Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Kukataa sauti yake nadhani alifikiri Ludovick ata-edit hiyo picha. Kwasasa naanza kuelewa kwamba kuna uwezekano ludovick na lwakatare waliambizana baada ya ludo kuongea nchemba. Hivyo na lwakatate akaongea na Msacky kumwambia kitachotokea na asistuke.
Anaumwa nini?
Pasco njaa itakuja kukuumiza siku moja, mark my words.
Kila mtu kivipi?? Mbona mm sijatuhumiwa?? au mm sio mtu?? au unamaana gan kusema kila mtu???Hawa machadema bana, shida kweli, mbona wanamtuhumu kila mtu? Naona hawajielewi.
Anaumwa nini?
Nani aliyemrekodi Lwakatare? Je, Lwakatare alijua kuwa anarekodiwa? Je, aliruhusu? Kama hakuruhusu, ilifanyika kihalali? Je, haivunji katiba ya nchi inayozungumzia privacy ya mtu? Je, baada ya kurekodiwa mkanda huo ulipelekwa wapi? Nani alikuwa nao? Je, umefanyiwa uhariri (editing) na nani? Je, aliyemrekodi alitumwa na nani?
Ina maana wamekubaliana kuwa video ni halisi hivyo wanakuja na hoja hizi au?
Kila mtu kivipi?? Mbona mm sijatuhumiwa?? au mm sio mtu?? au unamaana gan kusema kila mtu???
Lissu anamanga manga tu
apelekwe gerezani kwani ameshahukumiwa? Acha uzuzu
Lissu kabla hajayasema haya aliwasiliana na Katibu mkuu wake? Maana huyo babu alikwisha sema hii video ni ya kuchakachua hadharani. Kweli Lissu kesi imefikia patamu sana na kwa kazi ya kumlinda Slaa Ludo atakuwa na mengi mno ya kushare na dunia.
apelekwe gerezani kwani ameshahukumiwa? Acha uzuzu
KIngwangwala mbona kuna mtu anamfahamu anasema alisha tibiwa sana pale psychiatric unit Muhimbili, na Dr Ayoub kwa sasa yupo wizarani akaulizwe akiwa mwaka wa pili alibreak baada ya msichana kumkataa ambaye baada ya rehabilitation na kupata msaada wa kijana mmoja alkuwa intern toka uholanzi akapata pesa akanunua kihiace alikuwa anaendesha mwenyewe akipigana mwilini na abiria wake,halafu akafungua saloon za kiume, mpaka sasa yupo kwenye dawa akisahau tu anatoa pistol anataka kuitumia kudhuru watu kama alivyomtishia Basheugonjwa wa mtu ni siri yake na daktari wake ila anamu attend mirembe dodoma
Haya ni maswali anayoendelea kujiuliza Tundu lissu juu ya video ya lwakatare...ameyasema leo akiongea na waandishi wa habari, muelekeo wa maswali hayo ni kuwa lissu anaamini ile video ni genuine, ila anahoji kuhusu aliyemrekodi katumwa na nani, na kwa nn avunje katiba ya mtu kwa kuingilia privacy ya lwakatare.....sasa nataka wale wote waliokuwa wakiongea humu jamvini kuwa ile video imechezewa, na yule si lwakatare huku wakishindwa kutoa mifano ya watu walioweza chezea video yenye urefu kama ule waje humu, watuambie wana jipya gani sasa hvi!!!, na matusi mnaruhusiwa pia, mana najua wataonitukana, ila nawaombeni mnitukane matusi ambayo sijawahi kuyasikia....maswali ya lissu ni haya hapa......
karibuni
- Nani aliyemrekodi Lwakatare?
- Je, Lwakatare alijua kuwa anarekodiwa? Je, aliruhusu? Kama hakuruhusu, ilifanyika kihalali?
- Je, haivunji katiba ya nchi inayozungumzia privacy ya mtu?
- Je, baada ya kurekodiwa mkanda huo ulipelekwa wapi? Nani alikuwa nao? Je, umefanyiwa uhariri (editing) na nani?
- Je, aliyemrekodi alitumwa na nani?
Hawana cha kusema kwa sasa maana mimi nawajua asilimia kubwa ya vijana wa chedema ni wana viloba tu na sasa wanataka kuwa magaidi