Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,115
- 136,850
- Thread starter
- #101
Umetumia neno "APPROACH' tuliposema kwenye issue ya madawa hamkutuelewa.. Anyway acha wapigane wenyewe kwanza. Nasubiri ripoti ya Nape, baada ya hapo watandikane weeeee AF baada ya hapo upinzani unaanza tena
Mimi mbona hata hiyo approach ya Makonda kwenye madawa ya kulevya niliipinga na kuilaani...
Najua jinsi nchi za wenzetu huko wanavyofanya kazi kuhusu hayo mambo.
Najuana ex convicts ambao walikuwa nyuma ya nondo kutokana na masuala ya mihadarati.
Najua jinsi vice squads za wenzetu zinavyofanya kazi.
Kwa hiyo mimi si mmoja wa watu ambao walibariki approach ya Makonda.
It was no just amateurish. It was downright stupid.
