Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Dr Slaa, Zitto watofautiana na viongozi wenzao

Wakati gazeti la Majira Novemba 8 na Mwanachi Novemba 9 yakiandika habari kwamba Mbowe amefanya kikao kisicho rasmi Dodoma na kuamua kuwafukuza uanachama Kafulila, Danda na Shida Salum kutokana na kuwa kambi ya Zitto; naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe amekanusha kuwepo kwa kikao kilichofanya maamuzi hayo.

Akichangia katika Mtandao wa Jamii Forums Zitto amesema: “Nadhani mnakuwa emotional sana. Mimi siamini kuwa kuna mpago wowote wa kumfukuza mtu yeyote uanachama wa CHADEMA kwani kaiba yetu ipo wazi kuhusu taratibu za kufukuza uanachama. Nadhani kuna watu ni waoga ndani ya chama kuhusu nafasi zao na kwamba watafukuzwa kwa kuwa walikuwa wakiniunga mkono kufanya mabadiliko ya uongozi. Lakini pia kuna uwezekano mkubwa mjadala huu umeletwa ili kuficha mjadala wa CCM wa umeendelea kwa wiki nzima na pia kuonyesha kuwa hata CHADEMA wanagombana.

Chama kipo shwari na viongozi hawana ugomvi. Pia David Kafulila wala Shida Salum hawawezi kuwa wasaliti wa chama hata kidogo. Nimewahi kusema humu ndani kuwa kule Kigoma CHADEMA ni movement - anayetaka kuvuruga CHADEMA hatatoka salama hata kidogo.

Mwenyekiti Mbowe ni mzoefu wa siasa na hawezi kufanya haya ambayo yameandikwa katika magazeti.

Ninawaomba mtulie kwani CHADEMA ipo imara kabisa na hakuna ugomvi wowote na wala hakuna atakayefukuzwa!”

Kauli hiyo ya Zitto akwenda tofauti kabisa na kauli zilizotolewa na Maafisa wenzake David Kafulila- Afisa Habari na Danda Juju Martin-Afisa wa Bunge wa chama hicho.

Gazeti la Majira lilimnukuu Bwana Kafulila akisema “ kwamba habari hizo amezisoma kwenye vyombo vya habari na kwamba kama kuna kikao ambacho Mbowe amekifanya Dodoma basi kitakuwa ni kikao cha geto. Kwa upande wake gazeti la Mwananchi lilimnukuu Kafulila akieleza amesikia taarifa kuwa amejadiliwa Dodoma na kufukuzwa uanachama na anasubiri barua rasmi”. Kwa upande wake Bwana Danda alinukuliwa na Mwanachi ameeleza kwamba anaamini taarifa za kuwa amefukuzwa uanachama kwa kuwa anajua kuwa Mbowe alikuwa na kikao kisicho rasmi Dodoma.

Hata hivyo, Katibu Mkuu- Dr Slaa na gazeti la leo la Mwananchi na vyombo vingine akifafanua kwamba hakuna kikao kilichokaa kufukuza mwanachama yoyote kwa sababu taratibu za kikatiba za CHADEMA yanapokuja masuala makubwa kama hayo zinajulikana. Ameeleza kuwa Dodoma palifanyika retreat ya chama iliyoitishwa na viongozi wakuu wa chama kwa ajili ya kutafakari mikakati ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Ameeleza kuwa ni kawaida kwa chama hicho kuitisha vikao hivyo kila mwaka ambavyo hufuatiwa na vikao vya sekretariati na kamati kuu. Dr Slaa ameeleza kuwa kikao hicho kilitishwa na Mwenyekiti kikihusisha viongozi wakuu- Makamu Mwenyekiti Arfi Said na yeye. Ameeleza kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe hakuhudhuria kutokana na kuwa safarini kikazi. Ameendelea kufafanua kuwa Wakurugenzi wa chama waliakwa katika kikao hicho. Katika kikao hicho maafisa wa chama hawakualikwa. Kafulila ni Afisa habari ambaye mkurugenzi wake ni Erasto Tumbo ambaye alihudhuria. Mkurugenzi wa Bunge ni John Mrema, ambaye afisa wake Danda Juju ni mmoja wa waliolalamikia kikao hicho. Wakurugenzi wengine waliohudhuria ni pamoja na Benson Kigaila, John Mnyika na Antoni Komu. Kikao hicho kilihusisha pia wabunge wote wa CHADEMA waliokuwepo Dodoma wakati huo wakiwemo Ndesamburo, Charles Mwera, Susan Lyimo na Grace Kiwelu. Wabunge Halima Mdee, Lucy Owenya na Ana Komu ambao wametajwa na magazeti yote mawili kuwa walihudhuria kikao hicho Dodoma hawakuwepo Dodoma wala kuhudhuria kikao hicho kutokana na kuwa safari nje ya nchi. Dr Slaa ameeleza kuwa katika kikao hicho hakujajadiliwa wala kutajwa jina la Mama Zitto, wala kafulila wala Danda Juju, sembuse kufukuzwa uanachama. Kauli ya Dr Slaa imeendana na kauli ambayo Zitto kabwe kwenye mtandao wa Jamii Forums akieleza kwamba hakuna suala hilo la mwanachama kufukuzwa uanachama.

Katika hatua nyingine Zitto ametofautiana na msaidizi wake wa karibu Omar Ilyas kuhusiana na kuendeleza mijadala yenye kujenga makundi ndani ya chama baada ya uchaguzi wa chama hicho kumalizika. Msimamo huo wa Omar Ilyas ambao umeonekana kuendeleza malumbano aliutoa kwenye mtandao wa Jamii Forums kama ifuatavyo:”Now I understand kwanini MWAFRIKA alikuwa akilazimisha kuwa mimi nasema kama msemaji wa Zitto. Mwanzoni nilidhani ni upofu wa kudhani kila mtu hana akili ya kusema ama kuwa na msimamo wake mwenyewe kumbe ugali ulikuwa unaandaliwa kuni?

Wakati haya yakifanyika kama ni kweli ushauri wangu ni kuwa mtambue kuwa Shida Salum alihchaguli kwa kura zaidi ya asilimia 70 kuingia kamati kuu/baraza kuu na pia Kafulila alipata kura nyingi kuliko wagombea wote ndani ya baraza la vijana hivyo hapo mjiandae kupambana na pengine zaidi ya nusu ya wanachama wa CHADEMA.

Hapo sijamuongelea Zitto ambaye wote mnamjua uwezo wake, ubishi wake, umaarufu wake, uthabiti wake na pia ni kiongozi anayejua mapungufu yenu mengi tu na kama sio wote. Na bila ya kusahau wale wote walio na tofauti na uongozi wenu mara baada ya Chacha Wangwe na wengineo kutokea ambao Zitto alifanya kazi ya ziada kupunguza wengi wao wasipige kura za maruhani wakati ule. Kamwe huwezi ukafanya haya yanayosemwa hapa bila ya kuwa na nia mbaya na Zitto. Na hakuna anayeweza kukubali vinginevyo.

Mwenzenu baada ya yale yaliyopita hivi mujuzi hapa jamiiforum,nilikuwa nimeshaanza kufanya mikakati ya kuwakutanisha ninyi na Zitto haraka iwezekanavyo ili muongee mjue na kutambua hasa sababu zinazowafanya muwe kama mlivyo sasa. Sasa kama mmefika huko mnapoelekea then nitakachoweza kufanya ni kuwatakia safari njema ninyi wajuvi na asanteni sana kwa mnayotundea sisi watanzania wenye matumaini yasiyokwisha ya kuona Tanzania yenye demokrasia makini na yenye uwezo wa kujenga taifa lenye ustawi wa wote na imara zaidi...”

Katika hali ambayo inaonyesha kuweka mkazo katika kulinda chama na kuachana na siasa za makundi, Zitto alitofautiana naye katika mtazamo wake hapo huu na kusema “Omar, haya malumbano hayana tija yeyote kwa Taifa letu. Sisi tunapita tu na hizi Asasi tulizoanzisha zitadumu. Tutoe fursa kwa Taifa kupumua. Sitisha malumbano haya na huyu Mwafrika. Tafadhali nakusihi ndugu yangu”.
 
bora CCM chama cha watanzania wote ila CHADEMA CHA UKOO.
 
Kwi kwi kwi,

Yaani kama vile nimemshamjua mwandishi wa hii habari.
 
Neah,

It's never OK (thanks GOD).

Yeah, no need to brand each other, I have some questions to be answered thats all I need.

By the way it doesnt worth my time to discuss issues with a newly registered person who aims at branding people!. Ndo maana nimesema thanks na simjibu tena.
 
Naomba ushauri ! Mimi ni kijana wa miaka 22.. Kuna tabia mbaya ambayo nimeizoea ni miaka 2 sasa.. Najitahidi kufanya kila linalowezekana ili niiache tabia hii lakini nashindwa..

Kwa kweli nimeshindwa kuacha tabia ya kupiga punyeto ( Masturbation) mpaka naona ishakuwa tatizo kwangu.. Na huwa mara nyingi inatokea pale tu ninapoangalia pornography internet.. Kuangalia napo nashindwa kuacha maana internet iko room kwangu kabisa..

Sasa nifanyaje!! Nahitaji kuacha sasa ila Nashindwa.. Niko nje ya nchi, na nchi hii hairuhusu mahusiano na wasichana wao, yaani namaanisha kufanya nao ngono, hairuhusiwi na sheria za nchi, unless mmeoana. Ukikamatwa ni kosa.. Nifanyaje????
 
Nani hapa ana uthibitisho kuwa Kafulila anatoa siri za chama, zipi hizo alizowahi kutoa?

Pili what if anayosimamia Kafulila yapo sahihi na Mbowe yuko wrong, kumbukeni Chacha He was innocent!

Inakuwaje katibu msaidizi wa Chama (Zitto Kabwe ) asijue hii ishu?

Jamani mpaka saa hizi mnakubali kuwa mna chama???

Mnapokuja na hoja dhaifu za 'aende' jamani kumbukeni kila siku mnapiga kelele kuhusu CCM!, nyie wana CHADEMA pona yenu ni kuweka uthibitisho wa ubaya wa Kafulila! otherwise soon hiki chama kitabaki historia, ilikuwepo NCCR jamani!

Kwa nini HAMCHUKUI JAPO DAKIKA KUFIKIRI KABLA YA KUWEKA USHABIKI NA UTETEZI MBELE?? mtaja ubuka jamani, post hizi zitabaki ushahidi siku zote

Mbowe amekaa chni na Kafulila mara ngapi,lini amepewa barua za onyo, lini kaonywa na kamati ya maadili ya chama, JE Kafulila amejieleza na kujitetea kwa madai yaliyoelekezwa kwake??

Mswali haya yasipoulizwa na kujibiwa something wrong, naanza kupata wasiwasi washabiki na wapenzi wengi wa Mbowe ni wadumavu wa akili, na wameweka maslahi mbele kuliko ya taifa, kwani ni tusibaki na CCM angalau basi hakuna ufamilia wala

mmefulia

To hell Chadema!!!!!!!!!

Umetwaliwa na UCCM na hilo unalithibitisha katika maelezo yako hapo kwenye rangi nyekundu, sasa huwezi kuwa na ushauri mzuri kwa Chadema wakakuelewa.

Lakini pia, kumbuka kumbuka NCCR iliuawa na CCM (Ushahidi wa mazingira upo) na hata leo kinachoitokea Chadema ndicho ambacho kinajengwa na CCM ili chama hicho kifuate nyayo za NCCR. Ombwe la Chacha Wangwe mpaka leo CCM inalitumia kummaliza Mbowe lakini bado mimi na wewngine wenye macho mpaka UTOSINI tutaendelea kuamini kuwa 'Kifo cha Chacha Wangwe ni kazi ya mikoano michafu ya CCM'

La msingi hapa CCM mmeshindwa kuwafukuza wezi wa mali za umma, Mafisadi na hata wabunge waliokuwa wakitukanana kwa ajili ya kutetea wezi sasa wenzenu wakitimuana kwa nia na msingi ya kukielekeza chama katika nidhamu mnaaanza kudai chama cha Kifamilia, kwani hiyo CCM haina familia?

Inao viongozi mama na watoto, inao wabunge ambao wameamua kurithisha watoto wao nyazifa kwa maslai yao wakitumia fedha zao za kifisadi kuwasaidia washinde.

Jadili hoja: na hoja muhimu ni kuwa kutimliwa wananchama ndani ya chama kunajenga chama ama kunakimaliza? Iwe CCM ama Chadema.
 
Yeah, no need to brand each other, I have some questions to be answered thats all I need.

By the way it doesnt worth my time to discuss issues with a newly registered person who aims at branding people!. Ndo maana nimesema thanks na simjibu tena.

FP,

That is very true. I completely agree wit u.

However, politics is a contact sport, remember? You sometimes have to take your opponents as (the same but better way) they come.
 
Chama chochote lazima kiwe na nidhamu, kama hawatang'oa magugu leo, hakika yanayotokea CCM yatawafika, hakuna haja ya kulindana, ukimiss discipline lazima uadhibiwe.

Ni kweli nidham ni kitu cha muhimu sana, lakini hivi ni viongozi wa ngazi za chini tu ndo wasio na nidhamu au hata viongozi wa juu katika vyama hawana nidhamu?
Je Katiba za vyama zinaruu wadogo kuadhibiwa na kuwalinda wakubwa au wote wanapaswa kuazibiwa kwa kutukuwa na nidhamu?
Je huku kutoelewana kwa viongozi wa CHADEMA kunatokana na uroo wa madaraka au ni mbinu za CCM kuwavuruga. Ni vizuri wana CHADEMA wao na ushirikiano na wajitahidi kutatua matatizo yao kwa amani na si kufukuzana.
 
Sasa nifanyaje!! Nahitaji kuacha sasa ila Nashindwa.. Niko nje ya nchi, na nchi hii hairuhusu mahusiano na wasichana wao, yaani namaanisha kufanya nao ngono, hairuhusiwi na sheria za nchi, unless mmeoana. Ukikamatwa ni kosa.. Nifanyaje????
sasa kama huwezi kupata demu jitoe fahamu tu, utapata wet dreams then basi.
 
FP,

That is very true. I completely agree wit u.

However, politics is a contact sport, remember? You sometimes have to take your opponents as they come.

Mwafrika;

Check postings zangu kwenye hii thread, hakuna popote nipohukumu maamuzi ya Chadema, sehemu nyingi nimeuliza na nimesema kama ni kweli kakosea ni sawa, ila nikasisitiza tu kuwa ni vizuri mtu kupewa muda ajirekebishe na na vizuri pia kukaa nae mezani ONE to ONE(Mbowe na David) waongee kila mmoja atoe duku duku lake, wasamehane kisha wajenge chama. Ila kama walishakaa pamoja na alishapewa muda hakujirekebisha basi poa tu.

Sasa hayo niliyosema ndo ninastahili kupewa majina?
 
Tanzania hakuna chama cha upinzani ila kuna baadhi ya watu wachache wanaojitahidi kuwa wapinzani..na hapa naweza sema mpinzani wa kweli ni dr. Slaa pekee wengine wote wanaganga njaa wako kwaajili ya maslahi yao binafsi. Watanzania sio kwamba wajinga ccm tumeichoka lakini hatuoni pa kukimbilia endapo kingetokea chama pinzania cha ukweli tunge hamia huko.

Umeathirika na propaganda za CCM fikiri zaidi vyama vinaishi katika mazingira gani na wewe nafasi yako ya kuvifanya vyama hivyo vya upinzani viwepo na viwe imara, inawezekana pia hata ukawa na unatumiwa kueleza hayo ili kuwasadikisha wengine waamini hivyo.
ifikiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Umetwaliwa na UCCM na hilo unalithibitisha katika maelezo yako hapo kwenye rangi nyekundu, sasa huwezi kuwa na ushauri mzuri kwa Chadema wakakuelewa.
.

Na maelezo mengine je! unayajibuje?

Hivi kila anayepinga chadema lazima awe mwana CCM?

LOL!
 
Jamani

Kuna aina Mbili za Wanachama katika Chama Chochote cha Siasa

Kuna Wanachama Ambao ni Asset kwa Chama na Kuna Wanachama ambao ni Liability kwa Chama, Chama chochote makini cha Siasa ni Lazima kijenge utamaduni wa Kukumbania wanachama ambao ni Asset na kuachana na wale ambao ni Liability!

Kwa sasa tunajadili speculation tu, ni vyema tukasubiri taarifa rasmi kutoka CHADEMA, yaani tusubiri Tamko la CHADEMA
 
Na maelezo mengine je! unayajibuje?

Hivi kila anayepinga chadema lazima awe mwana CCM?

LOL!

LOL. Hii ndio sample ya watanzania wanaolalamika kila kukicha wakati thinking yao ni tofauti na walalamikiayo!!
 
Mwafrika;

Check postings zangu kwenye hii thread, hakuna popote nipohukumu maamuzi ya Chadema, sehemu nyingi nimeuliza na nimesema kama ni kweli kakosea ni sawa, ila nikasisitiza tu kuwa ni vizuri mtu kupewa muda ajirekebishe na na vizuri pia kukaa nae mezani ONE to ONE(Mbowe na David) waongee kila mmoja atoe duku duku lake, wasamehane kisha wajenge chama. Ila kama walishakaa pamoja na alishapewa muda hakujirekebisha basi poa tu.

Sasa hayo niliyosema ndo ninastahili kupewa majina?

FP,

Kwa kweli, waliokupatia majina (kwa hali yoyote ile) wamekosa. Binafsi, mimi nimekujibu vyema (natumaini hili) na sikukuita jina lolote kwa vile mimi nakufahamu (kupitia mitandao hii) kwa muda mrefu.

Wakati mwingine, huwezi kucontrol kila kitu kinachoandikwa hapa. Watu wamekuwa very angry na kilichofanywa na ccm kwenye kamati ya Mwinyi na kile kinachofanyika Chadema wakati huu.

Watu wanakata tamaa so wakati mwingine hizi flairs zitakuwepo. Cha kufanya ni wewe kuendelea kufanya vile umekuwa unafanya miaka yote. Kuendelea kujadili hoja.

Hayo mengine achana nayo - ingawa mimi nitakuwa nawajibu kipuuzi wale wote wanaokuja kipuuzi kwangu. Kwangu mimi hakuna high road kwa mtu ambaye hana high road to begin with.
 
Back
Top Bottom