cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
lahaula jumakidogo, yote yake haya, au mengine umemuwekea kiporo ya kesho,? wallah sijawahi sikia maneno yote haya kwa wakati mmoja! lol.Yule jamaa ni mpumbavu sana. Sijui linajisikiaje huko lilipo. Nafsi inakusuta wewe mjinga na mpuuzi mkubwa, hayawani tena malaya wa habari, taka taka we mwanaume au mwanamke usiyeoga. Kenge mkubwa, kimbulu mwenye njaa, paka shume ambaye hukamati panya kazi yako ni kuiba kuku za watu. Mwanakharamu na khanithi mkubwa kabisa, shetani wa mguu mmoja we. Ukome na ukomae akili yako ya matope siku nyingine usilete upuuzi wako hapa. Nyani kasoro mkia we DIALLO. Nyoko zako we, mshenzi mkubwa mbwa asiye fugika. Iwe mwanzo na mwisho kuwazushia kifo wenzako. Kufa wewe kama unataka. ****** wee.