Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Kwa kweli ukisikiliza unaona ni kwa jinsi gani hii kesi inaungwaungwa ili kuhakikisha mshtakiwa anatiwa hukumuni. Hii ni ukosefu wa haki za binadamu. Unamshtaki mtu tena unafuta mashtaka na kumshtaki hapo hapo eti umebadilisha hati ya mashtaka. Haya ndiyo wanayofanyiwa watanzania wengi tu tena wasio na hatia. Tunahitaji wasomi watakaotuondolea huu uhuni hapa nchini. Hawa polisi wetu wanabambikizia watu makesi kwa kuungaunga sharia ili mradi tu wafaidi hongo kwani wanajua wanafamilia wa hao washtakiwa wanateseka kwa kuona ndugu zao wanaumizwa bila sababu. Tuangalie haki za binadamu. Tuangalie utu wa watu wengi tu hasa kina mama wanaosotea kwenye marumande bila hata kosa kisha kesi kuungwaungwa kila siku ili mahakimu wafaidi rushwa. Huu ni uuwaji na ukosefu mkubwa sana wa haki za binadamu.
 
Kama nimemsoma Vyema Lisu Hapa

Kimsingi Lisu anaoneka zaid kusimamia Maslahi ya CDM, ukimsoma kwa undani zaid yuko Very much Focused Kumjua ni nani aliyesuka Hii Movie.
Na hapa CCM hawatachomoka, Lissu hajakanusha kuwa Lwakatare hakuhusika, Mark my words, ila Lissu anataka kuudhihirishia Ulimwengu kuwa.
Hii Movie ni Mpango mchafu wa CCM kwa kushirikiana na Vyombo vya dola including TISS kuvuruga CDM imgwa wataangukia Pua.
Ukiangalia Flow ya Mawasiliana ya Ludo na Mwigulu 28/12/2012 na kesho yake Mwigulu kutangaza kumiliki Mkanda ukionesha Viongozi wa CDM na mipanga
ya Mauaji through Star TV, Ukiangalia email ya Michuzi kwa wana Ikulu wenzake akiwapa Kudos TISS kwa kazi nzuri, na Mwisho kabisa ukiangalia
Mawasiliana ya Denis Msaki na Lwakatare a day before Movie haijarekodiwa, hapo utagundua kuwa.

1. Kimsingi Ile Video ili rekodiwa Purposely Kuchafua CDM
2. Inawezekana pia Lwakatare amehusika hapa kwa Namna Moja ama Nyingine

Important

Hapa CDM wanatakiwa waendelee kusimamia hoja yao ya ni nani alimtuma Ludo ku record Mkanda.
Fursa Pekee itakayowezesha hili ni Kwa kuendelea Kumtetea Lwakatare Mahakamani hata Ludo akitaka Huo Msaada.
Najua CCM hakulifikiria hili Before,.
Hapa tutawakamata CCM na Serikali yake na who knows, Ukombozi unaweza Kuanzia hapa.
Lakini kitu Kingine ambacho kinapunguza Imani ya wengi kuamini kuwa Lwakatare anahusika hapa ni Yeye kukubali Kudhaminiwa na akina Lissu.
Kama kweli angekuwa anahusika, asingekubali Kutetewa na akina Lissu maana Risk ya yeye kutetewa na akina Lissu kama kweli
na yeye ni part ya Wana hii Movie ni Kubwa sana, angeweza tu kutafuta Ma wakili wengine, au hata akina Mwigulu wangeweza Kufanya
Arrangement ya kumuwekea Mawakili feki wa Kuzugia, utakubali vp kutetewa na Mtu ambaye unajua Kabisa umemsaliti!!!!!!!!!!!
Unless akina Lissu nao ni sehemu ya Hii Movie

Tusubiri Tuone, Hii kesi tamu kweli kweli, na sitashangaa kusikia DPP kaamua kuifuta hii kesi
 
Halafu michuzi analalamika kwa nini hatuitembelei blog yake!ataiangalia yeye na wana tiss wenzake
 
Natamani isikizwe leo na iendelee mpk mwisho bila kuahirishwa ili tumalize hili mapema tuendelee na maandalizi ya Tz tuitakayo magamba wanatupotezea valuable time.
 
Kama nimemsoma Vyema Lisu Hapa

Kimsingi Lisu anaoneka zaid kusimamia Maslahi ya CDM, ukimsoma kwa undani zaid yuko Very much Focused Kumjua ni nani aliyesuka Hii Movie.
Na hapa CCM hawatachomoka, Lissu hajakanusha kuwa Lwakatare hakuhusika, Mark my words, ila Lissu anataka kuudhihirishia Ulimwengu kuwa.
Hii Movie ni Mpango mchafu wa CCM kwa kushirikiana na Vyombo vya dola including TISS kuvuruga CDM imgwa wataangukia Pua.
Ukiangalia Flow ya Mawasiliana ya Ludo na Mwigulu 28/12/2012 na kesho yake Mwigulu kutangaza kumiliki Mkanda ukionesha Viongozi wa CDM na mipanga
ya Mauaji through Star TV, Ukiangalia email ya Michuzi kwa wana Ikulu wenzake akiwapa Kudos TISS kwa kazi nzuri, na Mwisho kabisa ukiangalia
Mawasiliana ya Denis Msaki na Lwakatare a day before Movie haijarekodiwa, hapo utagundua kuwa.

1. Kimsingi Ile Video ili rekodiwa Purposely Kuchafua CDM
2. Inawezekana pia Lwakatare amehusika hapa kwa Namna Moja ama Nyingine

Important

Hapa CDM wanatakiwa waendelee kusimamia hoja yao ya ni nani alimtuma Ludo ku record Mkanda.
Fursa Pekee itakayowezesha hili ni Kwa kuendelea Kumtetea Lwakatare Mahakamani hata Ludo akitaka Huo Msaada.
Najua CCM hakulifikiria hili Before,.
Hapa tutawakamata CCM na Serikali yake na who knows, Ukombozi unaweza Kuanzia hapa.
Lakini kitu Kingine ambacho kinapunguza Imani ya wengi kuamini kuwa Lwakatare anahusika hapa ni Yeye kukubali Kudhaminiwa na akina Lissu.
Kama kweli angekuwa anahusika, asingekubali Kutetewa na akina Lissu maana Risk ya yeye kutetewa na akina Lissu kama kweli
na yeye ni part ya Wana hii Movie ni Kubwa sana, angeweza tu kutafuta Ma wakili wengine, au hata akina Mwigulu wangeweza Kufanya
Arrangement ya kumuwekea Mawakili feki wa Kuzugia, utakubali vp kutetewa na Mtu ambaye unajua Kabisa umemsaliti!!!!!!!!!!!
Unless akina Lissu nao ni sehemu ya Hii Movie

Tusubiri Tuone, Hii kesi tamu kweli kweli, na sitashangaa kusikia DPP kaamua kuifuta hii kesi
 
Wanasheria wa Chadema wanafurahisha sana, Malando ni wakili kwa mtu mwenye kesi ya ufisadi, Lissu kwa mwenye kesi ua ugaidi.Af mwisho wa siku wanadai wanapambana na ufisadi.
 
Rudi shule ujue utamu wa
kesi hii, yani na kutafuniwa kote unataka mpaka usukumizwe kooni!
usinitafutie ban bure

kwi kwi kwi kwi kwi kwi,msaidie kaka usimtukane mkuu,unaweza kushangaa unachat na jk mjomba
 
naomba jina la hii video nikaangalie...maana nikiclick kwa simu inagoma...nataka nipitie browser ya kawaida
 
Definitely asingesema kinyume na hivi ndio ingekuwa habari, wanasheria wanatetea waharifu siku zote na mtu kutoka au kusota lupango pia sio kigezo cha kusema alifanya au hakufanya. Ukweli utabaki kuwa video ya kwanza mngemuacha mwenyewe alierecord ndio ajitete mbele ya watanzania. Kwa aliyosema alipaswa kukamatwa hata serikali ingekuwa chini ya Lissu and etal.
Na chama kiendelee kuwa chama na msimamo wa mawakili hawa uwe tofauti na chama chao. Je wanalipwa na chama kwa kazi hii!
 
Napita tu,Lissu alipozungumzia ugaidi akataja uislam,vp na kule wanakopigana kutaka kujitenga na uanglikana nao ni waislam,ninyi movement for cash wachezi hizo bana
 
Mkuu nisamehe yani sikutaka kuandika chochote ili nisiharibu ila kwa ufupi ameeleza kinagaubaga kesi ya Lwakatare ilivyo ya kutengenezwa huku akifafanua maandakizi yote, nimeshangazwa zaidi uhusika wa ludo na msaki. yani jitahidi uione hiyo video mkuu

Mkuu, kama utaweza kuidownload toka YOUTUBE kisha upload hapa JF. Au nipe link other than youtube
 
Sina maneno ya kuongeza zaidi ya asante kwa kazi mnayoifanya video inajieleza, Mola awape nguvu na maarifa zaidi ya kuifikisha TANZANIA nchi yetu pazuri

sijaona chochote cha maana zaidi ya majigambo tu ya tundu. wenye akili zetu tunaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Wataalam na wanasayansi wamethibitisha pasipo shaka kwamba ile video ya lwakatare ni halisi na ni ya kweli. Zaidi soma Gazeti la mtanzania jumapili ya leo.
 
Video ya lwakatare ni ya kweli na ni halisi - wataalam, zaidi soma mtz ya leo j2
 
Wataalam na wanasayansi wamethibitisha pasipo shaka kwamba ile video ya lwakatare ni halisi na ni ya kweli. Zaidi soma Gazeti la mtanzania jumapili ya leo.

I could have told you that.

Nilishaandika hapa pia.

CHADEMA kuendelea kutaka watu waamini kwamba video "imetengenezwa" ni kujishusha.

Kama video imetengenezwa basi imetengenezwa na Lwakatare.

Ukimsikiliza Tundu Lissu haongelei kwamba video ni authentic ama la, anaongelea some lawyerly definition ya ugaidi na njama za ugaidi, kitu ambacho nilishakisema hapa mwanzo kwamba hii kesi ni ngumu kui prosecute successfully kwa sababu there is flimsy evidence and room for claims of entrapment.

Kwa hiyo wanaojua mambo ya utetezi hawajikiti katika utetezi kwamba video si authentic (apart from the editing question), wanajitetea kwamba hata kama video ni authentic, hamna kosa hilo la ugaidi lililotajwa kisheria.

Mahakama ya sheria na mahakama ya public opinion ni vitu viwili tofauti.

Baada ya kushinda kesi CHADEMA inabidi mjieleze kwa wananchi kama alichofanya Lwakatare si najama za ugaidi ni nini?
 
Back
Top Bottom