Saga la Makonda: My Take

Saga la Makonda: My Take

Upinzani wa Tanzania hawana Akili na ni wote, kudili na Raisi Magufuli ni rahisi sana kama mtu una uwezo wa kumsoma mtu na kumuelewa, kwenye hii ishu wao wangekaa kimya tu na kuacha na nina uhakika wangefika mbali zaidi kuliko kushinda siku nzima kumtukana, kumkejeli, kumchora katuni halafu hapo mnategema afanye mnavyotaka? Hata yeye Raisi Magufuli ni Binadamu pia na anaumia kwa matusi yenu/yao!
Yaani kwa akili yao walitegemea Raisi amfukuze kazi Mkuu wa Mkoa kwa kuwa wametaka wao iwe hivyo?
Nape, Elibariki Kingu, Bashe, wote hao wamekerwa na suala la Bashite kuvamia Clouds TV kwa silaha za moto. Nao hao ni wapinzani? Punguza mahaba ndugu
 
Hatari iliyopo nipale team madawa ya kulevya wanaofikiri steling wa filamu wamesha mmaliza kumbe uliyezani kafa sasa hajafa, na anakuja sasa mjiandae. anakuja akiwa na mbinu mpya .
Nasikia askofu saizi kazimia baadaya ile hotuba pale Ubungo.
Sterling wa madawa ya kulevya ni Sianga na Kassim Majaliwa.
 
Upinzani wa Tanzania hawana Akili na ni wote, kudili na Raisi Magufuli ni rahisi sana kama mtu una uwezo wa kumsoma mtu na kumuelewa, kwenye hii ishu wao wangekaa kimya tu na kuacha na nina uhakika wangefika mbali zaidi kuliko kushinda siku nzima kumtukana, kumkejeli, kumchora katuni halafu hapo mnategema afanye mnavyotaka? Hata yeye Raisi Magufuli ni Binadamu pia na anaumia kwa matusi yenu/yao!
Yaani kwa akili yao walitegemea Raisi amfukuze kazi Mkuu wa Mkoa kwa kuwa wametaka wao iwe hivyo?
nani nakwambia ni wapinzani tu ndio wanataka hvyo??ni wapenda hali wote ndio wanataka kuona haki inatendeka.
 
You have said it all mkuu,

Huwezi kumtukana Rais halaf utegemee akusikilize interests zako

La msingi hapa sio Rais kutukanwa. Aliapa kulinda katiba na sheria sio kulea jinai. Utetezi alioutoa haujastfy hatua alizochukua. Mkuu anavunja sheria.
 
Aendelee kumulea Makonda azidi kuharibu,mambo yatakapozidi kuwa magumu asijeakawaona wana CCM wenzake ni wasaliti,kwani wanaokelwa na Makonda siyo wapinzani peke yao,hata wana CCM nao wapo kibao.
 
Approach nzima inayotumika dhidi ya Makonda si nzuri maana imekaa kiudaku udaki na kulipiza kisasi.

Halafu watu wanapoanza kudokeza kuwa Magufuli na Makonda ni mashoga...halafu hapo hapo wanamtegemea Magufuli eti amtumbue Makonda!

Mtu mnamtukana halafu hapo hapo mnamtegemea afanye jambo la kuwafurahisha...come on now.

Wrong approach.
Kwa hii comment yako ni kwamba, magufuli kafuatilia udaku wa kwenye media unaomsema kwamba yeye na makonda ni mash**a, na baada ya kuufuatilia akaamua kutoa maamuzi yanayowadharau na kuwakomoa watanzania wote kutokana na huu udaku aliousikia...!
Kwa hiyo labda basi laiti huyu mkulu angekuwa sio mtu wa kuendekeza udaku wa kwenye media labda angepata uwezo wa ku exercise zile 'little grey cells' na labda basi ingemsaidia kuweza kusikiliza sauti za watanzania wengine wote wanaotoa ushauri na comments zenye tija... arrrrgh
 
Binafsi nakubaliana na hoja yako.... Hii vita dhidi ya Makonda imekaa kidaku mno (Wauza unga+media+Vyama vya upinzani+Wasaka uraisi ndani ya CCM)Magufuli kwasasa hawezi kumtumbua Makonda kupitia shinikizo la watu hata siku moja binafsi napenda hii hoja ya Makonda ife kabisaa tufocus kwenye maendeleo inatupotezea muda tu aliyemteuwa anajua ukweli zaidi kuliko sisi wapiga kelele.
Ukirudi nyuma hapo kiongozi kwenye daraja la kigamboni unakumbuka nani alimshinikiza flani atumbuliwe mchna kweupe au yule alikuwa nyani
 
Kwa hii comment yako ni kwamba, magufuli kafuatilia udaku wa kwenye media unaomsema kwamba yeye na makonda ni mash**a, na baada ya kuufuatilia akaamua kutoa maamuzi yanayowadharau na kuwakomoa watanzania wote kutokana na huu udaku aliousikia...!
Kwa hiyo labda basi laiti huyu mkulu angekuwa sio mtu wa kuendekeza udaku wa kwenye media labda angepata uwezo wa ku exercise zile 'little grey cells' na labda basi ingemsaidia kuweza kusikiliza sauti za watanzania wengine wote wanaotoa ushauri na comments zenye tija... arrrrgh

Magufuli haishi kwenye ombwe.

Anafuatilia na kujua sana yanayovuma na kuongelewa sana mitandaoni.

Usikute hata hapa kwenye hii thread yupo.

Zama hizi itakuwa ni uzuzu mtu kudhani kuwa hawa viongozi hawaoni yanayojadiliwa mtandaoni.

Si unaona Trump alivyo? Akiona kasemwa kidogo tu huyo anaendwa Twitter.

Mimi naamini kabisa Magu yupo humu.
 
Hakuna mtu aliyewahi kupata au kusingiziwa kashfa kubwa hapa nchini zaidi ya mh Lowasa.

Lakini hayo yote yamesahaulika na sasa ivi ni mtu mkubwa kwenye chama.

Natumaini hata hili litapita, na heshima ya Makonda itarejea na wengi watakuja kuelezea ushujaa wa makonda.
 
Pamoja na mengi kusemwa kuhusu Lowassa, mimi namheshimu sana yule mzee.

Kauli zake nyingi, kama si zote kuhusu tuhuma zake, huwa ni za hekima na busara nyingi sana.

Lowassa kwenye uvumilivu ni mfano wa kuigwa.

Na sikupenda kabisa jinsi CCM walivyomtenda pale Dodoma ile 2015.
 
Hakuna mtu aliyewahi kupata au kusingiziwa kashfa kubwa hapa nchini zaidi ya mh Lowasa.

Lakini hayo yote yamesahaulika na sasa ivi ni mtu mkubwa kwenye chama.

Natumaini hata hili litapita, na heshima ya Makonda itarejea na wengi watakuja kuelezea ushujaa wa makonda.
Edward Lowasa anatumia vyeti vyake na jina lake na hajawahi kuvamia media house kulazimisha propaganda zake zipewe airtime

Endeleeni tu kujitia dole na kunusa kama mtapata harufu ya pilau.
 
Magufuli haishi kwenye ombwe.

Anafuatilia na kujua sana yanayovuma na kuongelewa sana mitandaoni.

Usikute hata hapa kwenye hii thread yupo.

Zama hizi itakuwa ni uzuzu mtu kudhani kuwa hawa viongozi hawaoni yanayojadiliwa mtandaoni.

Si unaona Trump alivyo? Akiona kasemwa kidogo tu huyo anaendwa Twitter.

Mimi naamini kabisa Magu yupo humu.
Ndio sawa...

Lakini sio kwamba atoe kejeli na maamuzi ya hasira na kukomoa kutokana na udaku aliousikia...
 
Edward Lowasa anatumia vyeti vyake na jina lake na hajawahi kuvamia media house kulazimisha propaganda zake zipewe airtime

Endeleeni tu kujitia dole na kunusa kama mtapata harufu ya pilau.
Hayo yote hayawezi fikia uzushi aliyozushiwa mh Lowasa, na upepo ukapita.
 
Back
Top Bottom