Nyani Ngabu,
..hivi makonda akili zake ziko sawasawa?
..matamshi yake kuwa ametumwa na "mungu" au akizungumza makonda amezungumza "mungu" hamuoni kwamba ni kama mtu aliyechanganyikiwa?
..ile orodha yake ya watumiaji madawa hivi inatofauti gani na makaratasi tuliyozoea kuyakuta kwa machizi?
..binafsi sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza kutenda hivi anavyotenda Makonda.
Apige vipi wakati anafurahia alichokifanya DAB, kuficha unafiki ni kazi kubwa sana.Raisi huwa anapiga simu 360 leo mbona hajapiga kuwapa pole marafiki zake? si anasema anawapenda au?
Wewe ni bashte kweli. We unadhani kila anayepinga basi yupo upinzani. Hujasikia wabunge wanasemaje tena wa Ccm! Yaani tukae tu watu wanachezea nchi hivi. Nahisi wewe utakuwa jesca si bure.Upinzani wa Tanzania hawana Akili na ni wote, kudili na Raisi Magufuli ni rahisi sana kama mtu una uwezo wa kumsoma mtu na kumuelewa, kwenye hii ishu wao wangekaa kimya tu na kuacha na nina uhakika wangefika mbali zaidi kuliko kushinda siku nzima kumtukana, kumkejeli, kumchora katuni halafu hapo mnategema afanye mnavyotaka? Hata yeye Raisi Magufuli ni Binadamu pia na anaumia kwa matusi yenu/yao!
Yaani kwa akili yao walitegemea Raisi amfukuze kazi Mkuu wa Mkoa kwa kuwa wametaka wao iwe hivyo?
Huku mnakesha mitandaoni kushinikiza makonde atolewe ukuu wa mkoa.....afu unalalamika kuna njaa mtu mda mwingi anasubiri kuona mange kapost nn mara gwajima utapata mda kwl wa kujitafutia riziki......kama upinzania hauna akili basi ccm ni majuha kabisa,kwani alidhani kazi ya uraisi ni lelemama na nirahisi tu kwakukaa na kuanza kufatilia shilawadu wakati wananchi wake hawana uhakika wa kesho wata kula nini..wewe ni bwege mwingine
yani wewe kama wewe hii hoja inakupotezeaje muda?inasababisha vipi wewe ushindwe kufocus kwenye maendeleo?Binafsi nakubaliana na hoja yako.... Hii vita dhidi ya Makonda imekaa kidaku mno (Wauza unga+media+Vyama vya upinzani+Wasaka uraisi ndani ya CCM)Magufuli kwasasa hawezi kumtumbua Makonda kupitia shinikizo la watu hata siku moja binafsi napenda hii hoja ya Makonda ife kabisaa tufocus kwenye maendeleo inatupotezea muda tu aliyemteuwa anajua ukweli zaidi kuliko sisi wapiga kelele.
Huku mnakesha mitandaoni kushinikiza makonde atolewe ukuu wa mkoa.....afu unalalamika kuna njaa mtu mda mwingi anasubiri kuona mange kapost nn mara gwajima utapata mda kwl wa kujitafutia riziki......kama upinzania hauna akili basi ccm ni majuha kabisa,kwani alidhani kazi ya uraisi ni lelemama na nirahisi tu kwakukaa na kuanza kufatilia shilawadu wakati wananchi wake hawana uhakika wa kesho wata kula nini..wewe ni bwege mwingine
Tujiulize wote:
1. Hayo aliyofanya Magufuli ni kwa faida ya nani? Nauliza hivyo kwasababu najua madhara ya upuuzi aliyofanya yatasambaa kama moto wa nyika na yataenda mbali! Ukichukulia vitu vyote alivyotuhumiwa, bila kutolewa ufafanuzi usio na shaka vitaaminiwa na wengi. Viongozi wengi walio chini ya Magufuli wataona wamesetiwa precedence ya double standard na inakubalika kulegeza kamba pale wakati mwingine hata kama mtu ana makosa dhahiri.
Lakini mimi nashangaa mtu ambaye ni nobody asiyefaa hata kuwa mlinzi wa nyumbani kwako kakukaa kichwani kwa mwezi sasa, hivi mna ratiba kweli maana the way mnavyokuwa manipulated na matukio inaonesha kabisa hamna ratiba or any plan of the business of lifeMakonda is in over his head.
Hafai hata kuwa mlinzi wa usiku wa nyumbani kwangu.
Mimi nadhani hatadumu kwenye hiyo nafasi.
Ni suala la muda [timing tu].
His missteps are untenable. He is a goner.
Tatzo mnamwamini sana mangeTujiulize wote:
1. Hayo aliyofanya Magufuli ni kwa faida ya nani? Nauliza hivyo kwasababu najua madhara ya upuuzi aliyofanya yatasambaa kama moto wa nyika na yataenda mbali! Ukichukulia vitu vyote alivyotuhumiwa, bila kutolewa ufafanuzi usio na shaka vitaaminiwa na wengi. Viongozi wengi walio chini ya Magufuli wataona wamesetiwa precedence ya double standard na inakubalika kulegeza kamba pale wakati mwingine hata kama mtu ana makosa dhahiri.
Kusuuzwa nyonyo Mmmh !! Hatari
Nitajie mengne tofauti na ayo ambayo makonda kafanya mpk aonekane cyo mtu tenaKwa bashite kutochukuliwa hatua,mimi naona baba bashite anataka kushindana na Mange. Ni Mange pekee mwenye uthubutu wa kumtukana na kuingilia faragha ya baba bashite. Sio haki bashite anaachwa wakati ameumiza watu wengi kwa mambo yake(kughushi cheti cha kliniki ili amuaibishe Gwajima, kuvamia clouds, nk) ili mradi tu amkomoe Mange ambaye yuko kwa Trump. Waumini wa Gwajima watamuelewaje baba bashite? Wafanyakazi wa Clouds na uongozi wao watamuelewaje baba bashite?
Baba bashite ana tone ya kiburi, jeuri na kuvimbiwa madaraka. Natarajia tukifika 2019 ataanza kubadilisha tone ili aombe kura kirahisi. Kujibadilisha ili kuendana na mazingira ndo sababu simpendi kinyonga.