Nimependa hiyo nakala yako.... Jamaa zako maji shingoni!
Hapo sasa, kwa jinsi hali ilivyo kweli kesi hiyo tamu kweli.
Mh. Tundu Lissu amebadilisha upepo kabisa wa swala la Lwakatare. Amesema wana mawasiliano baina ya Mwigulu na Ludovick wakiwasiliana muda mfupi tu baada ya Ludovick kutoka kwa Lwakatare. Lwakatare pia alipigiwa simu na Msaki siku moja kabla ya video ile kurekodiwa. Lisu anasema wakifika Mahakamani kesi ile haimalizi masaa 3 itakuwa imeisha.
Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
sasa kama hujui kusoma,unataka ujue leo kusoma???pole sana,maana ile elimu ya ngumbaru ilifutwa hapo zamani za kale.subiri CDM iingie madarakani 2015,watairudisha ngumbaru maana nyinyiem imwzalisha sifuri nyingi kuanzia primary
Hujui kusoma hata picha huoni, subiri Nchemba na Msaky watakapoanza kuisaidia polisi ndio utajua kama wanatuhumiwa.Hawa machadema bana, shida kweli, mbona wanamtuhumu kila mtu? Naona hawajielewi.
T2015cdm
Nimependa hiyo nakala yako.... Jamaa zako maji shingoni!
Endelea kulala na kuota hizi ndoto zako, unafikiri hizi video fake zinatengenezwa kwa sababu gani, wameshaona kuiba kura tena itakuwa ngumu sasa wanataka kuua upinzani kwa style za kishamba.labda kenya au nchi nyingine sio tanzania.hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuingia ikulu kwa sasa
[h=1]Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare[/h]
[video=youtube_share;yR_sm3UYJcY]http://youtu.be/yR_sm3UYJcY[/video]
Nilishasema na nasema tena pasipo kumung'unya neno mwigulu ndo mhusika mkuu wa hili jambo,jamaa ana roho mbaya sana
Ndio tulikua tunasubiri hii, sasa ndio kina Slaa wanaanikwa.
Mh. Tundu Lissu amebadilisha upepo kabisa wa swala la Lwakatare. Amesema wana mawasiliano baina ya Mwigulu na Ludovick wakiwasiliana muda mfupi tu baada ya Ludovick kutoka kwa Lwakatare. Lwakatare pia alipigiwa simu na Msaki siku moja kabla ya video ile kurekodiwa. Lisu anasema wakifika Mahakamani kesi ile haimalizi masaa 3 itakuwa imeisha.
Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
Endelea kulala na kuota hizi ndoto zako, unafikiri hizi video fake zinatengenezwa kwa sababu gani, wameshaona kuiba kura tena itakuwa ngumu sasa wanataka kuua upinzani kwa style za kishamba.
Mkuu,nilikuwa ninashangaa anavyokiri kila kitu na kukataa sauti katika statement ya police.Chafya inaweza kuwa ugaidi hivi leo kama unamafua ya ndege na kwa makusudi ukaama kuyaeneza sio jinai?
Picha halisi inaanza kuonekana,
Polisi kutaka kumshikilia Ludovick mahabusu badala ya kupelekwa Gerezani na Hakimu kukataa.
Duh yetu Macho na Masikio.
Tuombee Amani ya Nchi yetu.