuvunja sheria nyingine ili iweze kutumika kama kielelezo mahakamani. Hiyo ndiyo sheria ilivyo, wakisema ni ya kweli lakini upatikanaji wake ulivunja sheria basi kesi inakwisha hivyo, umma ndo utahukumu CDM.
 
No sir! We are no longer a lovely country Tanganyika, our innocence was broken in the run up to 1995 general elections. And we became a Mafia State. Have you not had a sense of it yet? Remember what happen to Dr.Uli? And how about Dr. Mwakyembe after he accused the state of an elaborate plan to take his life? Instead of taking people to tak, what happen? The guy was promoted to full Ministerial position. Aren't his finger nails still not black! Last time I checked,when seating on couch watching TV, they still were? With all honest and common sense can you really say the state was not involved in the plan that was meant to extinguish him? Or may be Lwakatare and CHADEMA excecuted this ploy? Ca moon people!! Remember Ramhan Kombe? What happened to the soldiers who killed this an unarmed man? Only one word- Nothing!

Mwigulu Nchema says " I have got these CDs that show CHADEMA planning to kill innocent Tanzanians, and nothing happens;he is not even quizzed by police to find out the truth behind the matter! If we are not a MAFIA state what other good name is there for us? We are a state that lives on and breathes impunity. And of this is because of power hungry, mice-like -with -devil - hornes individuals than munch on our state coffers/resources and they are ready,able to go great length to protect their illegal earned turf. And any one who dares to infringe on their devil given rights is sure to face the music and dance to the tune of what happened to Dr.Mwakyembe- the honorable minister- take this position and keep quiet!!!!!!!!!!!

Impunity is saved at breakfast,lunch and dinner in Tanzania these days and devil has blessed for the MAFIA state that we have become!!

Message received, noted well with high critical thinking.
 
Video hata ikiwa ni ya kweli, wataangalia kama upatatikanaji wake ni halali na haukuvunja sheria nyingine ili iweze kutumika kama kielelezo mahakamani. Hiyo ndiyo sheria ilivyo, wakisema ni ya kweli lakini upatikanaji wake ulivunja sheria basi kesi inakwisha hivyo, umma ndo utahukumu CDM.
..... Shukrani Mkuu...umenitoa tongotongo....kumbe kuna mijadala miwili hapa....mmoja ni uhalali wa kutumika video mahakamani kama ushahidi ...na mwingine ni kujua kama video ni ya kweli au ya kuigiza.......
 
Sina maneno ya kuongeza zaidi ya asante kwa kazi mnayoifanya video inajieleza, Mola awape nguvu na maarifa zaidi ya kuifikisha TANZANIA nchi yetu pazuri
 
Last edited by a moderator:
Sina maneno ya kuongeza zaidi ya asante kwa kazi mnayoifanya video inajieleza, Mola awape nguvu na maarifa zaidi ya kuifikisha Pazuri

Mkuu ungetoa hata hints kidogo maana wengi humu JF tuna access kwa kutumia simu na megabites za kuungaunga hivyo kuload video ni utata mtupu hivyo tunabaki kukomaa na maandishi tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ungetoa hata hints kidogo maana wengi humu JF tuna access kwa kutumia simu na megabites za kuungaunga hivyo kuload video ni utata mtupu hivyo tunabaki kukomaa na maandishi tu.

Mkuu nisamehe yani sikutaka kuandika chochote ili nisiharibu ila kwa ufupi ameeleza kinagaubaga kesi ya Lwakatare ilivyo ya kutengenezwa huku akifafanua maandakizi yote, nimeshangazwa zaidi uhusika wa ludo na msaki. yani jitahidi uione hiyo video mkuu
 
Back
Top Bottom